Trafiki wawili wakamatwa baada ya kunaswa kwenye video wakipokea Rushwa hadharani

RTO na DTO Hawa ndio wanao watuma Trafic kukusanya maokoteo bara barani!

Usipo peleka fedha unahamishwa kitengo hichi.


Swali la kujiuliza, ni chuo kipi kinatoa kozi ya utrafic Tanzania,?

Hizo ni nafasi za kupewa kwa njia ya rushwa, undugu,ukabila au udini.


Mwisho ni ngumu kukwamisha rushwa idara ya trafic!
 
Hakuna kesi hapo watahamishwa vituo/mkoa
Hao matrafic wanatumwaga tu,sema hao nao walikuwa wanachkua hela kinomanoma kila mtu anaona

Ova
Hawa ndio michezo yao ya kila siku na wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda mrefu sana. Hawakutarajia hiki kilichowatokea. Ukute labda ni askari mwenzao amewatumia raia kuwachoma.
 
Isitoshe, matrafiki nao wanasomesha watoto wao shule za English medium. Bila rushwa watoto hawatapanda mabasi ya njano🤣🤣🤣🤣
 
Watabuni mbinu mpya tu, hii ya kutanguliza gari mbele wataachana nayo😂
 
Huu utaritibu wa kukusanya elfu mbili mbili kwenye kila daladala upo dar yote. Huku chanika wana chukua mpaka kwenye vibajaji vya chanika/Mvuti hawana hata uruma
 
Sasa mnatakiwa muanze kusimamishwa mkaguliwe kila kitu daladala zote zikajazwe kituoni shenzi
 
Kama una gari yenye vipengele ukaipaki tuu maana cha moto utakiona huko road watawaka kama wamelishwa pilipili kichaa
 
Hawa ndio michezo yao ya kila siku na wamekuwa wakifanya hivyo kwa muda mrefu sana. Hawakutarajia hiki kilichowatokea. Ukute labda ni askari mwenzao amewatumia raia kuwachoma.
Hao wote wanatumwa na wakubwa zao huo mtandao ni mrefu sana

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…