Lakini ni afadhali kigogo wakijieleza kuliko kukaa kimya tu, au kuropoka tu na mambo mengine ya kisiasa tu.Sasa kwa nini wanajichosha kufanya press conferences?Such a waste of time and calories!
Itabidi abiria tuwe tunatembea na testa tuu yaani umeme wa majumbani hauwezi sumbuliwa na ndege ndio uwe ule mkubwa hawa jamaa wametuona viazi sana aisee na sababu zao za kitoto...Ngedere bundi ile fiksi
Kulikuwa na shida ya umeme
Abiria ndivyo wanavyosema
Ova
Hao bundi na ngedere walihojiana nao muda gani hadi kuthibitisha hujuma hizo?Hizo fictional factors zao ni futuhi kabambe sana.Ngedere bundi ile fiksi
Kulikuwa na shida ya umeme
Abiria ndivyo wanavyosema
Ova
WanasingiziwaMambo yakiwa mazuri,Samia anasifiwa yakiharibika ngedere na Bundi wanalaumiwa
Na hayo majamaa katika hiyo sector huwa yapo serious sana.Ndomaana india wana treni za umeme ila nyuma ya locomotive kuna dizeli generator, naamini umeshajua kwa nini wameweka.
View attachment 3057348
View attachment 3057349View attachment 3057351View attachment 3057352
Wawe wakweli sasa.Bundi,popo sijui ngedere wanasingiziwa tu.Insufficient electricity was the cause.Blah blah nyingi mwisho waonekane wehu waliopendeza mavazi tu.Lakini ni afadhali kigogo wakijieleza kuliko kukaa kimya tu, au kuropoka tu na mambo mengine ya kisiasa tu.
Kidogo wanaonyesha kama kujutia tukio (contrite); kuliko kujiona vichwa ngumu.
Nimerekebisha mkuu,wanasingiziwa ni Sawa kabisaaaWanasingiziwa
Wao wamekurupuka na kusema ngedere na bundiNimejipa wakati nisome michango yote katika mada hii. Huu ndio mchango muhimu kuliko zote nilizo kwisha soma hadi sasa.
Lingekua jambo zuri sana, TRC wakafanya uchunguzi huo wa kina na kuja na taarifa sahihi juu ya sababu iliyoleta htilafu, na wakaainisha watakavyo fanya kuhakikisha tatizo kama hilo linadhibitiwa lisitokee tena; au kama halizuiliki kutafutwe njia za ziada kuhakikisha huduma haiathiriki kwa muda mrefu.
Kama ni kweli. Hapa serekali ndo inapotakiwa kuonesha ukaliwake wote. Asichekewe ngedere wa aina yoyote. Let's be serious ebo.Fitna fitna.....(Inside job).
Afadhali hata walivyomsingizia bundi.Sasa ngedere usiku kwenye nyaya za umeme wapi na wapi?Wanataka turudi darasa la nne tujikumbushe jinsi ngedere anavyotumia masaa yake 24 kila siku?Wao wamekurupuka na kusema ngedere na bundi
Tuna angalia dhamiri ...dhamira yake ilikuwa njema kuna tofauti ya mtu kushindwa jambo katika dhamiri njema na mtu mwovu asiye na dhamiri njema kama huyu najisi mvaa mashungiKuna machache sana aliyoyaweza lakini mengi zaidi ameboronga vibaya sana.
Uzembe upi?Inawezekana siyo hujuma, labda ni matokeo ya ujinga na uzembe.
Hawa watu wangekuwa ni watu makini wangepata fundisho hapa.Afadhali hata walivyomsingizia bundi.Sasa ngedere usiku kwenye nyaya za umeme wapi na wapi?Wanataka turudi darasa la nne tujikumbushe jinsi ngedere anavyotumia masaa yake 24 kila siku?
Unaweza kukuta hata mropokaji mwenyewe kakurupushwa tu aongee na wanahabari.Anaongea kama kasuku anakula pilipili.Hawa watu wangekuwa ni watu makini wangepata fundisho hapa.
Huu uropokaji wa hovyo hovyo tu hautusaidii chochote katika nchi hii.
Sasa ni wazi wamejiropokea tu bila ya kupima ujinga unaoonyeshwa na kuropoka huku. Tabia ya namna hii ndiyo inayotakiwa kupigwa vita isiwepo tena katika utendaji wa ofisi hizi.
Tayari usha ingiza ajenda zenu. Wapewe waarabu, siyo?Watanzania hatuwezi kitu, tunajuwa majungu na umbea tu.
Huo waweza kuwa ndiyo ujinga na uzembe wenyewe.Uzembe upi?
Hawakujua ku operat kwa kutumia mafuta kama walivyosema?
Kwani hao operator's waliwapeleka Korea kufanya nini?
Hapo tena wala huna haja ya kuuliza, wala usiwape ingia nao ubia tu kama mama Samia alivyofanya bandarini, kiasi amewapa Waarabu mazayuni wa Dubai, kiasi amewapa wahindi, kiasi tumebaki nayo wenyewe. Tushindane sasa tuone nani atamka kidedea.Tayari usha ingiza ajenda zenu. Wapewe waarabu, siyo?
Himiza hiyo serikali ya 'Chura Kiziwi' yenyewe waje waarabu kuiendesha!
Nimekupa ushauri, mwambie mama aanze na kubinafsisha uendeshaji wa serikali yake; kwa sababu matatizo yote yanatokea huko. Wewe hapa unapindisha na kuweweseka na mambo mengine kabisa yasiyo husika.Nna uhakika ukiwapa Waarabu hapo, nadiriki kusema ndani ya miaka 10 ijayo watatandaza SGR Tanzania nzima.