Azizi J Hamad
JF-Expert Member
- Sep 20, 2020
- 442
- 230
Usihemkwe jenga hoja jadidi.UPUMBAVU wa hali ya juu huu. Wafanyakazi wa Serikali hawajaongezewa mishahara tangu 2014. Gharama za maisha katika hii miaka sita zimepanda sana hadi kusababisha wafanyakazi wengi kuwa na madeni chungu nzima ili kukidhi gharama za maisha, halafu ZWAZWA wewe unadai huyo anayejiita mwendawazimu amefanikiwa sana!!! 😳😳😳Akili za wapi hizi!?
Toa UPUMBAVU wako hapa!
Usihemkwe jenga hoja jadidi.
Ukiona mtu analalamika kupanda kwa gharama za maisha ujue alikuwa ni mlafi wa pesa zisizo halali kwake, sasa anazikosa ndio maana kwake anaona gharama ya maisha ipo juu.
Kabla hujaandika kitafakari kwanza unachokiandika usihemkwe. Chuki humchoma anayeihifadhi
Wa wizini Jemedari
Novemba 7 2008?Toa UPUMBAVU wako hapa!
View attachment 1665133
Novemba 7 2008Toa UPUMBAVU wako hapa!
View attachment 1665133
Amekuibia nini?Wa wizi
Novemba 7 2008?
Novemba 7 2008
Narudia tena usihemkwe jenga hoja.
Hakuna nchi inayoendeshwa bila misingi ya sheria, na ikumbukwe "Ignorance of law has no defence" Mtu kuwa mfuasi au kiongozi wa chama fulani hakumpi legitimacy ya kumfanya asishtakiwe.
Tupe ushahidi hapa umekosaje haki ya kumchagua kiongozi unayemtaka?
Mwizi yule. Alitumia mabegi meusi. Mwizii! Mwiziii! Mwiziii!Amekuibia nini?
Thibitisha hapa alichokuibia
Wa wizi
Yule mwizi aliibaumekosaje haki ya kumchagua kiongozi unayemtaka?
Pungua wewe,unataka tulale njaaa wkt kodi tunalipa wenyewe.bil 600 ni pesa nyingi mno katika kulipa mishahara hapa ni lazima ubuniwe utaratibu wa namna wa kulipunguza hili wataalamu wabobezi wakisaidiwa na wa nje wakae chini waone ni jinsi gani tutatumia ELECTRONIC DIVICES kukusanya zaidi na kupunguza watumishi ambao shughuli zao zinaweza kufanywa na vifaa vya kikompyuta automatically
Yawezekana wamepata hizo 2t kwa mwezi wa 12 lkn january haiwezi kuwa hiyo lazima itakuwa chini sana na wataipata tena 2t mwishoni mwa mwezi 3. wafanyabiashara wanajua kwann nasema hivyo
Sio hivyo, kodi ya serikali/ TRA kwa wafanyabiashara/ wenye maduka ulipwa kila baada ya miezi 3, kwahiyo mwezi wa 12 ulikuwa ni muda wa mwisho wa kulipa kabla ya kuingia mwaka mwingine, kwahiyo wote wenye madeni ya mwaka mzima walifuatiliwa na kulipa ndio maana turnover imekuwa kubwa.Agreed, it is likely to drop for the next few months because of COVID situation. Sidhani kama wataweza kumatch this month 2T.
Nafikiri hii imechangiwa sana in economic activities mwezi Decemba due to holidays.
Fikiria vizuri ndio uje na hitimisho hakuna siku itakuja kutokea kwamba mapato yakawa mengi kuliko matumiz ya SerikaliLeo 01/01/2021 mamlaka ya mapato Tanzania kupitia kwa waandishi wa habari, imetangaza makusanyo ya mwezi Disemba 2020 kuwa ni takribani trilioni 2, hii ni rekodi tangu kuanzishwa kwa mamlaka hii mwaka 1996
Hii ni hatua ya kupongezwa sana kwa Watanzania wote walipa kodi na mamlaka ya mapato nchini, kukusanya trilioni 2 kwa mwezi( Disemba) ni jambo lenye kutia moyo sana kwa sisi wananchi
Nilikuwa napitia mapitio ya uchumi ya kila mwezi( Monday Economic Review) kutoka benki kuu yetu( BOT) kwa mwezi Disemba 2020
Ripoti hiyo ya Disemba, inaonyesha kwa mwezi October pekee, 2020, serikali ilikusanya takribani trilioni 1.682, hii ni jumla ya makusanyo yote ya kikodi( Tax Revenue) na yasio ya kikodi ( Non Tax Revenue).
Ambapo kwa mwezi huo wa October 2020, makusanyo ya kikodi( Tax Revenue) pekee yalikuwa ni trilioni 1.295 , na makusanyo yasio ya kikodi( non tax revenue) yalikuwa ni bilioni 282.2 na makusanyo kutoka local government ( own source) yalikuwa ni bilioni 51.2.
Lakini tukienda kwenye matumizi ( Government Expenditure) kwa mwezi October 2020, ripoti hiyo( Monthly Economic Review) inaonyesha kuwa serikali ilitumia takribani trilioni 1.854.
Ambapo matumizi hayo yalikuwa ni kama ifuatavyo, kwenye matumizi ya kawaida ( Recurrent Expenditure) ilikuwa ni trilioni 1.282 na matumizi kwenye miradi ya maendeleo ( Development Expenditure) ilikuwa ni bilioni 571.
Ambapo matumizi makubwa zaidi kwenye serikali yanakwenda kwenye mishahara( wages bills) za watumishi wa umma, kwa mwezi October serikali ilitumia takribani bilioni 601.7 kulipa mishahara kwa mwezi mmoja tu.
Na pesa nyingine inatumika ku service madeni yetu( Debt expenses), ambapo kwa mwezi October pekee, serikali ilitumia takribani bilioni 192.4 kulipia interest ya madeni yetu ya nyuma na sasa.
Kwa maana hiyo kwa mwezi October 2020, serikali ilitumua fedha nyingi zaidi( trilioni 1.854) kuliko pesa tulizoingiza(trilioni 1.628) kwa mwezi( budget deficit).
Kwa hatua ya leo ya mamlaka ya mapato kukusanya trilioni 2, kama itaendelea hivi hivi kila mwezi, maana yake ni kwamba serikali tunakwenda kuwa tunaingiza/ kukusanya fedha nyingi zaidi kuliko matumizi yetu kwa mwezi.
Hii itasaidia sana kwa nchi yetu kupunguza mzigo wa kuendelea kukopa mikopo ya bei nafuu( concession loan) kutoka kwenye multilateral lending institutions au mikopo ya kibiashara( non concession loan) kutoka kwenye mabenki ya kibiashara duniani.
Kongole kubwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania [emoji122][emoji122][emoji122]
Ngamanya Kitangalala Mwaswala kngamanya@yahoo.com
0756 669494
View attachment 1665103View attachment 1665105
Acha upopoma,hiyo recurrent budget umeona ni watumishi tuu? Si bora bln 600 zimelipwa salary sasa mbona hujiulizi bln 700 zaidi zimeenda kwenye administration ikiwa ni pamoja na kulipa posho,kununua ma vietee na upuuzi mwingine,,kwa nini usihoji hizi badala yake unahoji salary?Watumishi wanatunyonya Sana, yaani karibia nusu ya pato kwa mwezi wanachukua wao, na bado wanadai nyongeza,
Sioni kama Taifa namna tunaweza fanya maendeleo kama kipato almost chote tunalipana mishahara tu.
Hivi hayo makusanyo yanahusisha na zile billioni 500,mlizokwapua kwenye akaunti za shule moja binafsi ya Arusha,?Leo 01/01/2021 mamlaka ya mapato Tanzania kupitia kwa waandishi wa habari, imetangaza makusanyo ya mwezi Disemba 2020 kuwa ni takribani trilioni 2, hii ni rekodi tangu kuanzishwa kwa mamlaka hii mwaka 1996
Hii ni hatua ya kupongezwa sana kwa Watanzania wote walipa kodi na mamlaka ya mapato nchini, kukusanya trilioni 2 kwa mwezi( Disemba) ni jambo lenye kutia moyo sana kwa sisi wananchi
Nilikuwa napitia mapitio ya uchumi ya kila mwezi( Monday Economic Review) kutoka benki kuu yetu( BOT) kwa mwezi Disemba 2020
Ripoti hiyo ya Disemba, inaonyesha kwa mwezi October pekee, 2020, serikali ilikusanya takribani trilioni 1.682, hii ni jumla ya makusanyo yote ya kikodi( Tax Revenue) na yasio ya kikodi ( Non Tax Revenue).
Ambapo kwa mwezi huo wa October 2020, makusanyo ya kikodi( Tax Revenue) pekee yalikuwa ni trilioni 1.295 , na makusanyo yasio ya kikodi( non tax revenue) yalikuwa ni bilioni 282.2 na makusanyo kutoka local government ( own source) yalikuwa ni bilioni 51.2.
Lakini tukienda kwenye matumizi ( Government Expenditure) kwa mwezi October 2020, ripoti hiyo( Monthly Economic Review) inaonyesha kuwa serikali ilitumia takribani trilioni 1.854.
Ambapo matumizi hayo yalikuwa ni kama ifuatavyo, kwenye matumizi ya kawaida ( Recurrent Expenditure) ilikuwa ni trilioni 1.282 na matumizi kwenye miradi ya maendeleo ( Development Expenditure) ilikuwa ni bilioni 571.
Ambapo matumizi makubwa zaidi kwenye serikali yanakwenda kwenye mishahara( wages bills) za watumishi wa umma, kwa mwezi October serikali ilitumia takribani bilioni 601.7 kulipa mishahara kwa mwezi mmoja tu.
Na pesa nyingine inatumika ku service madeni yetu( Debt expenses), ambapo kwa mwezi October pekee, serikali ilitumia takribani bilioni 192.4 kulipia interest ya madeni yetu ya nyuma na sasa.
Kwa maana hiyo kwa mwezi October 2020, serikali ilitumua fedha nyingi zaidi( trilioni 1.854) kuliko pesa tulizoingiza(trilioni 1.628) kwa mwezi( budget deficit).
Kwa hatua ya leo ya mamlaka ya mapato kukusanya trilioni 2, kama itaendelea hivi hivi kila mwezi, maana yake ni kwamba serikali tunakwenda kuwa tunaingiza/ kukusanya fedha nyingi zaidi kuliko matumizi yetu kwa mwezi.
Hii itasaidia sana kwa nchi yetu kupunguza mzigo wa kuendelea kukopa mikopo ya bei nafuu( concession loan) kutoka kwenye multilateral lending institutions au mikopo ya kibiashara( non concession loan) kutoka kwenye mabenki ya kibiashara duniani.
Kongole kubwa kwa mamlaka ya mapato Tanzania [emoji122][emoji122][emoji122]
Ngamanya Kitangalala Mwaswala kngamanya@yahoo.com
0756 669494
View attachment 1665103View attachment 1665105
Wewe ni mjinga,TRA kakamueni huyu anatusumbua ..Hata wafanyakazi wanalipa kodiNi kweli mkuu nimeishia la saba ila hiyo haimfanyi mtumishi kuwa bora zaidi kuliko Mimi mfanyabishara ambaye nakimbizana na TRA na halafu mwisho wa siku akaneemeke tu mtu ambaye sioni umuhimu wake kwani huduma anayoitoa ni mbovu kupita maelezo na bado anafanya ufisadi wa fedha za uma ukiachilia mbali kunidai rushwa kwa huduma ambayo anapaswa kunipa na nimeshailipia kupitia mshahara wake.
Umeelewa kweli suala nililolizungumza hapaPungua wewe,unataka tulale njaaa wkt kodi tunalipa wenyewe.
Ninauhakika hujawahi Fanya biashara yenye VAT returns (revenue more than 100Millions). Usingeongea unachoongea.HUJUI KITU CHOCHOTE