Trace Awards 2025: 26 February Mora Resort, Zanzibar

Hivi ni screen yangu tu inazingua au ni vipi? Sijajua organiser wa hii event ni nani... Ila kwenye stage set up amechemka... Imekaa local sana.. Lights pia hazipo vizuri.
Waandaaji hawakujipanga, kila kitu kiko hovyo.

Wamehost watu wakubwa lakini event ya hovyo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…