TRA yafafanua ongezeko la ushuru wa magari

Nimeangalia bforward ist ya 2002 ya milioni 5.1 na visenti vyake mpaka DSM, bandarini ushuru wake ni milioni 5.6 na visenti nyake. Kweli kagiza gari kwa sasa ni anasa.
 
Kuna gari moja Zimbabwe jumla kodi waliikata kama one milion of TZS ila huku bongo gari ile kodi kwa wakati huo walikuwa wanachukua kama milioni 10 hivi.
Nenda hizi c center za be forward Japan au SBT kafanye utafiti juu ya hili
Bongo pagumu sana....
Ukienda Botswana, South Africa, Lethoto, Swaziland.....
Vijana wanaendesha magari mazuri sana ya kisasa....ie BMW,Benz Jaguar etc....
Lakini ukija bongo vijana wengi wanaendesha gari za ajabu ajabu.....Toyota IST, duet....carina, rav 4 Vanguad Noma sana!!
 
Umeona kipeperushi kilichokua kinasambaa??? Ambacho watu "wanadai" ndo bei zilizobadilishwa?(kodi)
Tuanzie hapo. Halafu kielezee kwa hayo maelezo yake
Achana naye mtu kama magu2016 hata haelewi TRA ni dude gani ndio atajua kikokotoo cha magari. TRA kwa sasa inatoza kodi in Advance mpaka kwenye nyumba za watanzania wanyonge

Eti Kodi ya mwaka huu hata kama hujaikalia uilipie Kodi, na ikifika July 2021 ulipe kabisa ya 2022, hayo makusanyo hayatatosha iko siku tutalipa kabla hatujafa.
Maana wana sheria wapangaji wasilipe in advance, walipe wakishakaa
sasa gari tarehe 1/January/2021 wanalima 30% wakati ni vitu vya kuzungumzika, ukishindwa kulipa 31M wanaiuza kwa mnada 7M tu au chini
 
Nimeangalia bforward ist ya 2002 ya milioni 5.1 na visenti vyake mpaka dsm bandarini ushuru wake ni milioni 5.6 na visenti nyake. Kweli kagiza gari kwa sasa ni anasa.
Hiyo mbona ndio kodi yake siku zote? Au zamani ilikuaje?
 
Kipindi cha upimbi na uumbwa kwa sisi raia wa TZ ndio awamu hii. Tunawaombea mabaya itokee nzinzaobongo ila mpate neema tele
 
Dah! Tuluokuwa tuna ndoto za kununua magari wacha tukomae kwenye Phoenix zetu. Hakuna namna
 
Tuwe wazalendo tuachie mamlaka, zitukamue tukusanye trilioni 4, kila mwezi! Sote tutumie bodaboda, kasoro wenye maviete ya mil 400!

Gari ilishakuwa necessity ila sasa tunachotaka kuaminishwa gari ni luxury.
Inasikitisha tunarudi kwenye ujima!

Everyday is Saturday............................... 😎
 
Wabunge wenyewe wako wapi?
 
Na kwa nini siku zote watu hawakulalamika? Kwani huo mchakato haukuwepo?
 

Eti wanaitwa gharama za kodi zimepanda. Kwa kazi ili inayopandisha gharama hizo?

Hadi pale serikali ya wananchi itakapochukus hatamu za uongozi safari bado.

Wanaojiwekea kutolipa kodi au misamah ya kodi wanajua vipi machungu ya udhwalimu wao?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…