peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
𝐋𝐞𝐨 𝐮𝐦𝐞𝐤𝐮𝐚 𝐧𝐚 𝐚𝐤𝐢𝐥𝐢 𝐡𝐨𝐧𝐠𝐞𝐫𝐚Waarabu hapana, watafaidika waislam.
Tuwache iendelee kuwa chini ya TEC.
𝐊𝐮𝐳𝐮𝐢𝐚 𝐦𝐦𝐨𝐦𝐨𝐧𝐲𝐨𝐤𝐨 𝐰𝐚 𝐮𝐝𝐨𝐧𝐠𝐨uwepo kwa kokote kunasaidia nini kiongozi?
Kuna madhara gani yaliyo tokana na ajali hiyo mkuuView attachment 2786721Treni iliyokuwa ikitokea Kigoma kuelekea jijini Dar es Salaam imepata ajali mita chache kutokea stesheni ya mkoa wa Kigoma ambapo mabehewa matatu kati ya 14 yaliyokuwa yamebeba abiria yameacha njia katika eneo Kibirizi Manispaa ya Kigoma Ujiji mkoani Kigoma.
View attachment 2786720
Ilikuwa ni majira ya saa tatu asubuhi treni ya abiria iliondoka katika stesheni ya Kigoma Mjini, eneo la Kibirizi mabehewa matatu ya nyuma yaliacha njia na kuelekea eneo la Ardhi.
View attachment 2786722
Usijumuishe wote; Private sector wanaweza kujisimamia nakupata faida kubwa tu. Inatia hasira nikikumbuka hayo madege mapya yanavyo suasua bila kazi......wape private sector uone kazi kama hutatoka Dar to Mwanza kwa 150,000 (flat rate) na faida ipatikane mara tatu ya sasa au Pengine Dar to Znz kwa SHS 50,000 (Kila lisaa) bado hujasema Jbag, Dubai, india, China nkWatanzania hatuwezi kufanya chochote bila kusimamiwa na watu wa nje.
Utumwa upo ndani ya damu ya Watanzania.
I mean ni kama rais anamaanisha director akiua shirika serikali inaachana nalo! That is very serious maana mtu atalifisadi shirika life na hakuna hatua serikali inasusa kuendeleza shirika.Ana faida gani huyo director?
Hizo ofisi za stesheni za reli huwa zina viyoyozi kweli? Majengo tangu enzi za mkoloni, mengine hayajakarabatiwa mpaka leo yapo vile vile, nani anajali!Yaani hadi swala la kiufundi la kujaza kokoto kwenye njia ya treni linawashinda kutekeleza, hasara ya kuharibika mabehewa na kama watu wangejeruhiwa au kupoteza maisha wahusika wangeendelea tu kula kiyoyozi ofisini, nchi ngumu hii.
Chini ya Chama Cha Mazombie hatuko serious kwenye lolote. Mazombie yanaamini mwenge wa uhuru unaweza kuleta amani. Je kwanini huo mwenge haupelekwi sehemu zenye machafuko na vita?Ilitakiwa ilindwe sehemu zote mbili na kokoto na pembeni kuwa na miti ya kutosha kuzuia mmonyoko wa udongo kama hivi.
Wapasha habari watatupashaKuna madhara gani yaliyo tokana na ajali hiyo mkuu
Only the braves will understand thisNaam.
Kazi ya Chama TawalaMataruma yanaonekana hayana kokoto, uzembe.
Samia ni zao la Chama Cha Mashetani, chama dhulumati kinachoabudu mwenge na kuuza nchiSamia ni zao la kazi ya Mungu haina makosa.
😆😆😆😆🍷Watanzania hatuwezi kufanya chochote bila kusimamiwa na watu wa nje.
Utumwa upo ndani ya damu ya Watanzania.
Yeeees.Kazi ya Chama Tawala