Trapped to a married man

We kweli una moyo wa kiume na maamuzi ya kiume na declaration za kiume. Why uteseke wakati hizi ishu zipo possible tena enzi na enzi. Sidhani kama you are the first one. Big up
Ogopa sana Mwanaume kushindwa Kuipa thamani familia yako kwanza badala yake unaendekeza hisia uchwaro na nyege kisa umepata mwanamke mpya...!! NI AIBUU NA UJINGA MKUBWA.


Yani ndoa haina tatizo lolote mna amani tele lakini Mwanaume mpumbavu analeta uvulana wa kumuacha mkewe sababu tu amempenda mwanamke mwingine sasa sijui anadhani mke wake haoni wanaume bora zaidi yake huko nje au Sababu ushamzalisha unaona hana thamani tena??? Mpe thamani mkeo so long anakupa furaha jitahidi sana kutunza familia yako watoto wanapokuwa watoto wa nje au wakambo hakika ni mateso makubwa sana sema ndo Uvulana umetawala wanaume wengi wanaooa siku hizi.


Mwanaume Muache mkeo tena kwa mbinde yani umepigani mpaka point ya mwisho imeshindikana kuendelea kuwa pamoja sio mpo vizuri umepata kimwanamke huko nje unaanza kuleta visa ndani Aibu sana.
 
Mzee wa kula tunda kimasiara umetisha bonge la komenti [emoji106][emoji106][emoji106] umeongea ukweli mtupu
 
Leo umecomment kwa hisia; ila umeongea facts. Mwenye akili amekuelewa
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]pamoja sana mkuu..!! Uzi wetu unaniuma sana ngoja nibadilishe na avatar[emoji22][emoji22]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] no no no no usibadil avatar kamanda kati ya moja la uzi linalosumbua humu jf ni kula tunda kimasiara kwa mabaharia wanaelewa ninachokizungumza[emoji14][emoji14][emoji14]
 
Leo baharia kaongea point hivi[emoji119]wasipoelewa hapa hawataelewa tenaa
 

Kijana kuwa mwepesi kuelewa , kutokana na udhaifu wa mwili ambao unatamani unapoona mwanamke mwili hauna adabu kama wenyewe ukiona mwanamke unatamani lakini utashi wa kujizuia upo kwenye nafsi yako wewe mwanaume , ndio maana nilikujliza wewe dini gani maana mimi ni mpentekosti tuna ibada za kufunga , kufunga kunasaidia kuutiisha mwili na mawazo na tamaa zake , sijui kama umewahi experience kuutisha mwili , Mtume Paulo kwenye biblia ni mfano mzuri kifupi unaweza kuangalia kitamanicho na usikitamani yaani unapotezea , nadhiri yako tu wala sio suala la uchumi wala afya wala kutokuwa rijali . Na suala la kuoa mke wa pili ukristo hauruhusu ila
kwa waislamu dini inaruhusu .
 
Umebaki kwenye Historia tu...!![emoji23][emoji23]Max kaona mambo yasiwe mengii...
 
Umebaki kwenye Historia tu...!![emoji23][emoji23]Max kaona mambo yasiwe mengii...
Hahaha ata kama nikiwa na stress zang naupitia nione watu walivyokulana kimasiara [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Aseee[emoji848][emoji848][emoji848]
 
Ha ha ha ha,[emoji28][emoji16][emoji16][emoji16]
 
[emoji28][emoji28][emoji16][emoji16]
 
[emoji16][emoji16][emoji16][emoji28]
 
kwa wakati wako dada pitia ukurasa wa iddi makengo yuko insta, utakutana na visa vya wengine vinavyofanana na chako na wako wanaojuta. wengi wametapeliwa mali zao na kuachwa masingle mom.
Hivi zile storee ni za kweli?
 
Na suala la kuoa mke wa pili ukristo hauruhusu....

Hii ndo point...hatimaye nimekuelewa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…