Mimi.
JF-Expert Member
- Sep 7, 2011
- 2,120
- 3,059
Nadhani hii si mara ya kwanza Diamond kulia lia kuhusu kodi. Kuna wakati hadi Prof Jay alimtetea bungeni. Huyu kijana anatakiwa aambiwe sasa kashakua mfanyabiashara seriously kwahiyo ule upumbavu wa kutangaza nimeingiza bilioni kadhaa au ninalipwa milioni kadhaa aache. Kwenye biashara hakuna mambo ya kujitapa ninaingiza mabilioni labda kama anatakatisha. Pia ajizuie kuitunishia serikali misuli. Diamond ana historia mbaya ya kumtunishia misuli aliyekuwa naibu waziri Juliana Shonza bahati nzuri likapita salama lile suala. Kwa hawa TRA atavurugwa... serikali haitaweza kumvumilia sana kwenye ishu ya kodi. Watamvuruga.
Alikua anapewa jeuri na Makonda , sasa hivi naona anajipenyeza kwa Mh Tulia
Diamond anapenda kujipendekeza kwa viongozi hili aweze kufanya ujinga wake akidhani watamkingia kifua kwa upepo wake mdogo wa Elimu ya darasa la saba anadhani ukiwa karibu na viongozi unapata na Hati Miliki ya Nchi