Kabisa mkuu....badala wahangaike na mapapa wanahangaika na dagaa wadogo wadogoKama kweli wanazuia na kupambana na rushwa wakawakamate na wanaokula mabilioni kwenye ripoti ya CAG
Tabia za kimaskini hizi na roho mbayaAisee hii tabia ya kurekodi watu wanapokea elf mbili mnaita rushwa ni hatari sana
Hivi mnajua Rushwa kweli?
Wanaokula rushwa hata wanaonekana kwa macho?
Eyes on small coins,
Mtasema mnaanzia hapa, lakini i can tell you hii mediocrity ni ya level ndogo sana kama taifa
wawasamehe tu hiyo kazi yao ngumu sana imagine from asubh upo umesimama hadi saa mbili saa nne usiku kwa dar es salaam..Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.
Pia, Soma: Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa
Wakiwekwa hadharani ndio wakubwa wanaona aibu na kusema wanachafua sijui niniWangewakamata trafiki wote maana huo ndio mfumo wao wa maisha..
Taarifa ya msemaji wa jeshi la polisi Iko wapi?Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, Jumanne Muliro amesema askari wawili wa Kikosi cha Usalama Barabarani walioonekana kwenye video wakifanya vitendo ambavyo ni kinyume cha maadili ya Jeshi la Polisi kwa maana ya kupokea rushwa, tayari wamekamatwa na wako mahabusu na hatua za kisheria zitafuata dhidi yao.
Pia, Soma: Hapa ni wapi? Trafiki wadakwa kwenye video wakichukua Rushwa mara kadhaa
Na ameizoom vilivyo, kutokea ghorofani.Daah Kimenuka huyo mchukua video nyoko sana....