Hizi akili hizi, Mungu atusaidie kwakweliSioni sababu ya mizigo kutumia barabara wakati reli ipo ni serikali kukarabati na kuanza kazi
Acheni huu ujingaKwenye master plan ya SGR, Kaskazini haipo, ndio maana tunapendekeza Magufuli aongezwe tern ili ule wa nyongera ndipo a plan hiyo SGR ya Kaskazi.
P
Moja kati ya faida ya upinzani...kama upinzani ingekua haujakomaa Arusha na Moshi hii reli isingelifufuliwa.
Serikali ya ccm inaumiza kichwa wafanye nn ili wapiga kura wabadilishe mwelekeo kwenye chaguzi zijazo..Mwisho wa siku watu wanapata maendeleo.
Action and Reaction are equal and opposite.
NOTE; MOSHI NA ARUSHA ENDELEENI KUCHAGUA UPINZANI MUPATE MAENDELEO.
Najua inauma sana.....Itapunguza malori ? Yan upakie tani 60 mara mbili kwa wiki upunguze malori ???? Akili zenu hua mnaziweka wapi
Mabehewa 20 × abiria 80 = abiria 1600
Capacity 1600 - waliosafiri 294 = loss (1306 × nauli per person)
Tusikate tamaa tutangulize uzalendo tusafiri kwa reli yetu hata kama ni narrow gauge
These numbers are so scaring! I hope TRC watafanyia kazi (wanajua wanachofanya!). Tuwape muda.
Muhimu tu tufike mahali tuache kuchanganya kanuni za biashara na siasa.
Treni ya mizigo labda iishie tanga, prictically kule haifanyi kaziNajua inauma sana.....
Haya yanafanyikia kwenu na watu wanashabikia
Watu ambao mnataka wamchukie JPM kwa nguvu zote
Mna hamu hata muwazuie wasipande...ila waaapi
Ulicho miss kwenye statement yangu nimeongelea usafiri wa treni kwa ujumla
Ziko za mizigo pia ndugu, na zitaanza tu
Pole
Unasafiri Siku 2 kutoka Dar hadi Moshi, safari ya Masaa 8???🤣🤣
Tanzania hakuna master plan ya kitu chochote. Inategemea anayekula atatokea kanda ipi. Au P unajifanya hujamsikia mheshimiwa akiagiza daraja la Busisi likimbizwe lisije likasimamishwa njiani akiondoka?Kwenye master plan ya SGR, Kaskazini haipo, ndio maana tunapendekeza Magufuli aongezwe tern ili ule wa nyongera ndipo a plan hiyo SGR ya Kaskazi.
P
Maelezo ndo haya nishatoa...Na
Ikitokea uwe tayari kusaidia kutoa Maelezo.
Hahahaaa wachaga bana bila kusahau nyimbo za jimmy reeves na bony emmTreni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria wamesema usafiri wa treni ni wa uhakika na hakuna mambo ya kuchimba dawa au kula magengeni kama ilivyo kwenye mabasi.
Baadhi ya abiria wameomba kwa kipindi hiki cha sikukuu wawekewe miti ya Krismas na zile taa zake kwenye kila behewa.
Source ITV habari!
Tema mate chiniafadhali maana wachaga walikuwa wananisumbua sana kuazima prado langu kila desemba, bora wapande treni.
Mabasi yatajaa kama kawaida watu ni wengi muda utaongeaWenye mabasi sasa kimekula kwao
Hivi behewa moja la treni linauwezo wa kubeba abiria wangapi? Nadhani wakianza kusafirisha sementi, nodno na mabati kwa njia ya treni kutakuw ana nafuu katika bei. Ingawa wenye malori wataanza kulia kwa kukosa mizigo ya kutoshaWatu wanasema treni gani inatumia masaa 17,bora wakapande gari za magazeti!
Taarifa iliyotolewa na Mheshimiwa Waziri Kamwele pamoja Shirika la Reli Tanzania ni kwamba abiria walikuwa 700 na treni ilitumia muda huo kwa sababu za kiusalam maana njia ilikuwa haijatumika miaka mingi pia walichukua tahadhali ya mvua. Lakini wakishajiridhisha na usalama wa njia treni itaongeza mwendokosai na mabewa yataongezwa. Pia treni itafika hadi Arusha badala ya kuishia Moshi.Kuna wapumbavu naona wanatoa pongezi.
Wakati wenzetu wanaumiza vichwa kuja na mode of transportation itayo cover distance ndifu ndani ya muda mchache sisi tunazindua treni za mwaka 1945.
Mzigo ndio ulianza kabla ya abiria mkuuHivi behewa moja la treni linauwezo wa kubeba abiria wangapi? Nadhani wakianza kusafirisha sementi, nodno na mabati kwa njia ya treni kutakuw ana nafuu katika bei. Ingawa wenye malori wataanza kulia kwa kukosa mizigo ya kutosha