Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Trust me Mbowe ni mtu mkarimu sana.Huko ulipo vigelegele anaimbiwa macho kumchuzi peke yake kwani ukijaribu kumpinga utailamba sumu mchana kweupeee.
Mtoto wa Dar ile ya Kina Nyerere ni smart kichwani.Trust me Mbowe ni mtu mkarimu sana.
Mkuu umenisoma vizuri na kuelewa au "akili" tu imekuamulia uhoji hivyo?Kwahiyo wewe una akili kuliko akina bwashee 294 waliosafiri jana?!!
Pumbavu![emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Kweli kabisa, Hakuna chama kingine chochote cha siasa kilishawahi kutawala nchi hii ni CCM pekee, matatizo yote ya nchi hii yamesababishwa na CCM hii hii..hata hii reli ilihujumiwa na CCM, shirika la ndege pia lilihijumiwa na CCM.Hii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.
Sawa lemutuzPumbavu!
Isitoshe unakata bia mwanzo mwisho hadi Moshi. Kwenye mabasi tulikuwa tunalishwa soda tu kama watoto wadogo.Kwa watu wenye shughuli zao, it's true hawata panda hiyo treni, watapanda mabasi, lakini walala hoi ambao wao hawana haraka, na huwa wanashindwa kwenda mgombani kutokana na kupaa kwa nauli, treni hii ni mkombozi mkubwa sana kwao.
P
[emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Ni ufinyu wa mawazo kwa watu wanaosema hivyo. Kusafiri na treni na kusafiri na magari ya magazeti ni vitu viwili tofauti. Hata kusafiri na basi ni tofauti na treni. Kwa mfano ukiwa na familia yenye watoto wadogo, wazee au mgonjwa treni ni usafiri mazuri zaidi hasa kama una uwezo kuchukuwa chumba cha kulala. Mabasi yawepo, kuna watakayoyahitaji, ndege ziwepo, kuna abiria wake na treni iwepo nayo ina abiria wake. Yote haya ni kulingana na mahitaji ya msafiri na uwezo wake. Nchi zote zilizoendelea mambo ni namna hiyo yanakwenda.Watu wanasema treni gani inatumia masaa 17,bora wakapande gari za magazeti!
Kwani Kaskazini kulikuwa na Shida ya Usafiri? Mabasi ya Grade zote yapo, Private za kumwaga, Fuso na Malori ya kumwaga. Ukishindwa Surface Transport ya Road Ndege Daily. Massa 8 from DSM umeshawasili Moshi. Ukitaka pitia Bagamoyo Road yapo, ukitaka pitia Moro Road yapo. Hii shida inayoondolewa na Train ni ya kufika wapi?Halafu kumbukumbu zikifutika vichwani utasikia eti Kaskazini tunabaguliwa katika awamu hii.
Hongera sana Awamu ya Tano! Hapa kazi tu!
Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dsm imewasili mjini Moshi saa 5 asubuhi na kupokelewa na maelfu ya wakazi wa Moshi.
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294 ambao wameipongeza serikali kwa kutekeleza Ilani ya uchaguzi ya CCM baada ya usafiri huo kusimama kwa takribani miaka 21. Pia abiria wamesema usafiri wa treni ni wa uhakika na hakuna mambo ya kuchimba dawa au kula magengeni kama ilivyo kwenye mabasi.
Baadhi ya abiria wameomba kwa kipindi hiki cha sikukuu wawekewe miti ya Krismas na zile taa zake kwenye kila behewa.
Source ITV habari!
Kuyafufua maendeleo yaliokuwepo kabla si maendeleo ,ni kufufuka kutoka Kuzimu.Ye akapande magazeti aachie wengine,
Dah...bosi...Kwani Kuna mtu amekwambia alikuwa na haraka?[emoji2960][emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Awamu ijayo itabidi tuweke standard gauge kuelekea huku kaskaziniThis is good news, haya ndio maendeleo ya huduma tunayoyazungumza.
P
Kwenye master plan ya SGR, Kaskazini haipo, ndio maana tunapendekeza Magufuli aongezwe tern ili ule wa nyongera ndipo a plan hiyo SGR ya Kaskazi.Awamu ijayo itabidi tuweke standard gauge kuelekea huku kaskazini
Sijuhi ni kwa nini napata hisia kuwa hii treni muda si mrefu itasababisha janga la kitaifa!!
Sijuhi tu yaani!!
Unaondoka leo unafika kesho maana yake nini? Au huelewiKatika hili tuache siasa kamanda, siku mbili umezipataje!!?
Je gharama ni Sawa?Kwani Kaskazini kulikuwa na Shida ya Usafiri? Mabasi ya Grade zote yapo, Private za kumwaga, Fuso na Malori ya kumwaga. Ukishindwa Surface Transport ya Road Ndege Daily. Massa 8 from DSM umeshawasili Moshi. Ukitaka pitia Bagamoyo Road yapo, ukitaka pitia Moro Road yapo. Hii shida inayoondolewa na Train ni ya kufika wapi?