TRC: Tumepokea maoni ya Afande Sele kuhusu ratiba ya Treni ya SGR kutoka Morogoro

dar - moro ordinary zipo 3, moro - dar ordinary zipo 3.
shida iliyopo ordinary za moro -dar zinaanzia mchana ,

kulalamika kama kuna maslahi ya watu alitakiwa kutoa maelezo yakina na hata takwimu kama ikibidi,

ndo maana shirika limesema yale ni maoni, maana kama zimefululizana kuanzia mchana tu na zinajaa vizuri , muktadha wa hoja inabidi ubadilike kuomba kuongezwa ruti
Abiria wanalalamika treni ya Moro-Dar ordinary hakuna asubuhi lakini ipo inayotoka Dosoma inapita hapo Moro kwenda Dar muda ambao ni 20 mbele ya muda wa ile ya zama I. TRC wameondoa inayoanzia Moro ila huduma ya usafiri wa Moro Dar muda huo ipo kwa kutumia inayotoma Dom.
Hakuna point treni ipite hapo Morogoro saa 0940 halafu uweke treni ingine 0930 kwemda destination hio hio tena Moro Dar haiko busy kivile.
Morogoro wanabahati sana maana wana options nyingi kwasababu treni zote zinasimama hapo.
 
Ha ha ha nimecheka sana. Hii ya 30k safari za ghafla huipati. Hawa wajanja wameweka ya bei mbaya nyingi ili ziwe available anytime sasa ukiwa na safari ya muhimu ya ghafla lazima wakunyooshe.
Watu tulishagundua.
Unafanya booking za mwezi mzima...
Hasara yake ni kuna ambazo utapoteza tu...
Halafu hawana cancellation hawa jamaa...labda ubadili tu schedule wapige 11% yao.

Tulishashauri waweke na Cancellation watapata faida...kuliko siti ziwe zinaenda Wazi tu.
I mean mtu akicancel wamkate hata 18% ya gharama then ile nafasi wauze.

Hii reschedule haina maana kwa mtu ambaye tayari una ticket mbili au tatu
 
Ila walitakiwabwaongeze ORDINARY SERVICE. Abiria wa Ordinary ndio wengi.
 
Abiria wanalalamika treni ya Moro-Dar ordinary hakuna asubuhi lakini ipo inayotoka Dosoma inapita hapo Moro kwenda Dar muda ambao ni 20 mbele ya muda wa ile ya zama I. TRC wameondoa inayoanzia Moro ila huduma ya usafiri wa Moro Dar muda huo ipo kwa kutumia inayotoma Dom.
Hakuna point treni ipite hapo Morogoro saa 0940 halafu uweke treni ingine 0930 kwemda destination hio hio tena Moro Dar haiko busy kivile.
Morogoro wanabahati sana maana wana options nyingi kwasababu treni zote zinasimama hapo.
naam, sema hapa mvutano mkubwa ni kupata ordinary nyingi maana unafuu unahitajika

sjajua ratiba watapangaje ila kila ratiba mpya wakitoa hua kuna upande haibalance, kwasasa labda wawahi lile la kwanza kwa 22,500
 
Kila wakiongeza wanaongeza ya bei ghali. Kuna kitu nyuma ya pazia. Wanataka watu warudi kwenye mabasi. Hujuma hii.
 
hilo ndo tatizo kuu, lakini kama takwimu zinaonesha kuna uhitaji ni kuomba ruti ziongezeke, au hata mabehewa kama inawezekana, bila lugha iliyonyooka serikali ni wajanja kukimbia hoja kwa majibu mepesi
 
Panda ya Tzs 31,500 Dar Dom halafu ndio upande hio ya 120k.
Yaani wewe mpaka treni zinaanza kupauka hujapanda tu?!! Si uende hata Pugu 😀😀
Huwezi amini sijawahi. Nataka siku nipande ya 31k iyo Dar Dom hafu jioni narudi.
 
Ngoja nikupe hii adventure
Panda jumamosi treni ya 1855 unafika Don 2300 unaingia joint yoyote kali hapo Dom una bang hadi asubuhi unageuza na treni ya 0500 Dar unaingia 0930. Gari yako unaicha hapo SGR station.
 
Abood Bus Services King of the Road halafu mabasi yamechoka kishenzi na huduma mbovu sijaona. Ndiyo tunalazimishwa tupande asubuhi. Masaa mpaka matano kutoka Dar mpaka Moro. Nchi hii basi tu!
Nahisi kama sisi wabongo ni walalamishi sana ma wabinafsi saana. yaani ni kama watu wa moro mnataka route zote zianzie moro tu.

Kama routes zikianzia Dar - Dom na Viceversa tegemea routes za namna hii. Alfajiri ikitoka ordinary, saa moja itatoka EMU. Kumbuka ni lane moja hii

Muhimu ni abiria kuadjust na kujiadjust - unless Dodoma alfajiri itoke ordinary na saa moja itoke ordinary; maana yake EMU zisiwepo kabisa.
 
Ulichoandika kina uhusiano gani na comment yangu? Umenikwoti kimakosa? Wewe ni Abood mwenyewe ama? Smart dude indeed! 🚮
 
K

Kama haujaelewa basi haujui ulichoandika na kama unajua, haujui umemaanisha nini; any way sawa ninaweza kuifuta comment. No hard feelings
 
K

Kama haujaelewa basi haujui ulichoandika na kama unajua, haujui umemaanisha; any way sawa ninaweza kuifuta comment. No hard feelings
Ulichoandika kina uhusiano gani na comment yangu? Umenikwoti kimakosa? Wewe ni Abood mwenyewe ama? Smart dude indeed! 🚮
 
naam, sema hapa mvutano mkubwa ni kupata ordinary nyingi maana unafuu unahitajika

sjajua ratiba watapangaje ila kila ratiba mpya wakitoa hua kuna upande haibalance, kwasasa labda wawahi lile la kwanza kwa 22,500
Sahihi kabisa;

Ili zibalance lazima routes mbili zianzie Morogoro - DSM, DSM - Morogoro; lakini ikitokea routes zikiqnzia Dom - Dar, Dar - Dom; ortherwise ni ngumu sana; na hapo bado zikija routes za mwanza na kigoma miaka ya mbeleni.
 
Abiria wanalalamika treni ya Moro-Dar ordinary hakuna asubuhi lakini ipo inayotoka Dosoma inapita hapo Moro kwenda Dar muda ambao ni 20 mbele ya muda wa ile ya zama I. TRC wameondoa inayoanzia Moro ila huduma ya usafiri wa Moro Dar muda huo ipo kwa kutumia inayotoma Dom.
Hakuna point treni ipite hapo Morogoro saa 0940 halafu uweke treni ingine 0930 kwemda destination hio hio tena Moro Dar haiko busy kivile.
Morogoro wanabahati sana maana wana options nyingi kwasababu treni zote zinasimama hapo.
Mkuu kama hujui kaa kimya. Ruti ya moro dar always inajaza unasemaje haiko busy?
 
Bila kutiwa kidole matrakoni huwa hawashituki sjui elimu zao huwa zinawasaidiaje vichwani
 
Back
Top Bottom