DOKEZO TRC, mtanitafuta kwa uchochezi au Mkurugenzi Mkuu Kadogosa utanishukuru mimi na JF? Treni imefungwa kwa waya!

Hili ni dokezo maalum toka kwa mwananchi mtumiaji wa JF mwenye nia ya kuusaidia umma kuwa na taarifa 'maalum'
Kweli Waafrica tunasikitisha sana
 

issue ya speed iko kwenye Engine (kichwa) then unakuja kwenye consideration ya behewa based on speed ya kichwa na aina ya rail yako..
 
Likiuwa watu utaskia kazi ya Mungu, wapigaji wa serekali wanatenga hela nyingi kwaajili ya kuwaaga marehem wakat hela hizo hzo zingetosha kurekebisha hizo kasoro na zingebaki
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…