ok.Inadaiwa tukio hili limetokea leo asubuhi maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Jamaa alisimamishwa na traffic, lakini baada ya kusimama wakaanza kubishana. Traffic akachomoa funguo za gari na kutaka kuondoka nazo, ndipo jamaa akamvaa Traffic na kuanza kutembezeana kichapo…
Na mbele ya safari kinachofata ni watu kutafuta njia ya mapigano kuliko kufata Sheria hata Congo ilianza hivyo hivyo ndio maana kule goma na Bukavu ni maeneo ya m23.Labda wasimdake, wanaojiita maaskari wanajiona miungu watu.
CHEKA SANA ILA OMBA SANA YASIKUKUTE.Inadaiwa tukio hili limetokea leo asubuhi maeneo ya Mwenge, Dar es Salaam. Jamaa alisimamishwa na traffic, lakini baada ya kusimama wakaanza kubishana. Traffic akachomoa funguo za gari na kutaka kuondoka nazo, ndipo jamaa akamvaa Traffic na kuanza kutembezeana kichapo…
Arudi uraiani akiwa mzima hivi unajua kesi ya kumpiga asikali akiwa kwenye kazi yake?Safi sana jamaa kutembeza kichapo kwa Traffic uchwara. na njaa was kibongo. PGO haisemi uchukue funguo za chombo cha usafiri kwa nguvu hata km kuna kosa,
Afu hao Wajeda waache kihere here, kwani huyo ni mjeda mwenzao?? Huyo jamaa arudi uraiani akiwa mzima bila rabsha yoyote.
Najua jamaa atapata shida Sana ikiwemo kupoteza mipango yake ya maisha Ila bado kwangu Mimi ni shujaa wangu
Jamaa alishanyanyaswa vya kutosha akaona amtolee uvivu. Ila kweli ni kero, anajua jamaa anawahi wapi? Na kama ni daktari anenda kuokoa maisha ya mgonjwa!Safi sana jamaa kutembeza kichapo kwa Traffic uchwara. na njaa was kibongo. PGO haisemi uchukue funguo za chombo cha usafiri kwa nguvu hata km kuna kosa,
Afu hao Wajeda waache kihere here, kwani huyo ni mjeda mwenzao?? Huyo jamaa arudi uraiani akiwa mzima bila rabsha yoyote.
Jamaa nasikia ni daktari bingwa Muhimbili.Jamaa alishanyanyaswa vya kutosha akaona amtolee uvivu. Ila kweli ni kero, anajua jamaa anawahi wapi? Na kama ni daktari anenda kuokoa maisha ya mgonjwa!
Amempiga au wamepiganaArudi uraiani akiwa mzima hivi unajua kesi ya kumpiga asikali akiwa kwenye kazi yake?
Kiufupi hakuna rangi ataacha kuiona.
Punguza uoga.Inaitwa hasira hasara. Huu msala Jamaa hatoboi.
Sio kweli. Ni daktariInasemekana huyo babu ni Moja ya wale walioletwa juzi kati kutoka South Africa
Punguzeni uoga. Kashakamatwa.Namuonea huruma jamaa kuliko huyo Afande. Atasoma namba zote