TRA yafanya uonevu mkubwa, yapora milioni 700 kwenye akaunti binafsi za Diamond Platnumz

"Suala analolilalamikia Bw. Nasibu Abdul linahusu ukiukwaji wa sheria za kodi" TRA.
 
Attachments

  • Screenshot_20221231_084633_Twitter.jpg
    Screenshot_20221231_084633_Twitter.jpg
    234.6 KB · Views: 2
Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.

Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.
Wewe umejuaje kama Diamond anadhulumiwa au yeye ndio alikwepa Kodi sasa wenye Kodi wameifuata
 
Sasa makasiliko yann kama umesingiziwa ww? Mond anawezaje kuisingizia TRA? mwenwe mpka anasema TRA wanamfanyia kama mkimbizi! Mpaka anajiuliza kwani wanania gani na kampuni zake!
Na TRANumewasikia pia ?
 
Hii nchi wengine tumeamua kujifanya MACHINGA wa kudumu kwasababu ya mambo kama haya.

Stay Low,Play Low kelele zikizidi tu ukajulikana mambo kama haya ni ya kawaida sana,iwe kwa kuenewa iwe kwa haki.

Ukitaka ishi kwa amani hii nchi,chagua kufahamika na ndugu zako tu hao wengine huku nnje wakikujua sana tena wakajua una hela.. ndio utafukunyuliwa kama hivi sasa.

wanaopona ni waajiriwa wa serikalini tu,ila Mfanyabiashara tena Mkubwa unaliwa taiming tu.

Nasubiri VUNJABEI nae,soon tutaskia Mlio.. we ngojea.
 
Utasubiri sana wazee wachama hawaguswi. Ndio wanaotoa ufadhili.

Umesahau historia ya Hamza?
 
Acha roho mbaya na wivu WA kimasikini

Kwani ni kosa kisheria Kufanya yote hayo ...

Tafuta hela kijana chuki za kuchukia wenye hela hazitakusaidia
Nitafute hela gani tena we Mbwiga?
Sina wivu wowote na hela zao hao wakuja ila wakiosha wakaoshwa wasilalamike
 
Mangi TRA wamechukua pesa za akaunti yake binafsi huu ni uonevu. Usinimbie hata chama chenu kikichukua nchi mtakuwa mnaonea watu kwa namna hii .
Jana walivamia ofisi za Wasafi wakataka kutia kufuli.

Mama Samia alisema hataki kodi za dhulma.
Acha kupayuka kama mwendawazimu wewe chawa!
Dawa ni kuipa kodi sio kukwepa!
hadi TRA wamefanya hivi inaonekana jamaa ni mkwepa kodi sugu!
 
Back
Top Bottom