TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Hii bwana RRONDO ushuru wake anaumudu 🤠🤠 hutosikia kelele za TRAView attachment 2353334
Huyo jamaa ana hela ya kulipia ushuru hizo gari hata 20 ila kawaida ya matajiri hela Yao haitoki kirahisi kama kuna njia ya KUEPUKA Kodi lazima itumike.
NB: KUEPUKA Kodi ni halali kabisa, KUKWEPA Kodi ndio kosa la jinai.
 
Hata hao ZRA wanamkomalia kwasababu wanajua anaweza maliza hiyo hela, ila zenj gari kiabo watu wana zintumia kwa ushuru nusu nusu ule wa kulipa kidogo kidogo
 
Kwenye hio ushuru 300m sehemu kubwa ni VAT na kwasababu gari imesajiliwa na kampuni hela hio itarudi. TRA wanajitahidi kukusanya maanake wasipokaza wataambulia hela ya IST kwenye gari yenye thamani ya IST 50.
 
Huyo ni mfanya biashara, na wasio wafanya biashara ( usajiri wake usio wa kampuni bali ni mtu binafsi) hela inarudi vipi? Mwisho wa siku mifumo yetu ya kodi si rafiki ni kandamizi, hatuna viwanda vya magari, lazima tununue nje, kodi zinabidi ziwe fair sio 5 kwa 3 hakuna uwiano
 
Fair wewe unaona ni ngapi?
 
Imeniuma sana utafikiri ndiyo gari langu, hii TRA sio kabisa,, Rais mwinyi na Mama samia legezeni ushuru wa magari atleast nusu yake mu-iondoe.

Piaa msiangalie mbele kwa faida ya serikali tu, mtakufa na mtakutana na maswali huko muendako, so, muogopeni sana Mwenyezi Mungu, hii dunia tunapita tu ndugu zangu.
 
Unafikiri hio ni G wagon ya kwanza kuingia Tz? Kama 300m anaona nyingi angeagiza gari nyingine. Kaagiza hio anajua nini atalipia.
Ushuru ungekuwa chini, kuna uwezekano wa kuwepo nyingi zaidi ya zilizopo. Na sio kwa Brabus peke yake hata kwa brand zingine ambazo ni latest zingekuwepo nyingi na za miaka ya hivi karibuni
 
Back
Top Bottom