TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Ni ajabu mkuu. Maskini wanalalamika eti tajiri katozwa kodi kubwa kwa kuingiza gari la kifahari ambalo bei yake ni zaidi ya nusu bilioni! Tena mtu mwenyewe alitaka kufanya ujanja ujanja aingize bure serikali ikagundua. Wanataka nini sasa? Waendelee kulipa tozo huku matajiri wakiingiza magari ya kifahari bila kodi?
Hii nchi ina watu wengi wapumbavu Sana. Kabla ya gari kuagizwa kila kitu kinakuwa wazi hadi Kodi utayolipa. Wala sio kwamba kashtukizwa.
 
Hili nalo mwanangu Kamishina Mkuu Kidata muende mkalitizame wewe na timu yako,mkandamizeni mpaka gari alisuse,na akisusa lileteni Chamwino nami nitembelee Benzi,nimechoka kutembelea mijigari ya Toyota".
😂😂
 
Hili nalo mwanangu Kamishina Mkuu Kidata muende mkalitizame wewe na timu yako,mkandamizeni mpaka gari alisuse,na akisusa lileteni Chamwino nami nitembelee Benzi,nimechoka kutembelea mijigari ya Toyota".
[emoji28][emoji28][emoji28]
 
Acha upumba. Vu wewe tra kwanza wanabadili badili sana ushuru, na kigezo wanacho angalia demand.. Kuna kipindi Audi A4! Usuhuru ulikuwa chini sana, walipo ona watu wengi wana ziingiza wakapandiaha ushuhuru haraka haraka
Wewe mpumbavu nimetolea mfano
 
Ushuru wa gari million 300 soo poa
Gari la mil 600 ulitegemea ushuru uwe kiasi gan?

Tena bora hayo ya bei ushuru huwa ni 50%, haya ya kawaida ushuru huwa 100%.

Au unafikiri aneyenunua IST na kulipa ushuru mil 6 au 7 ni ndogo?
 
Nilishakuwaambiabwe mshenz, huna akili. Haya mambo yamekuzidi sana kimo, unakunya kunya tu hapa.. Kichwa maji kabisa wewe. Mfano wako ni makamasi matupu
Wewe mpumbavu wa mwisho usiye na akili hata mfano mdogo huelewi. Uolewe tu basi
 
You must be able to buy it twice🤣🤣
Very unfair though. Kwa mawazo yangu, kodi ya gari tena likiwa la mwaka wa karibuni haitakiwi izidi 15% ya bei ya gari. Maana bado utalipa kodi utakaponunua mafuta kujaza gari, na utakafanya serives au kununua vifaa vya gari for maintenance.
 
Wewe mpumbavu wa mwisho usiye na akili hata mfano mdogo huelewi. Uolewe tu basi
Unaona namna ulivyo hasara we mpumb.avu 🦍 Mie mwanaume naolewaje? Akili zako taka taka tu.. Nakutazama shenz kabisa wewe, ulia za leta thread ya ku promote ushoga, badae ukaleta thread ya ku promote anal sex upo sawa kweli we kinyesi 😳😳.. Na ndio mataka taka kama nyie mmejaza ccm huko bladifakini kabisa
 
Back
Top Bottom