TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

TRA yaendelea kumkaba koo Toufiq Salum Turky kodi ya gari milioni 308.5

Chukua usd 214,660×2,300=555,818,000.
Yaani thamani ya gari ni nusu Billion.
Huo ushuru ni sahihi kwa mujibu wa Jini TRA
Ushuru kandamizi hata kama wamepitisha, haku uwiano wa million mitano na miatatu.. Wataalamu wetu wa kodi warekebishe baadhi ya mambo.. Sie hatuzalishi magari lazima tununue nje.. Wamenichosha nilitaka na mie kuagiza la hivyo acha nitulie na ist yangu 🤠🤠🤠.. TRA wana mchezo wa kubadiri ushuru mala kwa mala
 
Kudiscourage importations ya magari ya kifahari toka nje ni muendelezo wa akili za kimasikini nchini ni SAwa na Sheria ya ant dumping.
Una ant dumping nini SAsa wakati product yeyeto inaenda recycling baada ya matumizi yake kwisha.
Ant dumping principal ilikuwa na maana kabla ya ujio wa recycling industry.
Nisome vizuri ninachotetea usikurupuke tu kama huelewi uliza.
Hilo gari si la matumizi ya nyumbani ni kwa ajili ya matumizi ya kampuni inayotarajiwa kuzalisha faida imnufaishe
mwenye kampuni na Serikali ( kupitia Kodi ya mapato) na indirectly kwa wafanyakazi kuongezewa maslahi yao.
Unapoongeza gharama za uzalishali( usio wa lazima mfano ununuzi wa hizo asset kwa njia ya ubadhirifu) maana yake unapunguza faida, kupunguza faida maana yake unaikosesha Serikali mapato na unakwamisha maslahi ya wafanyakazi wako.
Au huelewi Kama hizo gharama mwisho wa siku ni Serikali inabeba kupitia depreciation allowances.
 
Sahih kbsa walime Kodi haswa mambo ya kifahar ipigwe kod vzr

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Acha mindset ya kitoto hii Mkuu, watu wanapinga kodi za TRA kwa maslahi ya watu wote matajiri na masikini, hozo kodi ndio zinafanya tuendeshe vi IST,unadhani hatutamani kusukuma Range Rover ?
 
Hii bwana RRONDO ushuru wake anaumudu 🤠🤠 hutosikia kelele za TRA
images.jpeg
 
Umenene vyema sana mkuu watu Happ wanaongeaongea eti kod kubwa alfu gar imeagizwa kupitia kampuni

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Pinga pinga utawaweza?
Serikali haina jema kwao halafu wao ndio wa mwanzo kulalamika Serikali haifanyi hivi inashindwa vile.
Lalamikia masikini kukamuliwa Kodi na tozo lakini si kwa matajiri
ambao gharama hizo hizo wanakuja kuzidai kwenye ritani zao za Kodi na mzigo unamrudia masikini.
Ni vizuri tu kuwawahi mapema kuwadiscourage.
 
Mnaopinga matajiri kulipa kodi, mbona wame distribute kodi kwa watu wote kwa njia ya tozo lakn mmepiga kelele hamtaki? Wafanyeje sasa kila kitu hamtaki?
Inasikitisha sna jmn mam Ni Bora uchukiwe na wote Ila kuwa na msimamo duh inchi hii Ina endeshwa kwa kelele na mlkila kitu kilalmikiwe

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Back
Top Bottom