TRA yafungulia akaunti zote za Wafanyabiashara zilizokuwa zimefungwa kutokana na madeni ya kodi

kasome upya hiyo habari. wote waliokuwa wamefungiwa account zao sababu ya madeni pesa zao zimelipa madeni waliokuwa wanadaiwa na serikali na taasisi zake... kwa hiyo kama ulikuwa unadaiwa kiasi fulani hutokikuta na penalt juu...

Kwa hiyo waliokuwa wamefungiwa account ni wale waliokuwa wanadaiwa na TRA pamoja na taasisi nyingine za serikali na pesa zao zimefidia madeni yao.

kwa hiyo si kila mfanya biashara alifungiwa account bali wadaiwa sugu na pesa zilizo katwa ni wanzo daiwa pamoja na penalt.......
 
Kisheria TRA walikuwa SAHIHI NA PESA HAZITORUSHIDISHWA NA KAMA KUNA MADENI KWA HAO WALIPA KODI LAZIMA WATAYALIPA TU. HAKUNA SHORTCUT KWENYE KODI HATA RAIS AWE NANI.
Kwa nini warudishe accounts ambazo hazina hela ,huu ni uporaji
 
Umeshaambiwa zitarejeshwa kwanini usiwe Mvumilivu Kwanza ili taratibu zingine zifuatwe na unalazimisha ujue exactly day and date? Kuna Mfanyabiashara unataka Kumkopa au Ulimkopa?
 
Kuna mtu kauliza
akaunti ikifungwa ndio na fedha zinachotwa???
Yes ZIKIFUNGWA PESA ZINACHUKULIWA. MFANO KAMA TRA UNADAIWA 300M na kwenye A/C una 305M BASI TRA HUKOMBA MIL 300 na kukuachia MANYOYA ya MIL 5 yako, na hapo huruhusu BENKI kukufungulia A/C na kama A/C ina pesa pungufu ya Deni la TRA basi kilichopo hukombwa chote na A/C HUFUNGWA MAZIMA.
 
Umeshaambiwa zitarejeshwa kwanini usiwe Mvumilivu Kwanza ili taratibu zingine zifuatwe na unalazimisha ujue exactly day and date? Kuna Mfanyabiashara unataka Kumkopa au Ulimkopa?
Mkuu ogopa kuwa na deni na serikali, au ogopa kitu kuikopesha hela halafu utegemee ulipwe leo au kesho,miaka 10 ijayo,sembuse hela waliyokwapua si itarudishwa baada ya vizazi 3
 
Kwa nini warudishe accounts ambazo hazina hela ,huu ni uporaji
Sio uporaji, tatizo wanachi wa TZ mnapenda sana habari za mitandaoni na hamna utaratibu wa kuwauliza wale maofisa wa TRA. MTU ANADAIWA KODI MAMILIONI NA HALIPI NA PESA ANAZO KWENYE A/C YAKE UNATAKA SERIKALI WAFANYAJE? NYIE MNADHANI TRA WANAJITUNGIA ZILE SHERIA? SHERIA ZOTE ZA KODI ZIMETUNGWA BUNGENI, HIVYO WABUNGE KULALAMIKA NI WASENGE TU MAANA WAO NDIO WAMELETE HIZO SHERIA. TRA WANAMAMLAKA YA KUZUIA ACC YAKO PINDI WANAPOKUDAI LKN PIA WANA MAMLAKA YA KUUZA HATA MALI ZAKO ILI KUFIDIA DENI LA KODI.
 
Uki freeze account yake usitegemee kama huyo mtu atakulipa, utakuwa umemyanganya nyezo ya Kibiashara.
 
Kwa yshauri wangu, mwenye madai aende mahakamani otherwise naona wadai hewa wakilipwa.
 
Jamaa alikuwa jambazi na mwivi, alijifunzia wapi roho ngumu, mwone anavyobana mikono kanisani, huyu hata shetani anamkimbia!
 
Tulikuwa tunaelekea uchumi wa Mgabe.Mungu ni mwema katuepusha na balaa kubwa.
 
Hujui kuhusu kodi ila una general knowldge na hadithi ndefu tu.
PIT unaweza kujikadiria na ukapeleka hesabu kama CT.
VAT halipi mfanyabiashara. WT zote na interest na penalties utaratibu ni wa wazi. Mfumo wa kukusanya unajulikana ni wa C#. Acha porojo.
 
Mimi ni mtetezi wa wanyongeeeeee-Shujaa
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Wewe unashangilia upumbavu. Kama umesoma vizuri taarifa ya aTRA ni kwamba hatua ya kushikilia akaunti ya mtu ni ya mwisho kabisa, baada juhudi nyingine kushindikana.

Yaani mtu akwepe kodi kwa makusudi halafu muanze kubembelezana. Kukwepa kodi ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Nendeni kwenye nchi za watu muone kama kuna mtu anabembelezana na wakwepa kodi. Ninachojua kwa uhakika hizo kodi hazitalipwa na TRA hawatakua na meno tena ya kuwafanya wafanyabiashara walipe kodi. Kwa ufupi IMEISHA HIYO
 
Watu hawaelewi, wanashangilia ujinga. Matokeo ya maamuzi haya tutayaona muda mfupi sana. Hakuna nchi inayobembelezana na wakwepa kodi. Kuna nchi mpaka wanamichezo wanafungiwa na kupelekwa mahakamani kwa kukwepa kodi.
 
Ni vizuri maana wengine mkishika hapo ina maana kila kitu kinasimama ajira za watu hata kile kidogo cha kodi nacho kinapotea kabisa maana kama umefreeze acc...biashara itaendeleaje kwa kulipa kidogo kidogo wanaepusha mengi....hongera TRA
Hongera Mama mkubwa Samia Rais mwadilifu na mcha Mungu.
 
View attachment 1793042

Huo ndio utaratibu duniani njia za kistaarabu muda wake unapoisha kinachofuata watu wanavamia account yako wanakomba, halafu ndio mnaenda mahakamani kama unadhani umeonewa...
Umeongea ukweli kabisa. Matokeo tutayaona muda siyo mrefu. Serikali itakaposhindwa kutekeleza miradi yake. Ndo maana sasa tunaanza kuingizwa kwenye project za corona ili tupate fedha za kuendeshea nchi.
 
Wafanyabiashara tena "watanzania" mkae mjadili! mnajadili au mnafungua mianya ya kupeana Rushwa/Hongo?!

Mtu halipi kodi mwaka wa 4 sasa,mnajadiliana nini?! Nyie endeleeni kujilia bana nchi ishashikiliwa na mliotaka waishike

Nchi hii kwa mwendo huu wa kubembelezana tutafika ila safari itakua ndefu sana,Sijui kwann siuelewi huu uongozi saivi.
 
Kilatha, kunyang'anya fedha za wananchi kwa sababu ya miradi iliyoanzishwa bila mpangilio is TOTAL INSANITY...
Acha upumbavu wewe unaongea usichokijua. Yaani JK aliyekua anakusanya bil.750 kwa mwezi ndiye bora kulikonhuyu aliekua anakusanya karibu tril. 2 kwa mwezi. Hebu tukumbushe ni mradi gani wa maana wa kimkakati uliofanywa na JK.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…