TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Ccm mbere kwa mbere
 
Nashangaa mteja wa TRA anapolalamika kutembelewa na maafisa wa TRA, nini Kiko nyuma ya hofu ya Diamond?

GSM juzi kaingiza semi trailer 250, haogopi ugeni wa TRA. Mtu aliyelipa kakodi kwa milioni 800 ka magari kelele mingi.

Serikali, Hilo jambo mlilolijua, likazieani buti, najua analia ili kujikinga.

Kaizari asipangiwe jinsi ya kukagua kama kilicho chake kinalipwa
 

Kwa hiyo Chadema sasa hivi mnasema hakuna kodi za dhulma?
 
Ndo matokeo ya upuuzi wenu na ushamba.

Mara nanunua ndege,mara royce royce 2, mara mil 94 cheni, mara nna hela najjlikana,
Huku lofa mwingine anaiga ,nahonga range 2, mara nantombe mama na ntoto, mara nna ghorofa.

Mafisi yanawasoma tu huko ofisini yanapiga hesabu.
Sallam kashanusa soo lililoko mbele ndo mana kakaa "mguu tegua"
 
Halipi Kodi, Yuko bize kusafirisha makubwa jinga MWIJAKU na baba levo Qatar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…