macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 25,191
- 48,765
*Kwahiyo vs kwahio! Bila shaka hatuwezi kujijengea wenyewe, lakini pia kulalamika tu hakutoshi. Ni mangapi tunalalamika kila siku na wanatupuuza? Point yangu ni kuwa tuchukuwe hatua kwa vitendo na siyo kulalamika. Haya unayolalamikia ni moja ya mambo mengi kabisa yanayotokana na sisi wananchi kutochukuwa hatua.Kwahio tujiwekee wenyewe hivyo vivuko mkuu.. wakati mwingne tusikae kimya eti kwasababu hatuishi huko
Wewe mpumbavu wa wapi? Kwahiyo unataka madaraja wakuwekee nyumbani kwako! Ulipoenda kujenga kwenye reli na kuvuka juu yake ulitegemea kuruhusiwa milele?TRC - shirika la reli Tanzania kwakweli mmekuwa kero Kubwa sana kwasasa! Tunaheshim sana kazi mnayofanya lakini nyie hamtuheshimu WANANCHI wa Tanzania.
1. Mmeziba Barabara zoote za waenda kwa miguu, mkilazimisha watu wapite juu ya MADARAJA ambayo kiuhalisia bado hayajakamilika kujengwa. Hakuna alama ya wapita kwa miguu hakuna alama za barabarani! Hata fence juu ya MADARAJA hazijakamilika mnataka watu wadondoke wafe ndo akili iwakae sawa. Au mnataka ajali zitokee ndo mrekebishe
2. Mmeziba Njia zoote za wapita kwa miguu mnawalazimisha wapite kwenye matobo ya chini kabisa! Huu si ubinadamu Wala ustarabu mmezingua kinoooma yaani apo
3. Mmezingatia na watu wenye ulemavu au mnajifikiria nyie tu kuziba hizo njia, wajawazito je? Wazee je? Kwani nyie mnamatatizo gani mbona hamsomeki
Solution: wekeni utaratibu mzuri toweni uzio huo woote, tengenezeni Railway cross nzuri,
Tuache hayo Mambo ya kizaman bhna hata Kama treni ni jipya haimaanishi mfanye mnavyotaka
Maeneo: Majumba sita, Airport, mpaka gongo la mboto na maeneo mengine ambyo siyajui
ASANTEN
Kuna madaraja pia! Na vitobo si vya maji unapaswa kupita kwenye underpass!Hivyo vitobo vya chini wakati wa mvua njia ya maji, wakati wa jua njia ya watembea kwa miguu...
Mama anatosha kutuvusha
Hii nchi ni yakwetu! Na freedom of expression ipo! Kama hawataki kufanya Kama WANANCHI tunavyotaka! Jiulize watakuwa wanafanya kwaajili ya nani wamridhisheSuluhu ya tatizo wafanye unavyotaka wewe?
Badili tabia.
Hivi yale madaraja ni gari na watembea kwa miguu pia??? Nkajua njia ya gari tu....gari, boda, watu, halina kingo mmhKuna madaraja pia! Na vitobo si vya maji unapaswa kupita kwenye underpass!
Una ushauri mzuri japo umeuweka kweny lugha ngumuWewe mpumbavu wa wapi? Kwahiyo unataka madaraja wakuwekee nyumbani kwako! Ulipoenda kujenga kwenye reli na kuvuka juu yake ulitegemea kuruhusiwa milele?
Siyo "wananchi", sema mwananchi, wengine huo mpango wako hatuutaki kabisa tena.Hii nchi ni yakwetu! Na freedom of expression ipo! Kama hawataki kufanya Kama WANANCHI tunavyotaka! Jiulize watakuwa wanafanya kwaajili ya nani wamridhishe
Kwahio wewe ndo Umekuwa WANANCHI, mi ninekuwa mwananchi. Kama Legend Kama wew uko hivi sijui unatufundisha nin watoto wako madame Fox, nimekujua miaka mingi saaana. Kwann wewe uwe WANANCHI mi niwe MwananchiSiyo "wananchi", sema mwananchi, wengine huo mpango wako hatuutaki kabisa tena.
Nafikiri hakuna mtu mzima anaelaumu bila sababu. chunguza hiliYaani ipite siku bila lawama? Nevaaaa
Vitobo ni tatzo kubwa kwa watu wenye ulemavuHivyo vitobo vya chini wakati wa mvua njia ya maji, wakati wa jua njia ya watembea kwa miguu...
Mama anatosha kutuvusha
Hata waisio na ulemavu ni tabu, kitobo kina vumbi watu kibao na bodaboda humo humo.Vitobo ni tatzo kubwa kwa watu wenye ulemavu
Hawajaweka vivuko kwa wapita njia ukazunguka kilometers tatu ndo urudi ulipotoka so unahitaji dakika 45 kuvuka upande wa pili.Kwahiyo waruhusu mvuke popote na mfanye biashara juu ya reli kama pale Buguruni wanavyofanya, wakiona treni wanaondoa ikipita wanarudisha. Vivuko vya chini ya reli Mbagala vipo hawalalamiki, Iringa kipo Ipogolo chini ya mlima, hawalalamiki ila nyie vijana wa visungura mkipita mnasikia kizunguzungu.