Fursa Pesa
JF-Expert Member
- May 30, 2012
- 4,631
- 3,527
Kuna vitu vingine vinatengenezwa kutupa attention ya kulipa Kodi.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwigulu NchembaKama taifa hii ni kasoro kubwa,tumerithi mfumo wa kodi kandamizi kutoka mfumo wa kijamaa,mpaka leo kumiliki gari inatafsiriwa (Sheria ya kodi)kuwa ni anasa.
Gari ni vyombo muhimu katika kuharakisha shughuli za kiuchumi.
Wizara ya fedha ione UMUHIMU wa kutafsiri gari kuwa sio anasa Bali ni muhimu hata mwananchi wa kawaida kumiliki.
Tujifunze kwenye boda boda, zimesaidia ajira,mafuta kununuliwa na hivyo kuchangia kodi kwa wingi.
Makusanyo ya Kodi kutokana na uagizaji magari haijawahi kuzidi makusanyo ya kodi ya bia na sigara bado TRA hamjifunzi kuwa tupunguze kodi magari yaagizwe kwa wingi ili tupate kodi mara 2(kodi kwenye uagizaji na kodi ya mafuta wakati matumizi ya gari).
Tulivyokubali kuruhusu boda boda uchumi wa vijana na ajira uliongezeka.Umeme na maji tunapeleka vijijini kinachofuata ni kuendelea kumletea mwananchi unafuu wa kumiliki vyombo vya moto(punguzo la kodi iwe kwa magari chini ya cc 3000).
Wizara ya fedha rekebisheni viwango vya tozo(import duty),ili tufikie uchumi wa kati mapema zaidi.
Fanyeni tathimini idadi ya wamiliki wa magari ikiongezeka na matumizi ya mafuta ya kiongezeka,pato litaongezeka!
1.Angalau kwenye kila kijiji chenye kaya 200 ,kaya 30 zimiliki gari, kwanini hatuangalii namna ya kuleta unafuu wa maisha hadi kijijini lengo ni kupata mchango wa kiuchumi utokee kijijini kwa kumiliki na kutumia vyombo vya moto.
2.Hizi nchi za kiafrika zinazotuzidi kiuchumi,wao kodi ya uagizaji magari ipo vipi?
3.Kwa nini kodi na tozo zilingane na gharama ya kununua gari?hii ni aibu kwa zama hizi za sasa,hii ifanyiwe kazi tuondoe aibu hii,tunaonekana kama hatuna ubunifu na mbinu sahihi za kutoza kodi.
Na bado serikali haridhiki Na matozo ya kunzia kwenye petroleum, vocha, lukuKodi karibu na bei uliyonunulia, yaani upumbavu wetu umetufanya tuwe watumwa kwa misheria ya kijinga tuliyojiwekea wenyewe, kila kona ni hivyo hivyo tuu na mitozo isiyo na akili ndio maana hakuna siku tutaendelea
Kama sijakosea alishafariki sio?Baba yake ndio alitowa cash kuwakopesha Chadema ili kukodi ndege ya kumpeleka Lisu Nairobi kutibiwa., wana maboti na viwanda.
Mwigulu yupo busy na tozo halafu anajiita dr. Wa uchumiKama taifa hii ni kasoro kubwa,tumerithi mfumo wa kodi kandamizi kutoka mfumo wa kijamaa,mpaka leo kumiliki gari inatafsiriwa (Sheria ya kodi)kuwa ni anasa.
Gari ni vyombo muhimu katika kuharakisha shughuli za kiuchumi.
Wizara ya fedha ione UMUHIMU wa kutafsiri gari kuwa sio anasa Bali ni muhimu hata mwananchi wa kawaida kumiliki.
Tujifunze kwenye boda boda, zimesaidia ajira,mafuta kununuliwa na hivyo kuchangia kodi kwa wingi.
Makusanyo ya Kodi kutokana na uagizaji magari haijawahi kuzidi makusanyo ya kodi ya bia na sigara bado TRA hamjifunzi kuwa tupunguze kodi magari yaagizwe kwa wingi ili tupate kodi mara 2(kodi kwenye uagizaji na kodi ya mafuta wakati matumizi ya gari).
Tulivyokubali kuruhusu boda boda uchumi wa vijana na ajira uliongezeka.Umeme na maji tunapeleka vijijini kinachofuata ni kuendelea kumletea mwananchi unafuu wa kumiliki vyombo vya moto(punguzo la kodi iwe kwa magari chini ya cc 3000).
Wizara ya fedha rekebisheni viwango vya tozo(import duty),ili tufikie uchumi wa kati mapema zaidi.
Fanyeni tathimini idadi ya wamiliki wa magari ikiongezeka na matumizi ya mafuta ya kiongezeka,pato litaongezeka!
1.Angalau kwenye kila kijiji chenye kaya 200 ,kaya 30 zimiliki gari, kwanini hatuangalii namna ya kuleta unafuu wa maisha hadi kijijini lengo ni kupata mchango wa kiuchumi utokee kijijini kwa kumiliki na kutumia vyombo vya moto.
2.Hizi nchi za kiafrika zinazotuzidi kiuchumi,wao kodi ya uagizaji magari ipo vipi?
3.Kwa nini kodi na tozo zilingane na gharama ya kununua gari?hii ni aibu kwa zama hizi za sasa,hii ifanyiwe kazi tuondoe aibu hii,tunaonekana kama hatuna ubunifu na mbinu sahihi za kutoza kodi.
Mkuu bado tunafanya mambo kwa kuiga. Na pendekezo hili liliyolewa na Waziri wa fedha wa nchi jirani kwa vile wao wanaunda magari.Kudiscourage importations ya magari ya kifahari toka nje ni muendelezo wa akili za kimasikini nchini ni SAwa na Sheria ya ant dumping.
Una ant dumping nini SAsa wakati product yeyeto inaenda recycling baada ya matumizi yake kwisha.
Ant dumping principal ilikuwa na maana kabla ya ujio wa recycling industry.
Bila tozo nchi itajinyonyesha yenyewe maziwa? Nchi ni rasilimali watu na rasilimali zao mbalimbali…. Tozo for better life and conducive services.Mwigulu yupo busy na tozo halafu anajiita dr. Wa uchumi
Kutokuwa na uthubutu na kupanga maendeleo.Mimi ndiyo huwa nashangaa sana mfumo wetu wa kodi kwa vyombo vya moto (magari)..
Mathalani kwa mfano wa gari hilo, iweje kodi zote iwe karibu 70% ya thamani halisi ya gari...??
Yanatozwa mahindi yaliyolimwa namtumbo na kiwete chokambaya sembuse G-Wagon la bepari? Kuweni serious basi.Kutokuwa na uthubutu na kupanga maendeleo.
Badala yake wanaona kukusanya kodi kwa magari ndio upatikanaji wa kodi
Hakuna mawazo ya kuingiza fedha zaidi ya kukamua watu
Hovyo kabisa hawa
Korosho za wamatumbi zinatozwa kodi pia, mkono mtupu haulambwi bwashee.Nyenyere alitufunza tuchukie wenye nacho.
Mkuu Una hasira sana.sio hata issue ya wivu wa maendeleo, ukipenda sifa serikali yoyote duniani inakulambia hapo hapo, imagine hata ile issue ya kuweka jina lako kwenye plate numbers, wanatakiwa tozwa hata million kumi na mbili kwa mwaka, moja kwa mwezi… yaani kutaka tu kujulikana wewe ni nani, shusha vioo vyote basi kama unatamani kujilikana na wanadamu… umaarufu mkojo, kina kina IGP, KUB, RC, CDF na diplomats wengine wanaweka tena kwa gharama za umma unakuja mpuuzi flani na vihela vyako binafsi na cheap publicity unaweka mbwembwe ukiminywa makende unalialia tena kwa barua mbili mbili. Watozwe tu wanazo.
Hahahaaaaha, sio hasira mkuu wangu, hawa mabepari wanalialia sana, yaani kaona sawa kuwaachia wazungu million 500 bongo tunataka 380 analia lia na hapo uchafuzi wa mazingira ufanyikie hapa, dada zetu warembo wa kipemba wagongewe hapa na mkoko huo huo, by the way anaxo huyo wonder why wanaifanya kuwa big deal.Mkuu Una hasira sana.
Sina maana asamehewe hebu soma nilichoandikaYanatozwa mahindi yaliyolimwa namtumbo na kiwete chokambaya sembuse G-Wagon la bepari? Kuweni serious basi.
hahahahadada zetu warembo wa kipemba wagongewe hapa na mkoko huo huo
Hiyo mil 308 ni ZRA na ikiwa sasa unataka kuliingiza Tanganyika unakutana na jini nyonya damu TRA nao wanakupiga asilimia zao zilizobakia
Jf kila mtu ana gari me pia nilikuwa na hilo nimeuza hapo malawi , kwa sasa nasukuma S class moja 2016Hii bwana RRONDO ushuru wake anaumudu 🤠🤠 hutosikia kelele za TRAView attachment 2353334