Trapped to a married man

Mkuu kama anakupenda kwanini akuombe mfunge ndoa kisiri!!!?
Kama unamwamini kwanini uwe na mashaka!!?
Kama ameoa na bado yupo na mke wake unahisi utakuwa na jipya sana kwake ambalo mke wake hana!!!?
Jiulize vizuri mkuu ushauri wangu kwako upo kwenye hayo maswali matatu
 
Sie Wazee ngozi simesinyaa na siku zimekoma, jua limezama
Ewaaaa kuhusu ngozi usijali babe wangu nitakuogeshea maziwa, siku kukoma ndio poa yaani siku zote mechi haina mapumziko hiyo, kwa kua bado macho yako yanaona basi wewe ni kijana machoni mwangu. [emoji173]
 
Kikongwe nimependwa na kijana 😘😘
 
Mimi nashape kiumbe nilichokibeba tumboni miezi Tisa na hamna wa kunipangia wewe baba Baki tu kuwa sperm donor na mpumbavu huna mamlaka ya kujifanya kumlea mwanangu. So na play part zote
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…