Mwanamageuko
JF-Expert Member
- Oct 31, 2010
- 8,604
- 5,583
Hata hao wanaoitwa wanyonge "wasio na shughuli zao" labda kwa kuwa tunaishi nchi ambayo tunathamini "vijiwe na soga zake"Kwa watu wenye shughuli zao, it's true hawata panda hiyo treni, watapanda mabasi, lakini walala hoi ambao wao hawana haraka, na huwa wanashindwa kwenda mgombani kutokana na kupaa kwa nauli, treni hii ni mkombozi mkubwa sana kwao.
P
MUDA SI MALI!! Ndio maana tuna 50kph kwa anayekwenda safari ya 500+kms.
Siku tukijua thamani ya muda wale kina shangiliashangilia matukio watajua wanachopoteza kwa muda wao ule wa mapambio na viunu. . Pia ikiwa tutaujali muda lakini tukawa na management za maana kwenye miradi yetu hakika tutakimbizana na waliotuacha...
Lugha nyepesi: mwenye kitochi na mwenye "smart"phone wanafanana maana wote wana mawasiliano (wanapata faida sawa!!!)
Maendeleo hayana chama...