TRA yazindua kodi ya kitanda kutoka kwa Watalii

Tano tena
 

Aisee yani kodi za TZ

Visa ina kodi mpaka kaja hapa,ndege aliyo kuja nayo imelipa kodi mpaka kaja hapa,kampuni itakayo mpokea kwa ajili ya kuja kumuongoza na magari hapa italipa kodi,kuingia mbunga za wanyama sijui utumbo gani kodi hana lipa,hoteli hatakayo fikia hata lipa kodi na kitanda tena ????

Kuna mda TRA hata sisi tusio kuwepo hapo kuna vitu mnachekesha sana.

Hivi kwa nini muangalii ushauri wa watu kuweza kupata mapato mengi kuliko kujifanya wajuaji wa ofisini nje mpajui kwa wafanya biashara na walipa kodi hizo
 
Kodi ya jeneza kwa marehemu itaanza rasmi lini?
 
Ohooooo! Akija na mkeka wake hapo vipi? Kodi ya kiti, kodi ya meza, kodi ya kutumia maji, kodi ya kutumia choo, kodi ya kula chakula cha kibongo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] maninaaaa chezeya uchumi wa kati wa Tanzania ya VIWONDER!!!
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Slogan ni mitano tena bila kufahamishwa kufanya nini.Hizi kodi bado kidogo tu tutalipia Oxygen&Carbon dioxide tunayopumua.
 
yani huyu dada hajawahi post eti "magufuli awanyoosha mabeberu...." mwikoooo yeye yale mabaya tu ,daah kuna watu wanaroho ngumu aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Anawanyooshea wapi?
 
yani huyu dada hajawahi post eti "magufuli awanyoosha mabeberu...." mwikoooo yeye yale mabaya tu ,daah kuna watu wanaroho ngumu aisee πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
Msijisahaulishe nini maana ya upinzani. Unategemea chama kikuu cha upinzani kiisifu serikali inayoundwa na chama pinzani kwake?!
 


"Mitano tena" mambo yanaanza kuwa magumu??!!.

Dawa ni kula ela zao haohao mabeberu (watalii) waliotuwekea vikwazo.

Tusubiri, Itakuja kodi ya barabara kwa watembea kwa miguu.
 
Gangsters republic, halafu wanaofanya huo ushenzi eti wana Phd.

Phd za bongo ni za kipuuzi
 
Bora Mugalifu wao hana hayo mambo.
Mugafilu anazingatia haki za binadamu
Anazingatia utawala bora
Anazingatia utawala wa sheria
Hana upendeleo
Anazingatia usawa kwa kila mwananchi
Anazingatia ulaji sawa wa keki ya taifa.
Anawapenda sana wapinzani wake ikiwemo Tundu Lissu na Chadema kwa ujumla.
Anapenda sana kukubali kukosolewa
Ni msikivu wa kiwango cha rami.
Anazingatia misingi ya ukuzaji uchumi
Anazitumia vizuri pesa mabeberu(wanaume wachapakazi wa Uraya)
Anahakikisha afya za wananchi zinastawi
Ana ruhusu upatikana wa habari hata zile zinazomkosoa.
Anazingatia uwepo wa usalama wa kila mwananchi hata uwe wa Chadema.
Amekuwa kiongozi wa mfano ulimwenguni hata serikali za peponi zinajitahidi kumuiga yeye.
Anazingatia kutokuwepo kwa wasaliti duniani kwa kuwapa ulinzi(Tundu Lissu amiminiwa marisasi huko Dodoma)
Mambo ni mengi muda mchache

Kidumu chama chetu chakavu cha mapinduzi kisichojali tena matatizo ya wananchi.

Kigumu chama kinacho impoverish watanzania kwa speed ya mwanga.
 
Mwenzako Magema Jr kaongea kama kashfa na wewe umejaa umemjIbu!
 
Mwenzako kaongea kama kashfa na wewe umejaa umemjIbu!
Tuwakumbushe watawala wa Afrika kuwa kushika hatamu haukufanyi ugeuke kuwa injinia, daktari, mhasibu, mwanasayansi au mtaalam zaidi! Power doesn’t suddenly increase your knowledge or qualify you to be anything more than you were! Waache u-much-know wawe humble!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…