King Offset
Member
- Oct 11, 2022
- 18
- 26
Nlkuwa nina hamu ya kupanda ayo matren lakini nlivoona ivo nmeishiwa na nguvu kabsaa 🙆🏻♂️🤕Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.
Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho...
Jr, nani afuatilie? Nchi hii waijua Uzuri Na huyo jamaa aliye piga picha hizo ana bahati sana, angeshikwa angepewa kesi ya uchonganishi (uchochezi).Behewa no 3665 hili ni la kufuatilia manake ushahidi uko wazi mno
Rais mpumbavu usababisha mambo kwenda kipumbavu piaNinavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.
Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho.
Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo namba ni mabehewa yenye hizo kasoro.
View attachment 2447266View attachment 2447267
Hii hapa chini ndiyo sijui wataalam wa wanasemaje kama break zikiwa katika hali hiyo, je treni inaweza kufanya kazi miezi mingapi na hakuna shida?
View attachment 2447268View attachment 2447270
Nawasilisha.
Unamaanisha nini? Kwamba mleta habari anajifanya? Mungu akusamehe bureJoint expansion hiyo. Tatizo wabongo wajuaji saaana
Unatumia Tecno tupaKuna mtu kaloga picha zisifunguke
Acha porojo mbofumbofu jamvinKupata vichekesho vingi kama hivi huwa mnabonyeza ngapi?
Kama hajawatuma atawawajibisha ...swali lako ni lakipumbavu ni sawa sawa na polisi kukataa kukamata majambazi eti kwa hoja kuwa hakuwatuma kuwa majambaziSo rais ndio kafunga hizo waya???au kawatuma kufunga hizo waya??acha kudhihaki na kutumia lugha ya matusi kwa mtu au taasisi ....Kama huna cha kuandika ni bora kuwa msomaji.
Mbona jpm mnamkashifu kwani yeye hakuwa rais ..kiti siyo tatizo wala kiti cha uraisi siyo tatizo kwa kuwa mpumbavu ni mtu siyo kiti ....tumia akili wewe zuzu acha kunya akili na kubakisha mavii kichwaniHeshimu hicho kiti ndugu. Japo maisha ya watumiaji wa chombo hicho ni muhimu,kuna wahusika ambao kwa taarifa hiyo leo hadi ifike jioni hawatakuwa na kazi.
Hivi huwa unamwabudu Mungu kweli mbona ha ni mabehewa ya mizigo ya zamani sanaNinavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.
Sasa kwenu nyie shirika la reli TRC ya ndg Kadogosa sijui nani anawakagua mwanzo, katikati ya safari au mwisho.
Pichani ni treni mnaita deluxe inayotoka Dar Es Salaam kwenda Arusha na hizo namba ni mabehewa yenye hizo kasoro.
View attachment 2447266View attachment 2447267
Hii hapa chini ndiyo sijui wataalam wa wanasemaje kama break zikiwa katika hali hiyo, je treni inaweza kufanya kazi miezi mingapi na hakuna shida?
View attachment 2447268View attachment 2447270
Nawasilisha.
Mbona mimi basha ninaeshimiwa sana ma baba yako ..anasema kama si mimi kumuwezesha wewe usinge zaliwaWe ndio pekee huna akili,mama yako ananiheshimu sana
Watakuja unadhani.Tanzania Railways Corp haya jibuni basi
Kitaalamu hiyo naweza ita expansion joint ya behewa, kuruhusu contraction kati ya taili la behewa na shock absorberHatari sana, bila shaka wahusika wameiona na watalifanyia kazi.
Najua hawaji ila ishu ya mabehewa ya zamani waliandika Uzi fasta😂 kukanusha, admin amelala yoooWatakuja unadhani.
Watasema umefanya makaretii ya picha. Hongera kwa kufichua.Ninavyofahamu kwenye usafiri wa mabasi kuna wakaguzi kama maofisa wa kitengo cha usalama barabarani.