TRC yatolea ufanunuzi kuzimika kwa treni ya SGR Julai 30, 2024 katikati ya Stesheni ya Kilosa na Kidete

Sasa hapo unahesabu umependa tren ya mwendo kasi?
 
Tayari ngoma imeanza
 
Tayari ngoma imea
Wanazisingizia ngedere sababu wanajua haziwezi kujieleza
 
Nakumbuka kauli hii sio tu Diesel walisema ina power back up.
 
Anaesifiwa sana na ambae ni injinia siamefariki au?
 
Hii nchi sijui nikipi kitakuja kifanyike kwa unyoofu pasipo kutokea visingizio wallah....
Angekuwepo John, hapo lazima kuna mtu angewajibika qudadadeqi....☹️
Shida ni kwamba wanashidwa kufanya uchunguzi wa kina kujua nini kinatokea, kitu kama hichi kikitokea kama china au India muhusika anashughulikiwa kweli kweli
 
Wamepata suluhisho la kudumu au tutegemee kuombwa radhi tu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…