TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Hawa hawa ndio wakati wa Magu walikuwa wanasema TRA wanaonea watu wanaua biashara.eo hii eti TRA haiwezi kuonea mtu!
Ndio maana sitakujaga niwaelewe awa wanafki na mitaa imewastukia imewakacha bora watu wawe busy na soka au mandonga kuliko awa matapeli wa kaskazin
 
Mzee unapambana nae tangu najiunga jf hauchoki na jamaa anazid barikiwa. Kuna kitu hutaki jifunza kuhusu maisha chuki zimekuzidi nguvu

Ukiona TRA wamekupika PINI juwa haulipi KODI ,mwambie Boss wenu alipe KODI aache JANJA JANJA kama ZA KANJIBHAI MUDI.

Huyo Daimamo awe na Mabilioni au awe masikini kwangu sina effect yeyote coz sina interaction naye 100% ,.

Mimi nipo Porini minjingu nachoma mkaa...kheri wewe upo kwenye payroll lazima umlambe miguu hata kama akikosea.
 
TRA wajaribu kumpa Diamond muda wa kulipia taratibu, flexible payment hata Kwa mwaka mmoja au miwili, TRA wasiwe na haraka ya kukamata au kufunga account, biashara ni ngumu sana, unaweza uza na print receipt ya bil 3 Leo hii, baada ya mwezi TRA wanataka pesa ya Kodi Yao ilihali wewe hata malipo hujapata , ikaenda hadi miezi sita hujapata pesa Yako , TRA wao wanataka ulipe, tena wana kuambia lips kidogo ili hali wewe una ngoja malipo,hatimae wanaanza vitisho na hatimae wana kuja kibabe.

TRA wana takiwa wavumilie na wamsaidie mteja na wamuelewe, na pia waelewe nature ya biashara, sio kutuma control numbers za kulipia, wana takiwa wamuuite Diamond wakae mezani watafuta njie na hata kumshauri jinsi na taratibu nzuri za kulipa Kodi na wao wajue Kuna tatizo gani.

Biashara zingekuwa Rahisi kila mtu angekuwa Billionaire, TRA watambue hilo.
 
TRA wakimkomba kila kitu asisahau kubakisha Aftatu apate chuma cha Mjerumani hiki.
20221230_214703.jpg
 
Kwahiyo umeleta hii thread hapa Chadema wakusaidie? Acha ujinga. Pambaneni na hali zenu wtf?
Chadema walishawai msaidia nani wapo ikulu saivi wanakata wagaiwe keki ya nchi??

Nashangaa vijana wa Chadema mnamshambulia Diamond ilihali mmiliki wa chama chenu aliposema kazuiliwa akaunti zake mlikuwa mnalia miezi na miezi umu mkitetea wakabila sana iko chama chenu mmejaa wivu na chuki
 
Mkuu hizo hizo wewe onyesha hapa hizo video za CCTV zikimuonyesha Bi Husna akipakua Million 700 za Mondi km huna kaa kimya
We jamaa ni mpumbavu kinoma. Kwahiyo kwa akili yako Bi Husna alienda ofisi za Wasafi kubeba milioni 700? Diamond ni mpuuzi kiasi gani akae na 700m ofisini? Saa nyingine ninyi wavuta bangi msiwe mnacomment kwenye nyuzi zinazohitaji akili.
 
Nadhani hii si mara ya kwanza Diamond kulia lia kuhusu kodi. Kuna wakati hadi Prof Jay alimtetea bungeni. Huyu kijana anatakiwa aambiwe sasa kashakua mfanyabiashara seriously kwahiyo ule upumbavu wa kutangaza nimeingiza bilioni kadhaa au ninalipwa milioni kadhaa aache. Kwenye biashara hakuna mambo ya kujitapa ninaingiza mabilioni labda kama anatakatisha. Pia ajizuie kuitunishia serikali misuli. Diamond ana historia mbaya ya kumtunishia misuli aliyekuwa naibu waziri Juliana Shonza bahati nzuri likapita salama lile suala. Kwa hawa TRA atavurugwa... serikali haitaweza kumvumilia sana kwenye ishu ya kodi. Watamvuruga.
 
Kwenye kampun ya Nasibu anatakiwa kufata taratibu za makampuni mengine mfano
Makadirio ya kila mwaka ambayo kila baada ya miezi mi3 lazima alipe
Audited financial statement ambayo lazima a submit
Filling ya management accounts
Sasa kama hafanyi lazima aumie
 
Nadhani hii si mara ya kwanza Diamond kulia lia kuhusu kodi. Kuna wakati hadi Prof Jay alimtetea bungeni. Huyu kijana anatakiwa aambiwe sasa kashakua mfanyabiashara seriously kwahiyo ule upumbavu wa kutangaza nimeingiza bilioni kadhaa au ninalipwa milioni kadhaa aache. Kwenye biashara hakuna mambo ya kujitapa ninaingiza mabilioni labda kama anatakatisha. Pia ajizuie kuitunishia serikali misuli. Diamond ana historia mbaya ya kumtunishia misuli aliyekuwa naibu waziri Juliana Shonza bahati nzuri likapita salama lile suala. Kwa hawa TRA atavurugwa... serikali haitaweza kumvumilia sana kwenye ishu ya kodi. Watamvuruga.

Unajua lakini kinachoendelea nyuma ya pazia baada ya kuwalipua leo?
Diamond ni dude kubwa sana serikali inalifahamu ilo muulize mchengwala
 
Unajua lakini kinachoendelea nyuma ya pazia baada ya kuwalipua leo?
Diamond ni dude kubwa sana serikali inalifahamu ilo muulize mchengwala
Mchengwala = Mchengerwa. Wewe chawa bora ungekaa tu kimya hakuna unachojua wala kuelewa. Hakuna dude kubwa mbele ya serikali. Hakuna serikali makini duniani inayoweza tingishwa na raia wake.
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Kwani bwana diamond alikuwa analipa kodi? Au ni muhuni mkwepa kodi tu kama wengine?)
 
Back
Top Bottom