Tonny Kapola Gas Station
JF-Expert Member
- Aug 14, 2025
- 1,023
- 3,334
Abiria wanalalamika treni ya Moro-Dar ordinary hakuna asubuhi lakini ipo inayotoka Dosoma inapita hapo Moro kwenda Dar muda ambao ni 20 mbele ya muda wa ile ya zama I. TRC wameondoa inayoanzia Moro ila huduma ya usafiri wa Moro Dar muda huo ipo kwa kutumia inayotoma Dom.dar - moro ordinary zipo 3, moro - dar ordinary zipo 3.
shida iliyopo ordinary za moro -dar zinaanzia mchana ,
kulalamika kama kuna maslahi ya watu alitakiwa kutoa maelezo yakina na hata takwimu kama ikibidi,
ndo maana shirika limesema yale ni maoni, maana kama zimefululizana kuanzia mchana tu na zinajaa vizuri , muktadha wa hoja inabidi ubadilike kuomba kuongezwa ruti
Watu tulishagundua.Ha ha ha nimecheka sana. Hii ya 30k safari za ghafla huipati. Hawa wajanja wameweka ya bei mbaya nyingi ili ziwe available anytime sasa ukiwa na safari ya muhimu ya ghafla lazima wakunyooshe.
Ila walitakiwabwaongeze ORDINARY SERVICE. Abiria wa Ordinary ndio wengi.Watu tulishagundua.
Unafanya booking za mwezi mzima...
Hasara yake ni kuna ambazo utapoteza tu...
Halafu hawana cancellation hawa jamaa...labda ubadili tu schedule wapige 11% yao.
Tulishashauri waweke na Cancellation watapata faida...kuliko siti ziwe zinaenda Wazi tu.
I mean mtu akicancel wamkate hata 18% ya gharama then ile nafasi wauze.
Hii reschedule haina maana kwa mtu ambaye tayari una ticket mbili au tatu
naam, sema hapa mvutano mkubwa ni kupata ordinary nyingi maana unafuu unahitajikaAbiria wanalalamika treni ya Moro-Dar ordinary hakuna asubuhi lakini ipo inayotoka Dosoma inapita hapo Moro kwenda Dar muda ambao ni 20 mbele ya muda wa ile ya zama I. TRC wameondoa inayoanzia Moro ila huduma ya usafiri wa Moro Dar muda huo ipo kwa kutumia inayotoma Dom.
Hakuna point treni ipite hapo Morogoro saa 0940 halafu uweke treni ingine 0930 kwemda destination hio hio tena Moro Dar haiko busy kivile.
Morogoro wanabahati sana maana wana options nyingi kwasababu treni zote zinasimama hapo.
Kila wakiongeza wanaongeza ya bei ghali. Kuna kitu nyuma ya pazia. Wanataka watu warudi kwenye mabasi. Hujuma hii.naam, sema hapa mvutano mkubwa ni kupata ordinary nyingi maana unafuu unahitajika
sjajua ratiba watapangaje ila kila ratiba mpya wakitoa hua kuna upande haibalance, kwasasa labda wawahi lile la kwanza kwa 22,500
Hii ndio treni nitakayopanda kujaribu SGR kwa mara ya kwanza.120k parefu sana. Sijui sababu gani imewafanya waongeze za bei kubwa tu. Lakini ile ya 31k Dar Dom iko vile vile asubuhi na jioni.
Kabisa, Wafikirie hilo aiseeIla walitakiwabwaongeze ORDINARY SERVICE. Abiria wa Ordinary ndio wengi.
Panda ya Tzs 31,500 Dar Dom halafu ndio upande hio ya 120k.Hii ndio treni nitakayopanda kujaribu SGR kwa mara ya kwanza.
hilo ndo tatizo kuu, lakini kama takwimu zinaonesha kuna uhitaji ni kuomba ruti ziongezeke, au hata mabehewa kama inawezekana, bila lugha iliyonyooka serikali ni wajanja kukimbia hoja kwa majibu mepesiKila wakiongeza wanaongeza ya bei ghali. Kuna kitu nyuma ya pazia. Wanataka watu warudi kwenye mabasi. Hujuma hii.
Huwezi amini sijawahi. Nataka siku nipande ya 31k iyo Dar Dom hafu jioni narudi.Panda ya Tzs 31,500 Dar Dom halafu ndio upande hio ya 120k.
Yaani wewe mpaka treni zinaanza kupauka hujapanda tu?!! Si uende hata Pugu 😀😀
Ngoja nikupe hii adventureHuwezi amini sijawahi. Nataka siku nipande ya 31k iyo Dar Dom hafu jioni narudi.
Nahisi kama sisi wabongo ni walalamishi sana ma wabinafsi saana. yaani ni kama watu wa moro mnataka route zote zianzie moro tu.Abood Bus Services King of the Road halafu mabasi yamechoka kishenzi na huduma mbovu sijaona. Ndiyo tunalazimishwa tupande asubuhi. Masaa mpaka matano kutoka Dar mpaka Moro. Nchi hii basi tu!
Ulichoandika kina uhusiano gani na comment yangu? Umenikwoti kimakosa? Wewe ni Abood mwenyewe ama? Smart dude indeed! 🚮Nahisi kama sisi wabongo ni walalamishi sana ma wabinafsi saana. yaani ni kama watu wa moro mnataka route zote zianzie moro tu.
Kama routes zikianzia Dar - Dom na Viceversa tegemea routes za namna hii. Alfajiri ikitoka ordinary, saa moja itatoka EMU. Kumbuka ni lane moja hii
Muhimu ni abiria kuadjust na kujiadjust - unless Dodoma alfajiri itoke ordinary na saa moja itoke ordinary; maana yake EMU zisiwepo kabisa.
Kama haujaelewa basi haujui ulichoandika na kama unajua, haujui umemaanisha nini; any way sawa ninaweza kuifuta comment. No hard feelingsUlichoandika kina uhusiano gani na comment yangu? Umenikwoti kimakosa? Wewe ni Abood mwenyewe ama? Smart dude indeed! 🚮
Ulichoandika kina uhusiano gani na comment yangu? Umenikwoti kimakosa? Wewe ni Abood mwenyewe ama? Smart dude indeed! 🚮K
Kama haujaelewa basi haujui ulichoandika na kama unajua, haujui umemaanisha; any way sawa ninaweza kuifuta comment. No hard feelings
Sahihi kabisa;naam, sema hapa mvutano mkubwa ni kupata ordinary nyingi maana unafuu unahitajika
sjajua ratiba watapangaje ila kila ratiba mpya wakitoa hua kuna upande haibalance, kwasasa labda wawahi lile la kwanza kwa 22,500
Mkuu kama hujui kaa kimya. Ruti ya moro dar always inajaza unasemaje haiko busy?Abiria wanalalamika treni ya Moro-Dar ordinary hakuna asubuhi lakini ipo inayotoka Dosoma inapita hapo Moro kwenda Dar muda ambao ni 20 mbele ya muda wa ile ya zama I. TRC wameondoa inayoanzia Moro ila huduma ya usafiri wa Moro Dar muda huo ipo kwa kutumia inayotoma Dom.
Hakuna point treni ipite hapo Morogoro saa 0940 halafu uweke treni ingine 0930 kwemda destination hio hio tena Moro Dar haiko busy kivile.
Morogoro wanabahati sana maana wana options nyingi kwasababu treni zote zinasimama hapo.