King Sae
JF-Expert Member
- Mar 22, 2018
- 3,282
- 6,471
Kila binadamu hutamani vitu tofauti tofauti na binadamu haridhiki na kitu kimoja hata wewe mkeo humridhishi Ila kspiga kimya tu, kutulia huwa Ni matter ya maamuzi na self control hyo ya kusema hamuridhiki Ni Mila potofu tu za zamani za wanaume kujipendelea, hata nyie wanaume huwa hamturidhishi Ila tunaacha kuhangaika. So inshort hata wanawake tunapenda vitu tofauti, pia binadamu kuridhika ngumu
Ahahaaa....mila za zamani? Hapna,na wala sio kujipendelea...ni ndvyo tulivyoumbwa wanaume tunapenda sana kufanya mapenzi tofauti na wanawake...
Kuna wanawake wakisha zaa hupoteza hamu ya kufanya sex na hatimae huteza ata mvuto kwa mumewe...na apo ndo inaibuka ile law ya polygamy au michepuko.
Pia wanawake mnapitia mabadiliko mengi sana kitu ambacho kinawapelekea mjizuie kufanya mapenz tofauti na sisi wanaume ambao muda wowote tupo tayari.
Mwanaume kutomridhisha mkewe inategemea,huenda ikawa nisababu mojawapo ya kumchoka au afya ya mwanaume haipo vzur.
Si shauri mwanaume kuongeza mke kama mkewe hamridhishi na hampi haki zake stahiki.
Ila Mimi bado sijaoa.