TRA yotoa ufafanuzi wa madai ya kutengeneza mfumo wa kuingiza mizigo nchini usio halali

Wafanyabiashara wanajua japo si wote.

Shida nyingine ni ukiritimba, unaweza kusafirisha mzigo wako na kampuni za kimataifa na ukafika vizuri DSM port, ila mpaka unakuja kuutoa utapigishwa kona nyingi, na sio kwamba unautoa wewe bali umempa kazi wakala akutolee, kwa ujumla hii mifumo ipo weak sana ndio maana ni wachache wananufaika sana, na inafanywa hivyo kwa maksudi kwasababu ni mitego ya watu kupiga pesa.

Kuna watu wanapata pesa mambo yakiwa yanakwama kwama tu 😂
Hahah mstari WA mwisho nimuelewa....
Kwa hiyo muarabu aje tu?
 
Mfanyabiashara yupo sahihi eti wanasema alitoa Mzigo bila kulipia alipita njia za panya basi aonyeshe hizo nyaraka Nchi hii bhana badala ya kuomba msaada kwake ili ijulikane mbivu na mbichi wao wanamtisha tena tungekua na Takukuru Imara Tanzania wahuni wasingekua wanaichezea Nchi hivi maana mtu mwema anatoa taarifa za Uhujumu Uchumi harafu wezi wanakuja na taarifa za vitisho mimi namwamini huyo Mfanyabiashara kuliko hao TRA...inatakiwa Tume huru kuchunguza hili swala na si wezi ndio wajichunguze watalindana hapo maana viongozi wote wapo kimya..
 
Kwa sababu TRA inatetea msimamo wake sitashangaa wachangiaji wengi hapa ni ama wa TRA au wana uhusiano wa karibu na TRA kwa hiyo wana maslahi yanayosigana. Hoja yangu ni kuwa TRA ina wajibu wa ziada wa kulinda sheria na taratibu zake zisitumike kuathiri kusudi la Serikali,pamoja na kuwaelimisha wadau . TRA katika hoja yao inaonekana hilo suala la wafanyabiashara wadogo ambao hawawezi kujaza content haliwahusu hususan kutoa utaratibu unaofaa, madhara ya kutofuata utaratibu na wajibu wa Clearing and Forwarding Agent ambaye ni wakala wa TRA kumwakilisha TR ipasavyo. TRA katika hoja yake hajamgusa mwakilishi wake Clearing and Forwarding Agent inakimbilia kumtuhumu mfanyabiashara ambaye aliihusisha TRA tangu mwanzoni na siyo kwamba TRA imegundua kuwa amekwepa kodi! Watanzania tunatakiwa tujue, hata katika kuchangia, wajibu wa kila Tassisi ni nini? Hili siyo suala la ushabiki. TRA ni taasisi kubwa na inatakiwa iendeshwe na mtu mwenye uelewa mpana. Hili suala lilipelekwa kwake amekaa nalo mpaka sasa linapelekwa kwa Mhe. Rais ndipo anatoa utetezi wake wakati umma unasubiri uamuzi wa Rais! Je, huu ndiyo utaratibu? Sasa TRA inataka Rais amwambie nini Gadi? Huu utaratibu unafanya kazi ya Rais iwe ngumu sana. Sijui kama wengi mnanielewa ninachoandika. Vinginevyo naomba msamaha.
Huhitaji kuomba msamaha ndugu PETER THE ROCK..

Maelezo yako yako very clear na waelewa wamekuelewa vyema kabisa...

Na ni ukweli usiopingika kuwa kwa ishu hii, TRA wamejikoroga big time..

Dalili zote zinaonesha wako very confused kwa kuwa tabia yao ya wizi imekuwa exposed na huyu jamaa..

Tamko hili ni ishara ya ku - panic na unknowingly wamejikuta wamejiweka wenyewe kwenye defensive mode...!!
 
Bl ni nini?

Unajua sisi tulioshia la saba c tukaamua kujiongeza na u "winga"
Mkuu ni wazi kwamba Kwa maelezo yako hapo juu wafanyabiashara wengi hawajui hizi mambo....
Mi nilikua ni ngumu mnooo....kumbe inatakiwa iandaliwe mchakato WA Kila mteja .....na invoice yake....ya kodi...
Ila Kwa upande mwingine nahis pia wafanyabiashara wanajua ila wanahis kodi itakua kubwa sana Kwa mmoja mmoja..
Na Kwa upande WA tatu nahis Hawa agent Hawa wanatengeza mazingira ya kupata kodi ndogo ili waingie kwenye soko la ushindani....as "Mimi nacharj pesa ndogo Kwa CBM" Kwa kuwa wamekua wengi...
Lakini pia na hisi hao pia wanataka kujikusanya pesa nyingi as ushuru walipe kidogo alafu wakukamue vizuri as if kalipia ushuru mkubwa...
Lakini pia la mwisho uwemda tra wanafaidika na huu mfumo....Kwa namna moja au nyingine Kwa kushirikiana na hizi agency
Ila la mwisho Kila mtu alilipia kodi yake Hawa jamaa kwenye usafiri watatutoza Malaki ya pesa

BL... Bill of lading ni kama mkataba Kati ya msafirishaji na mwenye mzigo. Kama receipts pia. Ambayo zinaonesha aina ya mzigo, ukubwa wake na idadi.

TRA walivyo taka kutoa Elimu hawa wasafirishaji walipenyeza Watu na kuzusha maandamano na taharuki Bure tu Kwa kuwa wanapata faida kubwa sana kwa kuwa nyonya wafanyabiashara. Wanacheza rafu sana.

Mzigo wa Watu 10,huyo msafirishaji anatengeneza invoice Kwa kutumia vigezo gani? Atajua je bei za kila bidhaa wakati wafanyabiashara wao wanapeleka tu mzigo bila Risiti?

Hiyo njia ya kila mfanya biashara kutoa mzigo kwa TIN yake ni nzuri na wala haina usumbufu wala ucheleweshaji... Documents zikiwa clear na hela ya kodi ipo ndani ya siku 7 tu baada ya mzigo wako kufika utakuwa umeshapata.

Hao wasafirishaji janja janja ndio wanawatisha hivyo ili waendelee kuwa kamua vizuri. Nunua mzigo China.. Mwambie muuzaji wako akutengengenezee mkataba wa usafirishaji vizuri kutoka shipping line unayotaka....

Mfano mzigo to masai Dada.. Notify party ndio unaweka Hao wenye kampuni za usafirishaji. Mzigo ukifika una clear mwenyewe.

TRA hapa lawama ni hiyo moja. Kwanini wanaruhusu consolidated cargo kuwa cleared bila ku de-consolidate?
 
Mzigo ukiwa unafanyiwa deconcolidation Kodi itakuwa kubwa almost nusu za gharama ya mzigo Sasa wewe huoni wafanyabiashara wadogo na wakati wanaenda kuua. Utaenda kutengeneza Monopoly ya wafanyabiashara kadhaa kutawala soko peke Yao.

Hii loose cargo mtu analipa gharama ndogo na atleast faida anaona.

Please acheni kuleta upuuzi wenu acheni mawakala wafanye kazi zao.
 
Kila kitu kinaweza kuwekwa vizuri, shida ni wasimamizi.

Hata hizo habari za kutoa mzigo wiki 3, muda mwingine unachagizwa na mambo ya rushwa.

Kama mifumo ipo sawa na transparent hamna janja janja yoyote itakayokwamisha kutoa mizigo kwa wakati.
Mi naamini tusipotest ladha nyingine ya hili jambo ...tutazidi kuhis ni ngum na haiwezekani....naona tu tuingie kwenye huo mfumo uliyopo kisheria ahead of "mwarabu invasion" heheee
 
BL... Bill of lading ni kama mkataba Kati ya msafirishaji na mwenye mzigo. Kama receipts pia. Ambayo zinaonesha aina ya mzigo, ukubwa wake na idadi.

TRA walivyo taka kutoa Elimu hawa wasafirishaji walipenyeza Watu na kuzusha maandamano na taharuki Bure tu Kwa kuwa wanapata faida kubwa sana kwa kuwa nyonya wafanyabiashara. Wanacheza rafu sana.

Mzigo wa Watu 10,huyo msafirishaji anatengeneza invoice Kwa kutumia vigezo gani? Atajua je bei za kila bidhaa wakati wafanyabiashara wao wanapeleka tu mzigo bila Risiti?

Hiyo njia ya kila mfanya biashara kutoa mzigo kwa TIN yake ni nzuri na wala haina usumbufu wala ucheleweshaji... Documents zikiwa clear na hela ya kodi ipo ndani ya siku 7 tu baada ya mzigo wako kufika utakuwa umeshapata.

Hao wasafirishaji janja janja ndio wanawatisha hivyo ili waendelee kuwa kamua vizuri. Nunua mzigo China.. Mwambie muuzaji wako akutengengenezee mkataba wa usafirishaji vizuri kutoka shipping line unayotaka....

Mfano mzigo to masai Dada.. Notify party ndio unaweka Hao wenye kampuni za usafirishaji. Mzigo ukifika una clear mwenyewe.

TRA hapa lawama ni hiyo moja. Kwanini wanaruhusu consolidated cargo kuwa cleared bila ku de-consolidate?
Hapa cargo inakua inasafiriaha tu yenyewe si ndio?
Kwa mfano oppo agency na silent yake hapo inakuaje....
 
Mzigo ukiwa unafanyiwa deconcolidation Kodi itakuwa kubwa almost nusu za gharama ya mzigo Sasa wewe huoni wafanyabiashara wadogo na wakati wanaenda kuua. Utaenda kutengeneza Monopoly ya wafanyabiashara kadhaa kutawala soko peke Yao.

Hii loose cargo mtu analipa gharama ndogo na atleast faida anaona.

Please acheni kuleta upuuzi wenu acheni mawakala wafanye kazi zao.
Wewe utakuwa ni Wakala tu. Kwamba Mawakala wana huruma kwa Wafanyabiashara kwa kuwasaidia walipe kodi kidogo???
 
Mzigo ukiwa unafanyiwa deconcolidation Kodi itakuwa kubwa almost nusu za gharama ya mzigo Sasa wewe huoni wafanyabiashara wadogo na wakati wanaenda kuua. Utaenda kutengeneza Monopoly ya wafanyabiashara kadhaa kutawala soko peke Yao.

Hii loose cargo mtu analipa gharama ndogo na atleast faida anaona.

Please acheni kuleta upuuzi wenu acheni mawakala wafanye kazi zao.

Hahahah Hao wakala wanawakamua wafanyabiashara kweli kweli.. Maana wana declare mzigo isivyo halali.. Halafu wakishamalizana na TRA wanakuja kuwa maliza wafanyabiashara.

Wewe unajua mzigo ukifanyiwa deconsolidation utalipa gharama zaidi ya Hao wakadiriaji wa usafirishaji?

Na kama mnaona huo mfumo una faida kwenu.,bhas muende Kwa mlalamikaji mumwambie akaushe maisha yaendelee. La sivyo kukata mzizi wa fitna TRA wata close hiyo gap ili isije tokea tena kadhia kama hii.

Mlalamikaji ndio ataleta mapinduzi mapya kwenye maswala ya kiforodha na haya mambo ya loose cargo.

He is a whistle blower. Kelele zake zita amsha makali ya TRA.
 
Hapa cargo inakua inasafiriaha tu yenyewe si ndio?
Kwa mfano oppo agency na silent yake hapo inakuaje....

Yes, hapo atapakia mzigo wako tu. Na Sio lazima hao tu.. Yule supplier wako kule unaponunua unamwambia tu akutengenezee document ya usafiri then utalipa anakutumia documents yako.

Sasa mta organize pamoja kupata wakala wa kukuletea. Ni kama zamani kama hauna sanduku la barua unaweza kutumia la mtu mwingine.

Barua tu masai
Dada C/o Jamii forums. Na kwenye usafirishaji inakuwa mzigo tu masai Dada notify party jamii forums.

Hapo jamii forums atasafirisha mzigo wako hadi Bongo ila hataweza ku clear bandarini maana anakuwa Sio mwenyewe mzigo. Yeye anakuwa msafirishaji tu
 
Kwa hiyo unaweza ukamtumia mtu yoyote mwenye kampuni yoyote kuclear mzigo....
Sasa ubaya hapa ni kwamba haya makampuni ya kusafirishia mzigo ndo yenye agency za kuclear pia..
Kwa mfano silent-opo
 
Yes, hapo atapakia mzigo wako tu. Na Sio lazima hao tu.. Yule supplier wako kule unaponunua unamwambia tu akutengenezee document ya usafiri then utalipa anakutumia documents yako.

Sasa mta organize pamoja kupata wakala wa kukuletea. Ni kama zamani kama hauna sanduku la barua unaweza kutumia la mtu mwingine.

Barua tu masai
Dada C/o Jamii forums. Na kwenye usafirishaji inakuwa mzigo tu masai Dada notify party jamii forums.

Hapo jamii forums atasafirisha mzigo wako hadi Bongo ila hataweza ku clear bandarini maana anakuwa Sio mwenyewe mzigo. Yeye anakuwa msafirishaji tu
Sasa ulisema utumie makampuni mawil tofauti gharama na yenyewe inakua kubwa sana
 
Sasa katika kukwepa gharama ndio janga limemkuta huyu mlalamikaji. Na hakuna msaada wa kuweza kumtoa hapo.

Hivyo, tunapofurahia unafuu.. Machungu nayo yakija tuyapokee na tukubali tuu.
 
Kwa kweli....
Jamaa sijui atapataje walau nusu garama....mtihani sana
 
Hapo ni kusubiria huruma ya Mamlaka tu ya huyo aliepeleka malalamiko kwake.

Na hili saga linaweza kubadilisha utaratibu na mfumo huu wa loose cargo maana jamaa ameivamia hii show Kwa nguvu sana bila kuangalia pande zote Kwa undani wake.

Ameshauriwa vibaya... Ingekuwa mimi ni yeye ningelia na msafirishaji mwanzo mwisho..
 
Huu ni mfano mdg sana. Imgia tamisemi uchunguze vzr. Baada ya mh magu kufariki mambo mengi sana yamefanyika. Yameua,yamefanywa na uliwaamini. Tra ni mfano tu.

Idara ya elimu Ina uozo uliopitiliza. Fanya kurejesha mamlaka kisekta Afya, Elimu wasimiwe na wizara husika. Utanishukuru. Wanakuangusha sana.
 
Back
Top Bottom