Amigoh
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 2,045
- 2,975
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo hapo! Maana akili yako inaonekana inashidaView attachment 2463674
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
[emoji23][emoji23][emoji23]Hizo hapo! Maana akili yako inaonekana inashidaView attachment 2463674
Ndio maana sitakujaga niwaelewe awa wanafki na mitaa imewastukia imewakacha bora watu wawe busy na soka au mandonga kuliko awa matapeli wa kaskazinHawa hawa ndio wakati wa Magu walikuwa wanasema TRA wanaonea watu wanaua biashara.eo hii eti TRA haiwezi kuonea mtu!
Kwahiyo umeleta hii thread hapa Chadema wakusaidie? Acha ujinga. Pambaneni na hali zenu wtf?Kwa hiyo Chadema sasa hivi mnasema hakuna kodi za dhulma?
Mzee unapambana nae tangu najiunga jf hauchoki na jamaa anazid barikiwa. Kuna kitu hutaki jifunza kuhusu maisha chuki zimekuzidi nguvu
Chadema walishawai msaidia nani wapo ikulu saivi wanakata wagaiwe keki ya nchi??Kwahiyo umeleta hii thread hapa Chadema wakusaidie? Acha ujinga. Pambaneni na hali zenu wtf?
We jamaa ni mpumbavu kinoma. Kwahiyo kwa akili yako Bi Husna alienda ofisi za Wasafi kubeba milioni 700? Diamond ni mpuuzi kiasi gani akae na 700m ofisini? Saa nyingine ninyi wavuta bangi msiwe mnacomment kwenye nyuzi zinazohitaji akili.Mkuu hizo hizo wewe onyesha hapa hizo video za CCTV zikimuonyesha Bi Husna akipakua Million 700 za Mondi km huna kaa kimya
Nadhani hii si mara ya kwanza Diamond kulia lia kuhusu kodi. Kuna wakati hadi Prof Jay alimtetea bungeni. Huyu kijana anatakiwa aambiwe sasa kashakua mfanyabiashara seriously kwahiyo ule upumbavu wa kutangaza nimeingiza bilioni kadhaa au ninalipwa milioni kadhaa aache. Kwenye biashara hakuna mambo ya kujitapa ninaingiza mabilioni labda kama anatakatisha. Pia ajizuie kuitunishia serikali misuli. Diamond ana historia mbaya ya kumtunishia misuli aliyekuwa naibu waziri Juliana Shonza bahati nzuri likapita salama lile suala. Kwa hawa TRA atavurugwa... serikali haitaweza kumvumilia sana kwenye ishu ya kodi. Watamvuruga.
Mchengwala = Mchengerwa. Wewe chawa bora ungekaa tu kimya hakuna unachojua wala kuelewa. Hakuna dude kubwa mbele ya serikali. Hakuna serikali makini duniani inayoweza tingishwa na raia wake.Unajua lakini kinachoendelea nyuma ya pazia baada ya kuwalipua leo?
Diamond ni dude kubwa sana serikali inalifahamu ilo muulize mchengwala
Kwani bwana diamond alikuwa analipa kodi? Au ni muhuni mkwepa kodi tu kama wengine?)Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.
Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.
Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.
Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.
Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.