Raphael Thedomiri
JF-Expert Member
- Sep 1, 2019
- 442
- 729
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mwendakuzimu Jiwe alifuga vijizi Vingi Sana Yule MzeeDiamond inasemekana ni mkwepa kodi mzuri na mtakatishaji pesa mahiri.
Njaa Ni mbaya Sana , tafuta hela binti roho za husda zinakusumbuaCCTV footage zote ziwe open sio futi kafunika futi na futi kafunika futu, aonyeshe wapi kaonewa sio kulialia tu Kodi halipi so what?
Wewe umejuaje kama Diamond anadhulumiwa au yeye ndio alikwepa Kodi sasa wenye Kodi wameifuataMangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.
Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.
Umejuaje kama hawakukaa nae Before ?Huwezi fidia kodi kihunni kuna utaratibu wa kukaa na mteja na kuongea aelewe au kumpa utaratibu wa kulipa sio kuzuia akaunti zake
Tulia Zuchu Dawa ikuingieniMwanaume wivu na roho mbaya havijawai mletea msosi mezani. Komaa na spices mkuu wivu sio mtaji
Achana na Zuchu huyoWalivamia saa ngap? Ofisi za Wasafi hazina CCTV? Kwanin habari hii imefichwa?
Km huna hayo majibu wewe chawa jike piga kimya
Na TRANumewasikia pia ?Sasa makasiliko yann kama umesingiziwa ww? Mond anawezaje kuisingizia TRA? mwenwe mpka anasema TRA wanamfanyia kama mkimbizi! Mpaka anajiuliza kwani wanania gani na kampuni zake!
Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.
Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.
Tatizo kazungukwa na makanjanjaJamaa anapenda lia likija swala la kodi.
Ila yaonesha ana washauri wabaya wa mambo ya kodi
Haina shida ila fuata due process. Usipofuata due process ujue mahakamani unashindwa mchana kweupe.Hakuna mtu amewahi shinda kesi dhidi ya TRA
TL 2016Dhulma mmeiona leo baada ya Asake wa Tandale kudaiwa kodi??
“Wakimalizana na sisi watageukiana wao kwa wao”
Utasubiri sana wazee wachama hawaguswi. Ndio wanaotoa ufadhili.Hii nchi wengine tumeamua kujifanya MACHINGA wa kudumu kwasababu ya mambo kama haya.
Stay Low,Play Low kelele zikizidi tu ukajulikana mambo kama haya ni ya kawaida sana,iwe kwa kuenewa iwe kwa haki.
Ukitaka ishi kwa amani hii nchi,chagua kufahamika na ndugu zako tu hao wengine huku nnje wakikujua sana tena wakajua una hela.. ndio utafukunyuliwa kama hivi sasa.
wanaopona ni waajiriwa wa serikalini tu,ila Mfanyabiashara tena Mkubwa unaliwa taiming tu.
Nasubiri VUNJABEI nae,soon tutaskia Mlio.. we ngojea.
Nitafute hela gani tena we Mbwiga?Acha roho mbaya na wivu WA kimasikini
Kwani ni kosa kisheria Kufanya yote hayo ...
Tafuta hela kijana chuki za kuchukia wenye hela hazitakusaidia
Acha kupayuka kama mwendawazimu wewe chawa!Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.
Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.