TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Yaleyale ya kulazimisha kufanya Dodoma kuwa Makao Makuu ya nchi wakati SABABU zilizofanya maamuzi hayo yakatolewa mwaka 1973 HAZIKUWEPO tena 2017.
Ni maamuzi ya faida ya mtu ambae hayupo
 
Mimi na baiskeli yangu nawaangalia tu usoni, Mnavyolalamika. Nia ya serikali ni nzuri kuhakikisha sisi wenye baiskeli tunaheshimika. Fikiria kila mtu awe na gari, tutajificha wapi siye? Nani atakubali kuolewa na kuoa mtu asiye na gari.
 
Kama umeweza nunua gari ya dola laki mbil nje why usilipe kodi kwani hujuwi starwhe gharama mjomba..
Ukumbuke serikali inakusanya kodi ili iendeshe nchi, unaposhindwa kukusanya sababu umeweka ushuru mkubwa unajiua mwenyewe. Fikiri kama kodi ingekuwa shilingi milioni 3 kwa gari za cc1500, si watu wengi sana wangepambana kumiliki magari, serikali ingekusanya kodi nyingi pasipo kuchukiwa na wananchi wake.
 
Uko sahihi. Wabunge wengi wako tu bungeni kuuza sura na kusubiri posho, hawajui hata hizo sheria wanazozipitisha. Kumbuka wabunge hawalazimiki kuwa na elimu kubwa wanatakiwa tu wajue kusoma na kuandika. Sheria nyingi zinaandikwa kitaalamu na kwa kiengereza, ni ngumu kwa wabunge wetu kuzielewa, na hata wakizielewa Chama kinawabana na kwa kulinda ugali inabidi wapitishe. Lakini hili liwe funzo what goes around comes around
 
Hiyo ni kodi ya gari moja au magali 100 duuh😂
 
60% tunapeleka mazamwamwa wao ni kupiga makofi Tu wanasubiri kutoka wakanywe kahawa
 
Hivi ndio inafaa kipato kikubwa na kodi kubwa na hivi ndio ilivyo katika nchi zote zilizo endelea!
Sio kuwauwa wana nchi wa kipato cha chini kwa uchwara tozo kibao walahi [emoji3062]
Boss hiyo kodi haichagui maskini au tajiri, wewe ingiza IST utapigwa hiyo hiyo 100% na zaidi, na kwa taarifa yako maskini ndio wanalipa kodi kuliko matajiri, usidanganyike na rate za kwenye makaratasi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…