Ambivert88
JF-Expert Member
- Aug 16, 2022
- 3,609
- 6,388
CCTV camera ofisi za Wasafi hakuna au mnatuletea ushubwada hapa? Facken shitNenda Youtube utamsikia mwemyewe Mond mpaka kuhusu makadilio ya kodi na mpaka Kampuni ya Wasafi kuidai TRA zaidi ya Million 60 na juzi TRA walivamia Wasafi Media.
Sasa makasiliko yann kama umesingiziwa ww? Mond anawezaje kuisingizia TRA? mwenwe mpka anasema TRA wanamfanyia kama mkimbizi! Mpaka anajiuliza kwani wanania gani na kampuni zake!CCTV camera ofisi za Wasafi hakuna au mnatuletea ushubwada hapa? Facken shit
Mkuu leta hapa ushahidi wa CCTV camera km huna kaa kimyaSasa makasiliko yann kama umesingiziwa ww? Mond anawezaje kuisingizia TRA? mwenwe mpka anasema TRA wanamfanyia kama mkimbizi! Mpaka anajiuliza kwani wanania gani na kampuni zake!
Hii ndio Bongo bhnahMama alisema sitaki kodi za dhulma alisahau anaongoza Tanzania na sio msikiti
Wanalazimisha watu kuficha fedha zao nje ya nchi.ni rahisi sana kuweka fedha zako nje ya nchi na kuzitumia nchini.Hasa kwa sasa ambapo techonologia ya miamala imekuwa..Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Hizo hapo! Maana akili yako inaonekana inashidaMkuu leta hapa ushahidi wa CCTV camera km huna kaa kimya
Wewe kichwa chako kina matatizo sio kosa lako, namheshimu mama yako aliekuzaaHizo hapo! Maana akili yako inaonekana inashidaView attachment 2463674
Muombe mkapige show ya chama itawalipa.Ngedere ninyi!😂😂😂Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Inawezekana ukawa huzijui CCTV Camera brother! Nimekuletea maana hujui kama kuna CCTV CAMERA na CCTV FOOTAGEWewe kichwa chako kina matatizo sio kosa lako, namheshimu mama yako aliekuzaa
Mkuu hizo hizo wewe onyesha hapa hizo video za CCTV zikimuonyesha Bi Husna akipakua Million 700 za Mondi km huna kaa kimyaInawezekana ukawa huzijui CCTV Camera brother! Nimekuletea maana hujui kama kuna CCTV CAMERA na CCTV FOOTAGE
Mkisha karirishwa vijiwen CCTV CAMERA mnajiona wajuaji sanaHizo hapo! Maana akili yako inaonekana inashidaView attachment 2463674
Dah! Yani tuna mabogus hapa nchin!Mkuu hizo hizo wewe onyesha hapa hizo video za CCTV zikimuonyesha Bi Husna akipakua Million 700 za Mondi km huna kaa kimya
Wewe ropoka unavyojua ukimaliza leta hapa ushahidi wa CCTV uwe footage uwe camera utajua wewe na Mama yako, huna ushahidi piga kimyaMkisha karirishwa vijiwen CCTV CAMERA mnajiona wajuaji sana
Iwe bogus iwe chodus utajua wewe na crew yako ya usafini leta video footage za Bi Husna akipakua Million 700 za Mondi huna kaa kimyaDah! Yani tuna mabogus hapa nchin!
Ni uonevu wa hali ya juu sana. Serikali inapora raia wake pesa
TRA hawawezi msingizia mondi,alipe Kodi,ndo kujenga nchi hukoSasa makasiliko yann kama umesingiziwa ww? Mond anawezaje kuisingizia TRA? mwenwe mpka anasema TRA wanamfanyia kama mkimbizi! Mpaka anajiuliza kwani wanania gani na kampuni zake!