Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hilo wala halina ubushi, hila sio muda mrefu utaelewa kukopesheka bila idhini ya IMF na WD sio jambo rahisi.
Wakopaji walikuwa wanamuamini Magufuli anauwezo wa kulipa, tuombe na mama apewe imani ile ile waliyokuwa nayo kwa hayati.
Yule Bwana alituharibia Sana nchi.check mfano ishu ya mishahara ya watumishi sio rahisi kuibalance ije ikae sawa.Ni vizuri maana wengine mkishika hapo ina maana kila kitu kinasimama ajira za watu hata kile kidogo cha kodi nacho kinapotea kabisa maana kama umefreeze acc...biashara itaendeleaje kwa kulipa kidogo kidogo wanaepusha mengi....hongera
Truth be told, mazoea mabaya ya muda mrefu yamewafanya wafanyabiashara wengi wawe na kasumba ya kutoridhia kutii sheria bila shurti --- lugha ya kutoa kodi kwa hiari hawaielewi kamwe.
Wamejifunza njia ya mikato, ujanjaujanja, wiziwizi, rushwarushwa, dilidili and the like. Sasa wakiletwa kwenye mstari, by definition, wao wanadhani wanaonewa. What!???
Wewe hukuwa mfanyakazi wa Serikali. Hakuna mfanyakazi wa Serikali alikuwa anapata mshahara tarehe 5/ mwezi unaofuataUmeongea pumba tu uyo jk aliekua akilipa mishahara mwezi unaofata tarehe 5 kwenda huko ndio WA kumuongelea hapa? nchi ilichoka kila sehemu umeme kukatika hovyo,panya road Leo mnajitia kusahau hii nchi Ina viumbe WA ajabu Sana,Bila Kodi Hakuna maendeleo lipa Kodi ili usiingie matatizoni
Sent from my CPH1923 using JamiiForums mobile app
OK nimekupata; tatizo bado unachanganya utaratibu wa jinsi ivyo vitu vinavyodaiwa.
Ukiwa na mawazo ya chapchap huwezi kuelewa kwanini mwendazake alipendwa kwa ubaya na uzuri.Utamaduni wa Mtanzania ni kukwepa deni ndiyo anajiona mjanja.Pia kuna fedha na vifaa vilivyoporwa kwenye bureau de change virudishwe kwa wenyewe. Mwendazake alikuwa mtu mwovu sana. Kinachonishangaza kuna watu watu walikuwa wanampenda! Mungu mwema sana!
Wewe ndiye mpumbavu kwa kukurupuka kwa kudhani kuwa Mwendazake alikuwa anakusanya sana kuliko JK, nitakupa sababu ;Acha upumbavu wewe unaongea usichokijua. Yaani JK aliyekua anakusanya bil.750 kwa mwezi ndiye bora kulikonhuyu aliekua anakusanya karibu tril. 2 kwa mwezi. Hebu tukumbushe ni mradi gani wa maana wa kimkakati uliofanywa na JK.
POLE ndugu.TRA sasa wanavunja sheria; mkwepaji wa kodi anapaswa kupata staili yake
MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi
Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF).
Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano na wafanyabiashara hao wenye madeni ili walipe kwa utaratibu maalum.
Amesema sheria inairuhusuTRA kushikilia akaunti ya mtu yeyote ambaye anadeni la kodi kama njia ya kupata fedha ambazo serikali inadai.
Lakini Kayombo amesema uamuzi wa kushikilia akaunti ya mfanyabiashara huwa ya mwisho kabisa baada ya njia zingine zote kama majadiliano kushindikana.
"Sikawaida kushikilia akaunti ya mfanyabiashara na uamuzi huu mara nyingi unakuwaga wa mwisho kabisa baada ya jitihada zingine kushindikana ikiwemo majadiliano na mhusika," amesema Kayombo
"Tumeamua kuziachia hizi akaunti ili sasa tuwe tunakaa mezani na kujadiliana na wafanyabiashara wenye madeni namna bora ya kulipa taratibu taratibu na tunaachana na ule wa kushikilia akaunti zao," amesema Kayombo
Chanzo: NIPASHE
Mke wangu acha kupaniki,hujawahi kufanya biashara ndio maana huwezi kuelewa TRA ilichokua inakifanya.Wewe unashangilia upumbavu. Kama umesoma vizuri taarifa ya aTRA ni kwamba hatua ya kushikilia akaunti ya mtu ni ya mwisho kabisa, baada juhudi nyingine kushindikana.
Yaani mtu akwepe kodi kwa makusudi halafu muanze kubembelezana. Kukwepa kodi ni uhalifu kama uhalifu mwingine. Nendeni kwenye nchi za watu muone kama kuna mtu anabembelezana na wakwepa kodi. Ninachojua kwa uhakika hizo kodi hazitalipwa na TRA hawatakua na meno tena ya kuwafanya wafanyabiashara walipe kodi. Kwa ufupi IMEISHA HIYO
Kuna wafanyabiashara wengine walikwapuliwa hela zote walipata mshituko kiasi hadi Israili akawapitia na wao piaCha muhimu uhai tu
Yafaa TRA iachwe kufanya kazi kwa mujibu wa sheria sio shinikizo hata kutoka kwa rais ambaye anawayumbisha kwenye kutekeleza wajibu wao. Malalamiko ya wafanyabiashara yasiwe ndio hoja ya kutiliwa manani bila kuangaliwa sababu ya kuwepo sheria na taratibu za ukusanyaji kodi zilizowekwa.MAMLAKA ya Mapato Tanzania (TRA), imezifungulia akaunti zote za wafanyabiashara ilizokuwa zimeshikiliwa kutokana na madeni ya kodi
Hayo yamesemwa leo mjini Morogoro na Mkurugenzi wa Elimu kwa Umma wa (TRA), Richard Kayombo, wakati akitoa mada kwenye Mkutano Mkuu wa Mwaka wa Jukwaa la Wahariri (TEF).
Kayombo amesema hivi sasa mamlaka hiyo inaingia mikataba ya makubaliano na wafanyabiashara hao wenye madeni ili walipe kwa utaratibu maalum.
Amesema sheria inairuhusuTRA kushikilia akaunti ya mtu yeyote ambaye anadeni la kodi kama njia ya kupata fedha ambazo serikali inadai.
Lakini Kayombo amesema uamuzi wa kushikilia akaunti ya mfanyabiashara huwa ya mwisho kabisa baada ya njia zingine zote kama majadiliano kushindikana.
"Sikawaida kushikilia akaunti ya mfanyabiashara na uamuzi huu mara nyingi unakuwaga wa mwisho kabisa baada ya jitihada zingine kushindikana ikiwemo majadiliano na mhusika," amesema Kayombo
"Tumeamua kuziachia hizi akaunti ili sasa tuwe tunakaa mezani na kujadiliana na wafanyabiashara wenye madeni namna bora ya kulipa taratibu taratibu na tunaachana na ule wa kushikilia akaunti zao," amesema Kayombo
Chanzo: NIPASHE
Data za uchumi huwezi kuzipika. Zinakusanywa na IMF na ndiyo waliotuingiza kwenye nchi za uchumi wa kati. Muda utaongea kama tutaendelea kuwemo kwenye hizo nchi za uchumi wa kati au tutarudishwa tulikotoka. Kuwa na subira. Ninawajua sana watanzania aka wabongo; hawawezi kupata maendeleo bila kuwarusharusha kichura. Ukiwachekea chekea tu utavuna mabuwa.Awamu iliyopita ilikuwa ya kupika data sana ,nani ana uthibitsho kwamba tulikuwa tunakusanya trilioni 2 kwa mwezi? Kama tulidanganywa kwamba ATCL inapata faida,vipi kuhusu mambo mengine? Kudai kodi kibabe ndio chanzo cha kupiga mweleka kwa uchumi wetu maana TASK force walikuwa wanapora mali na si kukusanya kodi.
Swali zuri sana nimeandika kitabu mama vingine vitafuata nimeangalia pia soko la nchi zinazoendelea siyo kwa Tanzania peke yake Tanzania being a source of local knowledgeHongera kwa kitabu mkuu, lakini nina maswali machache
1. Soko kubwa unalolenga wanunuzi wa kitabu ni watu wa nje au wa Tzania?
Nimeuliza kwa kuwa nimeona suala hili sana mtu analenga kitu kiuzwe Tzania kama hicho kitabu hlf anaandika kw Eng wakati asilimia 99% ya watz wote tunaongea kiswahl tu.