TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Hata wenye mkokoteni wenye akili Kama zako nao wanaombea Matajiri wanao milki Vitz nao wawe wanapigwa Kodi kubwa hadi washindwe kumiliki hizo vitz ili warudi kumiliki mkokoteni!!
Unautumia vizuri sana ubongo wako mkuu, basic needs ni nini? Huwezi kuta gari hapo, gari ni anasa.
 
Serikali inatufanyia ujambazi wa mchana kweupe kupitia Kodi za magari
Vipi kuhusu viwanda vya magari hayo? Mbona hao ndio huibuka multimillionaires huku serikali zetu zikiishia kuomba misaada huko huko tena? Tunachezwa.
 
Mungu anakimbia matatizo tena! Tena aliyoyaasisi yeye mwenyewe? Mungu gani weak hivyo, roho mbaya ndio msingi wa maendeleo ya dunia ya kale mpaka kesho… achana na siaza za dini kumrushia lawama shetani ingali una deal na mwanadamu… shetani/ Mungu ni theoretical work kwa wavivu kufikiria na waoga na kusonga mbele no matter the obstacles.
Umasikini ni moja ya vyanzo vya wivu na mtu masikini kamwe hapendi maendeleo ya wengine! Furaha yake watu wote wawe sawa na yeye! Bahati mbaya kwake hiyo haitatokea!
 
Hata kwa gari zingine utaratibu uko hivyohivyo. Yaan ukiagiza IST labda CIF to Dar ni 5.5mil basi mjomba TRA akija na calculator yake anapita nae anga hizo hizo, tofauti kidogo sana
Hahahahah TRA sikuhizi ni sawa na chuma ulete, kodi zao wamejiwekea btn 90% to 110% of the C.I.F price.

Kama gari hadi kufika DSM ni milioni 15 hakikisha una million 14 za kuwapa TRA yani hio ni given. Gari ikiwa latest ndio ujiandae na kuwapa kodi ya 16M wanakula kuliko Mjapani.

Hili swala ilitakiwa ifikie mahala gari zichajiwe kwa % tu ya manunuzi. Na hio % isizidi nusu ya bei ya gari maana hili ndio linawafanya watu waminyane kununua gari za mwaka 1998! Mtu anataka RAV 4 ila akiangalia inayonunulika kirahisi na kodi laini ni RAV mchaga ya mwaka 1999. Akitaka Kili time bei mkasi kodi mnazi anakuwa hana jinsi.
 
Umasikini ni moja ya vyanzo vya wivu na mtu masikini kamwe hapendi maendeleo ya wengine! Furaha yake watu wote wawe sawa na yeye! Bahati mbaya hiyo haitatokea!
Nikuulize wewe kati ya Serikali ya Tanzania inayoagiza magari 600 kwa ajili ya wabunge tu achilia mbali MaRC, DC majeshi na idara zote VS huyo jamaa yako wa G-Wagon moja tena yakuomba msamaha wa kodi nani tajiri hapo, nani anamuonea wivu mwenzie? Be realistic basi.
 
Hahahahah TRA sikuhizi ni sawa na chuma ulete, kodi zao wamejiwekea btn 90% to 110% of the C.I.F price.

Kama gari hadi kufika DSM ni milioni 15 hakikisha una million 14 za kuwapa TRA yani hio ni given. Gari ikiwa latest ndio ujiandae na kuwapa kodi ya 16M wanakula kuliko Mjapani.

Hili swala ilitakiwa ifikie mahala gari zichajiwe kwa % tu ya manunuzi. Na hio % isizidi nusu ya bei ya gari maana hili ndio linawafanya watu waminyane kununua gari za mwaka 1998! Mtu anataka RAV 4 ila akiangalia inayonunulika kirahisi na kodi laini ni RAV mchaga ya mwaka 1999. Akitaka Kili time bei mkasi kodi mnazi anakuwa hana jinsi. of
milion 14 ndogo sana inategemea ni brand gan,mwaka na cc, nilitaka kuchukua volvo c60 cc 1600 ya mwaka 2010 ilikuwa clearance hapo befoward,mpaka bongo 9m ila nilipongia kwenye calcutor ya tra ushuru ulifika 16m na point
 
Ina maana CIF waliojiwekea kwenye system ilikuwa inazidi bei ulioikuta beforward
 
Hao ndio matajiri wa Tanzania na huu ni ushahidi namna wasivyopenda kulipa kodi halali.

Hapo unakuta wafanyakazi wake anawapunja mishahara halafu fedha anatumia kununulia magari ya kifahari.

Na kuna watu hawa wanamtetea mkwepa kodi.

Shame.
 
Back
Top Bottom