peno hasegawa
JF-Expert Member
- Feb 24, 2016
- 14,255
- 23,949
Kwa wenye akili tu ndiyo tumeelewa ni kwa Nini muheshimiwa Raisi Dr Samia suluhu kwa nini kapandisha dau kwa kila goli atalipa milioni kumi.
Kuna mazwazwa na wasio na akili walichekelea mno walipoona mama kapandisha dau la milioni kumi kwa kila goli Kama motisha na wengine wakapiga hesabu et "Kama tukiwafunga waarabu goli 7 tunapata milioni 70" Wengine wakadhani kuwa mama kalewa/kajisahau kumbe wenye akili nyingi Kama NALIA NGWENA...