Trapped to a married man


Ahahaaa....mila za zamani? Hapna,na wala sio kujipendelea...ni ndvyo tulivyoumbwa wanaume tunapenda sana kufanya mapenzi tofauti na wanawake...

Kuna wanawake wakisha zaa hupoteza hamu ya kufanya sex na hatimae huteza ata mvuto kwa mumewe...na apo ndo inaibuka ile law ya polygamy au michepuko.
Pia wanawake mnapitia mabadiliko mengi sana kitu ambacho kinawapelekea mjizuie kufanya mapenz tofauti na sisi wanaume ambao muda wowote tupo tayari.

Mwanaume kutomridhisha mkewe inategemea,huenda ikawa nisababu mojawapo ya kumchoka au afya ya mwanaume haipo vzur.

Si shauri mwanaume kuongeza mke kama mkewe hamridhishi na hampi haki zake stahiki.

Ila Mimi bado sijaoa.
 
Anampenda huyo mume wa mtu huyo kaka wa pili hapendwi na kibaya zaidi hana mawe ya kutosha ya kufanya apendwe.
 
Anampenda huyo mume wa mtu huyo kaka wa pili hapendwi na kibaya zaidi hana mawe ya kutosha ya kufanya apendwe.
Ni kweli ila ajue tu laana zote za mke wa jamaa zitakuja kumuangukia yeye siku moja.
 

Kupenda watu wawili hata zaidi kupo sana tuu mkuu usikariri. Hii idea ya kwamba mtu unapenda mara moja tu imeletwa juzi na wakristo, kabla ya hapo au katika jamii zisizoingiliana na ukristo mambo ni tofauti kabisa. Ndio maana kuna watu wanaoa wake hadi wanne na wote wanawapenda so sioni cha ajabu hapo.

Swala la amewapendea nini hilo ni jingine maana hakuna mtu anaependa bila sababu. Hata mama yako anakupenda kwasababu wewe ni mtoto wake. Usingekua mtoto wake asingekupenda!
 
Hapa ndio utajua kwanini hampaswi kutaka 50 50 btn You and We
Na wewe bila shaka ni Msomi tena huenda hata elimu ukamzidi jamaa
Jambo jepesi kabisa limekuzid
Pole anyway
Ushauri olewa naye lakin isiwe ya Siri kwanini iwe siri na ni ndoa halali?
Kama vipi njooni katika Uislam huku jamaa ataoa na ataoa na ataoa na ataoa. Bila kujificha
 
Sijasema mtu anapenda mara moja tu! Nimesema kupenda watu wawili kwawakati mmoja hicho kitu hakipo hapo lazima utampenda huyu na kumchukia yule....

Utakayempenda mfano akikutext utafurahi ila huyu mwingine utachukia hata kuona texts zake japo wote wawili unasema unawapenda.

Eti wanaoa wake wanne na wote wanawapenda,ni tamaa tu hizo usidanganyike wala kukariri pia.
 
"Karma is bitch" jiulize why kamuacha uyo mke wake akutake ww???na ww pia atakuacha akimuona mzuri zaidi yako sisi wanaume ni walafi nahatuliziki hatutosheki akikuzalisha tuu ndo kudhibeu babu jii huna jipya nimeoa nina mke na watoto 6 kwny ndoa huu mwaka wa 17 nimeoa mwaka 2003 kula ela zake cheza na akili yake ila usije uka thubutu akuoe utajutia sana badae ila kama uamini maneno yangu ngoja akuoe akikuzalisha tuu huna jipya tena...olewa na uyo mwamba ambae hajaoa ana mke ambae hana pesa acheni tamaa mabinti.
 
[SUP]Hiyo nyumba mnayo jenga kiwanja kina jina la nani??[/SUP]
 
Kuhusu ndoa ya siri asijue bi mkubwa hiyo ndoa haipo. Kama pengine unafikiri hautamuumiza ikiwa siri hili nalo halipo. Mpaka sasa atakuwa anajua uwepo wako pengine hajui tu kuwa ni wewe.

Hiyo familia ya huyo bwana inaonekana si wastaarabu. Kujua uwepo wako hali huna mtoto wake ni hatari kwako. Hawa ndio watamtamkia bi mkubwa na wataanzisha vurugu kwa mkewe wakijua tu sasa mko kama wanandoa. Hata bila vurugu hawa si wakuamini. Abadani, wanaume wengine hawana ujasiri wa kueleza familia zao vitu hivyo unless wako kwenye safari ya kumuacha bi mkubwa au huyo mwanaume ni kawaida yake kuonesha wanawake wote hivyo wamemzoea.

Inawezekana kweli unawapenda wote, hauko peke yako. Ndoa haiishii kwenye mapenzi. Ndoa inahusika kama familia, ukoo, biashara, uchumi, ndoto, heri na shari, furaha na karaha. Zile hisia za mahaba kuna wakati hazitumiki kabisa ila utashi na maslahi ndiyo yanazungumzika. Fikiria heri ya watoto. Fikiria urahisi na ubora wa kuhusisha ndugu zako. Kuna magonjwa unaweza ushindwe kumuuguza mpenzi wako kisa usiri. Kuna harusi za upande wa pili hutaweza kuketi na mmeo.
Kama uko tayari kupindua meza na unahisi unaweza basi olewa na huyo bwana. Kama hiyo vita huiwezi anza na anayeanza.
 
MM siwezi kupenda zaidi ya mke wangu, muhimu huyo kijana anaetaka kuoa utamkumbuka
 
Kama dini yenu inaruhusu muoe otherwise mtakua mnazini tu pia usisahu machozi ya huyo mkewe hayatokuacha salama
 
"Anza na anaeanza"
Point 📌
 

Mara nyingi nabarikiwa sana na maoni yako , watu kama wewe ni adimu kipindi hiki wengi wameamua kuishi maisha ya kujilipua
 
Ila watu...
 
Once a in snitch, always a snitch. Akiiacha familia ili awe na familia na wewe unajihakikishia vipi kuwa hatokuacha siku moja kuwa na familia nyingine?

Halafu hiyo familia yenu wote mna akili za kufanana mkubaliane na ndoa ya aina hiyo?
 
Qmamamae, halafu kuna Mpumbafu mmoja huko anataka Kumjua Mwanamke!? Tangu linitokee tukio langu tarehe 25/07/2012, taabu niliyoipitia, uchungu nilioukwaa, kejeli nilizozipata. Hakika sitotaka wala kutamani kumjua tena. Wewe dada fanya unavyojisikia tu, kwani Mbunye si yako bana
 
Ujue tuu wanaume ni MAJOGOO
Anaweza kuwa anaishi na majike kumi, lakini likiingia jike ngeni litapigwa bao hata tano mpaka jike mgeni anajisifu

Subiri awe mwenyeji sasa
 
mkuu hi comment umeitoa kwa jazba Sana .
Pole kwa kilichokukuta huo mwaka.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…