TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

Nadhani hii si mara ya kwanza Diamond kulia lia kuhusu kodi. Kuna wakati hadi Prof Jay alimtetea bungeni. Huyu kijana anatakiwa aambiwe sasa kashakua mfanyabiashara seriously kwahiyo ule upumbavu wa kutangaza nimeingiza bilioni kadhaa au ninalipwa milioni kadhaa aache. Kwenye biashara hakuna mambo ya kujitapa ninaingiza mabilioni labda kama anatakatisha. Pia ajizuie kuitunishia serikali misuli. Diamond ana historia mbaya ya kumtunishia misuli aliyekuwa naibu waziri Juliana Shonza bahati nzuri likapita salama lile suala. Kwa hawa TRA atavurugwa... serikali haitaweza kumvumilia sana kwenye ishu ya kodi. Watamvuruga.

Alikua anapewa jeuri na Makonda , sasa hivi naona anajipenyeza kwa Mh Tulia

Diamond anapenda kujipendekeza kwa viongozi hili aweze kufanya ujinga wake akidhani watamkingia kifua kwa upepo wake mdogo wa Elimu ya darasa la saba anadhani ukiwa karibu na viongozi unapata na Hati Miliki ya Nchi
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Toa sababu kwa nini wamepora... hawajaamka tu na kusema leo tukapore kwa fulani.. ukishindwa kutoa sababu basi ujue ni magumashi ndio maana kaporwa...
 
Chadema walishawai msaidia nani wapo ikulu saivi wanakata wagaiwe keki ya nchi??

Nashangaa vijana wa Chadema mnamshambulia Diamond ilihali mmiliki wa chama chenu aliposema kazuiliwa akaunti zake mlikuwa mnalia miezi na miezi umu mkitetea wakabila sana iko chama chenu mmejaa wivu na chuki
Kama mwenyekiti wa CHADEMA alizuiliwa akaunti zake bila kuja hapa JF, basi na nyie mtumie njia hizo hizo. Lakini kumbuka kuwa Diamond ni ccm. Sasa sijui chadema imetoka wapi hapo!?

Please tumia akili.
 
Hawa ndio walisema Wapinzani tunawachelewesha wakawa wanafurahia uonevu dhidi ya wengine.

Ngoja na sisi tukae kimya. Si na yeye aliimba song kabisa kwamba Bora akae kimya kipindi ambacho watu walikuwa wanatekwa na kupotezwa?
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Fanyen kaz bhana simlikuwa mnaimba kwenye kampen ama
KAZI IENDELEE
 
Hawa hawa ndio wakati wa Magu walikuwa wanasema TRA wanaonea watu wanaua biashara.eo hii eti TRA haiwezi kuonea mtu!
Na wewe wakati huo ulisimama upande wa nani?

Bila kuungana watz wote tukakataa uonezi hui eti kwa sababu yamemkuta mtu fulani tu wewe hayakuhusu mwisho wa siku kuimba kupokezana.

Mambo mabaya ktk nchi tuyakemee kwa pamoja.
 
We jamaa ni mpumbavu kinoma. Kwahiyo kwa akili yako Bi Husna alienda ofisi za Wasafi kubeba milioni 700? Diamond ni mpuuzi kiasi gani akae na 700m ofisini? Saa nyingine ninyi wavuta bangi msiwe mnacomment kwenye nyuzi zinazohitaji akili.
Unajua nini mkuu nakuheshimu sababu unatembelea tu Jina la huyo Mama na sababu nawaheshimu sana mama zangu, but apart from that you're just a facking bitch who think she can get on every dick, ulishawahi niona nikiichoma hio bange? Who are you to judge me? Wasafi? Choko mzee wewe kafichwe mbele uko biytch I facked You Up so what?
 
Ama kwa hakika uonevu na unyama huu uliofanyika na taasisi kubwa ya serikali yani TRA sio wa kufumbiwa macho.

Imepora sh million 700 kwenye akaunti binafsi za msanii Diamond Platnumz.

Hii imefanya Diamond aamue kulalamika baada ya uonevu huu kuzidi.

Haya mambo ndio yanafanya watu waichukie serikali ya Mama Samia sababu kuna watendaji wanamchonganisha na raia.

Mama Samia tunaomba uingilie kati tuondolee huyo DG wa TRA.
Wao siyo wehu wachukue vijisenti vya mtetea ushoga huyu wakati wako wenye mabilioni na hayaguswi
 
Nadhani hii si mara ya kwanza Diamond kulia lia kuhusu kodi. Kuna wakati hadi Prof Jay alimtetea bungeni. Huyu kijana anatakiwa aambiwe sasa kashakua mfanyabiashara seriously kwahiyo ule upumbavu wa kutangaza nimeingiza bilioni kadhaa au ninalipwa milioni kadhaa aache. Kwenye biashara hakuna mambo ya kujitapa ninaingiza mabilioni labda kama anatakatisha. Pia ajizuie kuitunishia serikali misuli. Diamond ana historia mbaya ya kumtunishia misuli aliyekuwa naibu waziri Juliana Shonza bahati nzuri likapita salama lile suala. Kwa hawa TRA atavurugwa... serikali haitaweza kumvumilia sana kwenye ishu ya kodi. Watamvuruga.
Andika hivi kisha pita kushoto sio lazima uni-quote na kunipaka kinyesi au kunitoa kasoro, punguza mihemko ukinipaka kinyesi mimi nakunyea kabisa tena nakunyea haswa alafu tuone siangalii unatembelea jina la nani, nyuma ya keyboard you're just a normal person majina yasitupumbaze tukajichukulia km watu fulani kumbe nothing, I'm out see you tomorrow
 
Ndio maana sitakujaga niwaelewe awa wanafki na mitaa imewastukia imewakacha bora watu wawe busy na soka au mandonga kuliko awa matapeli wa kaskazin
Asake wa Tandale amebanwa kwenye kona ya kitanda ndiyo umepata akili leo.
40C0A3B4-69D2-4ACB-A52F-E379808D60E5.jpeg
 
Alikua anapewa jeuri na Makonda , sasa hivi naona anajipenyeza kwa Mh Tulia

Diamond anapenda kujipendekeza kwa viongozi hili aweze kufanya ujinga wake akidhani watamkingia kifua kwa upepo wake mdogo wa Elimu ya darasa la saba anadhani ukiwa karibu na viongozi unapata na Hati Miliki ya Nchi
Awe makini sana. Diamond ni maarufu tu ila sio powerful kama anavyodhani. Pia kuishi kiamerika sana kwenye nchi ya kijamaa inaweza ikam-cost. Bado ni mapema ashauriwe tu. Yule kijana ni msikivu akionywa mapema.
 
Back
Top Bottom