TRC kuongeza treni kati ya Dar na Moro ni vizuri, hofu ni tabia ya Watanzania kutokuwa makini kazini kunakoweza kuleta treni kugongana!

Kwani ni mara ya kwanza Watanzania kuongoza train kwa kupishana? Tusijidharau bwana!
Unaongelea treni za kwenda 50km/hr kupokezana vikapu na stesheni master, treni mbili kwa siku kwenye reli, na kulinganisha na SGR ya 160km/hr, treni nane kwa siku, moja ikiwa express haisimami mahali? You are joking.
 
Unaongea kama kwamba train zote 8 zinaenda wakati mmoja!
 
Haya bwana! Tumekusikia tutamwondoa Kadogosa hivi punde asije kusababisha ajali! Kama njia za kupishana zipo watashindwaje kupishanisha train!
Tatizo ndio hilo. Kuna watu hamuwazi mbali mkiona thread kama hii mnaona ni namna ya kutaka kumuondoa Kadogosa ambaye inawezekana ni shemeji yenu mnaemtegemea katika maisha yenu. Hii ni thread ya tahadhari sio kukosoa au kumwondoa Kadogosa. Ajali za treni kugongana ni jambo lipo, linatokea kila wakati, na hata huyo shemeji yako Kadogosa hawezi kusema haitakaa itokee Tanzania. Suala ni yeye kutupa uhakika kwamba kila namna ya tahadhari imechukuliwa, ukitilia ndani factor ya kwamba Watanzania wengi ni wazembe kazini
 
Tatizo ndio hilo. Kuna watu hamuwazi mbali mkiona thread kama hii mnaona ni namna ya kutaka kumuondoa Kadogosa ambaye inawezekana ni shemeji yenu mnaemtegemea katika maisha yenu. Hii ni thread ya tahadhari sio kukosoa au kumwondoa Kadogosa. Ajali za treni kugongana ni jambo lipo, linatokea kila wakati, na hata huyo shemeji yako Kadogosa hawezi kusema haitakaa itokee Tanzania. Suala ni yeye kutupa uhakika kwamba kina namna ya tahadhari imechukuliwa, ukitilia ndani factor ya kwamba Watanzania wengi ni wazembe kazini

Jamaa una ubishi sana... Kwanza umeshapanda hiyo treni kutoka Dar hadi Moro?

Aliekwambia hakuna turnouts za kuoishana na kuachiana space ni nani? Train zina ongozwa toka control room with LED signalling systems. Usalama upo wa kutosha.

Na ni kwamba zikifika crashing zone zina sense na kwenda kwenye neutral point. Zina kata power so kunakuwa na less impact. Pale kuna wataalam wako vizuri sana.. Na pia wako chini ya uangalizi wa Korea.

Error za mistake zinaweza kuwepo ila athari zake zimedhibitiwa to minimal impacts. Ondoa hofu.. Tembea nayo ujionee..
 
Wewe ndio mbishi. Nimesema hofu inatokana na silka ya Watanzania kutokuwa makini katika masuala ya kazi, sio suala la kuwa na control room ikoje au kutokuwapo kwa space nk sijui. Huko zinakogongana hakuna LED? Mliwezaje kufaulu darasa la saba nyie? Au hukufaulu?
 
Point yako ni ipi hapo sasa!?

Treni yenyewe hata hauja panda kujua njia zikoje na sehemu za kupishana zikoje... Huo mfumo unavyofanya kazi pia haujui...

So kama zinagongana huko unapoku abudu kwamba wako vizuri kuliko huko so hata ikitokea huku bado utashangaa na kuleta maneno maneno hivi? Au wewe haujawahi kukosea!?
 
Wewe mbona kilaza sana? Nimekuambia hapa tunacho discuss ni mentality ya Watanzania kwenye kuwa makini kazini, sio structural design na safety control system ya SGR. Nahitaji kupanda treni kuielewa mentality ya uzembe wa Watanzania kwenye kazi? Kama huelewi topic kaa kimya. Hizo ni issue watu wanasomea hadi PhD, the human factor in HSE management. Ni sawa na kusema kama Mercedes Benz wanatengeneza gari zilizo safe, basi kila dereva atakaendesha Benz hawezi kupata ajali. Sasa kama huo sio upoyoyo ni nini?

Thread yangu inahusu hii kitu; very relevant in Tanzania operation environment, na vilaza kama wewe hampaswi kuingia kichwa kichwa kwenye thread hizi za kisomi. Mnajiabisha na na ujinga mnaoandika.

1719943745043.png

1719943957757.png
 
Wewe mbona kilaza sana? Nimekuambia hapa tunacho discuss ni mentality ya Watanzania kwenye kuwa makini kazini, sio structural design na safety control system ya SGR. Nahitaji kupanda treni kuielewa mentality ya uzembe wa Watanzania kwenye kazi? Kama huelewi topic kaa kimya. Hizo ni issue watu wanasomea hadi PhD, the human factor in HSE management. Ni sawa na kusema kama Mercedes Benz wanatengeneza gari zilizo safe, basi kila dereva atakaendesha Benz hawezi kupata ajali. Sasa kama huo sio upoyoyo ni nini?

Thread yangu inahusu hii kitu; very relevant in Tanzania operation environment

View attachment 3031924

Ndio maana bado nauliza swali lile lilee... Point yako iko wapi? Kama unajua kuna human error sasa ikitokea kwa Tanzania inakuwa nongwa?

Kama hata huko first world inatokea sasa ikitokea bongo bado utasema ni suala la mentality ya wabongo? Hao wengine huko inakuwa ni mentality ya aina gani!?
Elewa tu treni inaendeshwa na wataalam ambao wana ujuzi na uwezo kukuzidi... Wewe umewazidi malalamiko tu na maneno mengi ambayo haujui wala hauwezi kupata solutions yake.
Acha wataalam wenye ujuzi na uwezo wa kutafuta solutions waendelee na kazi yao.
 
Nimeona utendaji wa kazi na watu kutoka nchi mbalimbali, na katika uchunguzi wangu nimegundua kwamba Watanzania wengi tuna tatizo kubwa sana la tabia ya uzembe kazini, inayosababishwa na uvivu, kutojali, kutokuwa makini, au kufanya kazi ikiwa tu tunasimamiwa na bosi. Hatujui kujituma kwa hiari.

Mtanzania anaweza kupoteza muda akaacha kuangalia jambo la maana akawa anaangalia mitandao ya jamii, You tubu, anaongea na mtu kwenye simu, anatuma meseji au labda tu anapiga story na wenzake ofisini. Tabia hizi zimetupa sifa mbaya katika maeneo mengi ya kazi, kwamba Watanzania wengi ni watu ambao hatuchukulii majukumu yetu ya kazi seriously. Mara nyingi tunafanya kazi kwa mazoea, na kukitokea badiliko kidogo tu tunaharibu mambo.

Sasa katika eneo la ku-operate train za kwenda kasi za SGR, kuongeza safari hadi nane kwa siku kati ya Dar na Moro, na huenda zaidi ya nane huko mbele, hofu yangu kubwa ni uzembe ambao kuna siku tutaambiwa treni zimegongana. Kumbuka SGR yetu ni line moja na sio mbili (dual lines) ambapo kwa line moja treni zitapishana sehemu maalumu. Je, Watanzania tuna uwezo wa kuwa makini katika eneo hili jipya na kuhakikisha suala la treni za SGR kugongana halitokei, tukiwa madereva wa treni au control room ya safari za treni?

Ukiniuliza maoni yangu binafsi, nitakuambia kwa ninavyowafahamu Watanzania wenzangu, uwezekano wa kugonganisha treni za SGR upo mkubwa tu!
Inaweza kutokea kama ajali nyingine kwani hta TZR na TRC huwa zinapishana sehemu, sema kuwa na schedule nyingi ndo shida sababu hatuna kitu kinaitwa time Management na proper cimmunication na mimi huo ndo wasiwasi wangu.
 
Ndio maana bado nauliza swali lile lilee... Point yako iko wapi? Kama unajua kuna human error sasa ikitokea kwa Tanzania inakuwa nongwa?

Kama hata huko first world inatokea sasa ikitokea bongo bado utasema ni suala la mentality ya wabongo? Hao wengine huko inakuwa ni mentality ya aina gani!?
Elewa tu treni inaendeshwa na wataalam ambao wana ujuzi na uwezo kukuzidi... Wewe umewazidi malalamiko tu na maneno mengi ambayo haujui wala hauwezi kupata solutions yake.
Acha wataalam wenye ujuzi na uwezo wa kutafuta solutions waendelee na kazi yao.
Kwa hiyo kama inatokea huko ni sawa kwetu kutokea?

Ngoja niwe mvumilivu nikufafanulie. Ni kweli accident huwa zinatokea, popote pale. Lakini ninachomaanisha na thread ni kwamba Watanzania tuna tabia ya kuwa wazembe compared na nchi nyingine. Zipo nchi chache tunawazidi. Human factor risk yetu kwenye mambo ya usalama ni kubwa kuliko nchi nyingine. Dereva wa basi mtanzania anaweza kuamua ku-overtake sehemu ya kona, jambo ambalo dereva wa basi wa Germany hatafanya. Derava wa basi Tanzania ataamua kushindana mbio na dereva wa basi jingine, kitu ambacho dereva wa basi wa UK hawezi kufanya. Kwa hiyo katika mambo ya usalama, human factor katika context ya Tanzania ni tofauti na context ya UK au Germany.

Kwa hiyo, kama tusipoweka consideration ya human factor ya Mtanzania kuhakikisha watu hawafanyi uzembe katika nyanja hii mpya ya kumanage SGR, kwa madereva wa train na watu walio trafic control, tukawaacha tu wakafanya kazi kwa mazoea ya tabia ya Watanzania kutochukulia mambo kwa u-serious, haitachukua muda kabla hatujasikia kumetokea accident. Hivyo tukijua hili, tunapaswa tusiweke imani kwamba tuna mfumo maridadi wa usalama system ya kisasa ya traffic control ya treni za SGR, bali tukumbuke kuna factor ya Watanzania katika kumanage safety, ambayo ina risk kubwa zaidi kuliko wafanyakazi wa nchi nyingine kama UK. Hii inatokana na ukweli kwamba mara nyingi Watanzania huwa hatuchukulii mambo au kazi kwa uzito unaostahili, hadi tusimamiwe, na kwa SGR inaweza kuleta madhara makubwa.
 
Jamaa una ubishi sana... Kwanza umeshapanda hiyo treni kutoka Dar hadi Moro?

Aliekwambia hakuna turnouts za kuoishana na kuachiana space ni nani? Train zina ongozwa toka control room with LED signalling systems. Usalama upo wa kutosha.

Na ni kwamba zikifika crashing zone zina sense na kwenda kwenye neutral point. Zina kata power so kunakuwa na less impact. Pale kuna wataalam wako vizuri sana.. Na pia wako chini ya uangalizi wa Korea.

Error za mistake zinaweza kuwepo ila athari zake zimedhibitiwa to minimal impacts. Ondoa hofu.. Tembea nayo ujionee..
Jamaa anajiona anajua maswala ya early warning kuliko walioko kwenye kazi. Halafu anachukulia udhaifu wake kuwa constant kwa Watanzania wote!
 
Early warning hai apply hapa kwenye suala la human factor. Usijifanye unaelewa kinachoongelewa kwa kuwa ulisikia mtu akiongea early warning na sasa unatumia hayo maneno sehemu ambayo hayana relevance ili tu kujionyesha unajua kitu kumbe mtupu kabisa. Kwa hilo ni wazi asiejua kati yako na yangu ni yupi. Kadanganye form four leavers huko namameno makubwa kama early warning, sio professionals kama mimi. Sio najiona, najua ninachoongea, na nina uhakika mara mia zaidi yako.

Na psychology nimesoma pia, kwa hiyo nimeku-profile kwa hii post yako moja tu. Ni kwa sababu ya background yangu ya psychology na Health and safety management ndio nikatoa hii thread. Sasa wewe mfunga vidonda unamwelekeza surgeon jinsi ya kupasua mtu?

Na kwa kukusaidia kiingereza tu, hatusemi "anachukulia udhaifu wake kuwa constant kwa Watanzania wote!" Unapaswa kusema "udhaifu wake kuwa common kwa Watanzania wote!" Udhaifu hauwezi kuwa constant, unaweza kuwa common. Kwa kuku-profile tena, ulipata D ya kiingereza form four.
 
Kwa hiyo kama inatokea huko ni sawa kwetu kutokea?

Ngoja niwe mvumilivu nikufafanulie. Ni kweli accident huwa zinatokea, popote pale. Lakini ninachomaanisha na thread ni kwamba Watanzania tuna tabia ya kuwa wazembe compared na nchi nyingine. Zipo nchi chache tunawazidi. Human factor risk yetu kwenye mambo ya usalama ni kubwa kuliko nchi nyingine. Dereva wa basi mtanzania anaweza kuamua ku-overtake sehemu ya kona, jambo ambalo dereva wa basi wa Germany hatafanya. Derava wa basi Tanzania ataamua kushindana mbio na dereva wa basi jingine, kitu ambacho dereva wa basi wa UK hawezi kufanya. Kwa hiyo katika mambo ya usalama, human factor katika context ya Tanzania ni tofauti na context ya UK au Germany.

Kwa hiyo, kama tusipoweka consideration ya human factor ya Mtanzania kuhakikisha watu hawafanyi uzembe katika nyanja hii mpya ya kumanage SGR, kwa madereva wa train na watu walio trafic control, tukawaacha tu wakafanya kazi kwa mazoea ya tabia ya Watanzania kutochukulia mambo kwa u-serious, haitachukua muda kabla hatujasikia kumetokea accident. Hivyo tukijua hili, tunapaswa tusiweke imani kwamba tuna mfumo maridadi wa usalama system ya kisasa ya traffic control ya treni za SGR, bali tukumbuke kuna factor ya Watanzania katika kumanage safety, ambayo ina risk kubwa zaidi kuliko wafanyakazi wa nchi nyingine kama UK. Hii inatokana na ukweli kwamba mara nyingi Watanzania huwa hatuchukulii mambo au kazi kwa uzito unaostahili, hadi tusimamiwe, na kwa SGR inaweza kuleta madhara makubwa.

Mkuu, amini hiyo Reli ina wataalam wamekaa darasani zaidi ya miaka 3. Wamefundishwa na wataalam wabobevu na majaribio ya kutosha. Wanajua zaidi ya mimi na wewe tunao Jaribu ku predict vitu ambavyo ni aghalabu havipo au ni nadra kutokea.

Usifanye generalisations ya hulka za watu kadhaa ambao umekutana nao ukaona watu wote ni sawa. Air control inafanyika na watanzania na hao ndio wanarusha Ndege zetu.. Hebu niambie kuna changamoto gani huko? Vipi kuhusu navigation system... Meli zetu na hizo za nje ma Captain wetu wanazipokea na kufanya maneuver... Kuna changamoto gani huko?

Weledi na utaalam ukipewa nafasi kila kitu kinakuwa on point.
 
Jamaa anajiona anajua maswala ya early warning kuliko walioko kwenye kazi. Halafu anachukulia udhaifu wake kuwa constant kwa Watanzania wote!

Jamaa amefanya generalisation ya ajabu kabisa... Anadhani kwa project na aina ya Treni zile wata weka weka tu watu wa hovyo bila kupigwa masasa wa maana.
 
Mkuu, amini hiyo Reli ina wataalam wamekaa darasani zaidi ya miaka 3. Wamefundishwa na wataalam wabobevu na majaribio ya kutosha. Wanajua zaidi ya mimi na wewe tunao Jaribu ku predict vitu ambavyo ni aghalabu havipo au ni nadra kutokea.

Usifanye generalisations ya hulka za watu kadhaa ambao umekutana nao ukaona watu wote ni sawa. Air control inafanyika na watanzania na hao ndio wanarusha Ndege zetu.. Hebu niambie kuna changamoto gani huko? Vipi kuhusu navigation system... Meli zetu na hizo za nje ma Captain wetu wanazipokea na kufanya maneuver... Kuna changamoto gani huko?

Weledi na utaalam ukipewa nafasi kila kitu kinakuwa on point.
Hilo ndilo jibu ulipaswa kutoa toka mwanzo, sio kusema kaiangalie control room
 
Jamaa amefanya generalisation ya ajabu kabisa... Anadhani kwa project na aina ya Treni zile wata weka weka tu watu wa hovyo bila kupigwa masasa wa maana.
Nitakuuliza maswali yatakayofunua ufahamu wako.

Walipigwa msasa wa maana katika mambo gani?

Human factor kama element ya safety management, unaimanage namna gani ili Watanzania watakaohusika na safety control ya SGR wasije wakasababisha zikapata ajali? Unawafundisha jinsi ya ku manage control safety system? Kuendesha matreni vizuri?

Majibu lako yatatuambia kama kweli unafahamu kinachongelewa hapa, au unakurupuka kujibu mambo usiyoelewa.
 
Uwe na siku njemaa Kiongozi..

Fika ofisi za Tanrail watakupatia majibu kwa mapana zaidi.
 
Back
Top Bottom