Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

fazili

JF-Expert Member
Joined
Jun 10, 2011
Posts
16,427
Reaction score
22,418
Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi, Mkapa au Kikwete?

Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

Na kwanini isiitwe mkapa au mkapa hakuwa rais?
 
Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

Nyerere (ndo mzee baba), Magufuli (ndo muasisi wa mradi), Samia (ndo kaachiwa kazi ya kuukamilisha). Sasa, Mwinyi na Kikwete tuwaweke wapi?
 
Huo ni mwanzo mzuri wa kujitambua.
Taratibu tutajiondoa kwenye huo ujinga kama tulivyoacha kuweka picha za viongozi kwenye pesa.
Ifike mahali tuache kasumba za kuabudu watu.

Pesa zinazotumika kwenye miradi mbalimbali ya kimaendeleo ni kodi za wananchi, kuita hiyo miradi majina ya waliosimamia ni kukwapua heshima kutoka kwa wenyewe.
Miradi ipewe majina yenye mrengo wa kulitangaza taifa kwa ujumla wake.
 
Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

Kwanini ziitwe Mwinyi au Kikwete na isiitwe Serengeti?
 
kwa sababu labda hawastahili ni rahisi kihivyo tu, jiulize swali dogo sana awamu ya 4 waliita barabara yetu nzuri na ya kifahari mwai kibaki raisi wa kenya, wakati kenya hakuna hata tu uchochoro uliopewa jina lake, kwa nini walifanya hivyo? kibaki aliifanyia nini tanzagiza kustahili sifa yote hiyo? hawakuishia hapo wakabadilisha anwani ya ikulu yetu kwa kufuta jina letu zuri kivukoni front wakaita obama hata kenya ambako ana uhusiano nao wa damu hawakufanya hivyo, sasa watu namna hiyo ambao hawajithamini wao kwanza …
 
Kwani ikiitwa kikwete au mwinyi itakua aitumii mafuta au umeme?
KAZI ni kipimo cha UTU
 
Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

Mbona Mkapa umemruka?
 
Treni ya 4 ya mfumo wa EMU yapewa jina Serengeti, zilizotangulia zilibatizwa Nyerere, Magufuli na Samia. Kwanini hii isiitwe Mwinyi au Kikwete?

Namba moja kaona hivyo pamoja na uhusiano wake....

...Ni Hayo Tu!!
 
Back
Top Bottom