TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Nimejiwekea kasheria ka maisha yangu. Gari yoyote nitakayonunua itakuwa imetengenezwa ndani ya miaka 5.
 
Ndio maana nchi hii hakuna gari jipyaa let say la mwaka mmoja au miwili tangu litenvenezwe! Yaliyopo ni mikweche ya 10yrs and above! Kenya wametuacha mbali Sana Kwa issue ya kununua magari yenye umri usiozidi miaka miatano tangu kutengenezwa!
Ccm bado inaishi kizamani ikiamini gari ni anasa na hawajui kuwa kummiliki gari lenye miaka minne kushuka linasave hata foreign currency kwani hutoagiza spea mapema Bali utakaa hata miaka mingine mitano hivi!
 
Kodi ya gari hutokana na thamani ya gari. Ni Kama ilivyo VAT 18% ya bilioni 1 ni tofauti na 18% ya Milion 1
Acha upumba. Vu wewe tra kwanza wanabadili badili sana ushuru, na kigezo wanacho angalia demand.. Kuna kipindi Audi A4! Usuhuru ulikuwa chini sana, walipo ona watu wengi wana ziingiza wakapandiaha ushuhuru haraka haraka
 
Sasa ni wakati wa Wakili Msomi Lisu kuingilia kati huo mgogoro kupitia Mahakamani amtetee Dogo ili apunguziwe Kodi,alipe fadhila za Mzee!!
Lisu ashirikiane na Kibatala wake hawawezi kutoboa.
 
Hatujui kuwa ni baraka au misheni town but ana mpunga for sure
Toufiq Turky ni misheni town? Huyo ni mtoto wa tajiri mkubwa sana hapa Tanzania Salim Turky(marehemu) na ndio aanaendesha biashara zote alizoacha baba yake zikiwemo boti za dar zanzibar zan fast ferries.

Alafu si ndio chadema mlimuomba ndege iliyompeleka Lissu huko Nairobi.
 
Toufiq Turky ni misheni town? Huyo ni mtoto wa tajiri mkubwa sana hapa Tanzania Salim Turky(marehemu) na ndio aanaendesha biashara zote alizoacha baba yake zikiwemo boti za dar zanzibar zan fast ferries.

Alafu si ndio chadema mlimuomba ndege iliyompeleka Lissu huko Nairobi.
Sijamnyoshea kidole kuwa ni mishe mishe au ni halali...nimesema sijui na sijui kweli.
Asante kwa taarifa
 
Nchi za kiafrika zitaendelea baada ya miaka mingi sana kupita! Yaana mpaka hawa wapumbavu wachache na vizazi vyao vyote kuisha.

Kwa hiyo ni dhambi kumiliki gari la kifahari! Ukinunua tu basi na wewe unalipishwa kodi kandamizi!!
Wewe huenda hauna akili. Magari karibu yote Kodi huwa sawa au karibu na bei unayonunulia.

Tena bora hizo za kifahari Kodi yake huwa 50% ya Bei uliyonunulia tofauti na magari haya ya kawaida IST kuinunua na kuifikisha Dar ni mil 6-7 Ila Kodi nayo inacheza humo humo kwenye 6.

Kodi inapaswa kuwa kubwa kwenye prestige goods. Dunia yote hufanya hivyo. Hata huko kwa matajiri ni hivyo
 
Huwa nikiona hapa bongo mtu ana gari kali la kifahari pamoja na hizi kodi huwa namuwazia kama angekuwa kwenye dunia ya kwanza si angekuwa na magari ya kutosha tu
Kwa kuwa huko dunia ya kwanza hakuna Kodi?
 
Hao ndio matajiri wa Tanzania na huu ni ushahidi namna wasivyopenda kulipa kodi halali.

Hapo unakuta wafanyakazi wake anawapunja mishahara halafu fedha anatumia kununulia magari ya kifahari.

Na kuna watu hawa wanamtetea mkwepa kodi.

Shame.
Kwanini wengine huwa hatupewi fursa kulipa kodi kwa awamu tuagizapo magari?
 
Back
Top Bottom