Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

Kwa watu wenye shughuli zao, it's true hawata panda hiyo treni, watapanda mabasi, lakini walala hoi ambao wao hawana haraka, na huwa wanashindwa kwenda mgombani kutokana na kupaa kwa nauli, treni hii ni mkombozi mkubwa sana kwao.
P
Hata hao wanaoitwa wanyonge "wasio na shughuli zao" labda kwa kuwa tunaishi nchi ambayo tunathamini "vijiwe na soga zake"
MUDA SI MALI!! Ndio maana tuna 50kph kwa anayekwenda safari ya 500+kms.
Siku tukijua thamani ya muda wale kina shangiliashangilia matukio watajua wanachopoteza kwa muda wao ule wa mapambio na viunu. . Pia ikiwa tutaujali muda lakini tukawa na management za maana kwenye miradi yetu hakika tutakimbizana na waliotuacha...
Lugha nyepesi: mwenye kitochi na mwenye "smart"phone wanafanana maana wote wana mawasiliano (wanapata faida sawa!!!)
Maendeleo hayana chama...
 
Mnaosema inatumia masaa mengi mbona ndege zipo mlikuwa hampandi, Air Tanzania mbona haina root ya moshi

Msitake changanya watu kwenye ukweli tuseme watu wenye mabus hamjaipenda hii kitu ila kiuhalisia usafiri wa treni ni salama na bora kuliko bus, ukiwa na familia ndio raha zaidi

Viva awamu ya tano.
 
Acheni kahawa mbona ndege zipo nenda kabook upande ukiwa na haraka maana ujarazimishwa
 
Kwani kila kitu ni utekelezaji wa ilani? Haya kesho kukicha andika kwamba jumapili ya leo kumekucha ikiwa ni utekelezaji wa ilani. Mbona hii ni too much, kwani haya si yanafanyika kwa fedha za wananchi, mbona mnayafanyahaya kama ni fadhira vile. Huu nao ni upunguani
Ulitaka treni iwabebe nyie waha peke yenu?

Acha roho mbaya!
 
Hii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.
Halafu kamanda treni ni maendeleo ya vitu si watu
 
Mnaosema inatumia masaa mengi mbona ndege zipo mlikuwa hampandi, Air Tanzania mbona haina root ya moshi

Msitake changanya watu kwenye ukweli tuseme watu wenye mabus hamjaipenda hii kitu ila kiuhalisia usafiri wa treni ni salama na bora kuliko bus, ukiwa na familia ndio raha zaidi

Viva awamu ya tano.
Ukipunguza mhemko na maspidi utakuja andika vitu vya maana...
Swali: unadhani kutoka KIA kwenda Moshi ni umbali gani? Maswali ni mengi lakini sikuulizi zaidi ya hapo...
 
W
Watu wanasema treni gani inatumia masaa 17,bora wakapande gari za magazeti!
Tren ni uamuzi wako, kama unaharaka panda bombadia. Kikubwa hapa watu wasishindwe kusafiri . ukitaka panda basi,tren,ndege,gari la magazeti,uazime noah ya ufoo,au utembee kwa mguu ni wewe tuu. Hapa kazi tuu.
 
Mabehewa 20 × abiria 80 = abiria 1600
Capacity 1600 - waliosafiri 294 = loss (1306 × nauli per person)

Tusikate tamaa tutangulize uzalendo tusafiri kwa reli yetu hata kama ni narrow gauge
Mabehewa huwekwa kutokana na idadi ya abiria kamanda,acha chuki.Mbowe anaenda Mwanza kuunga mkono juhudi
 
Treni iliyochukua watu 294 ina mabehewa mangapi?

Kwa nini watu ni wachache hivyo?

Kwa idadi hii, hii safari ya kwanza tunaweza kusema treni imejiendesha kibiashara?

Kuulikuwa na promotion gani kujulisha wananchi kuhusu treni hii?

Ushindani kati ya train na mabasi ukoje?

Tofauti ya basi na treni itakayomfanya mtu apande treni ni ipi?

Nauli ya basi na ya treni zina tofauti gani?

Muda wa safari kati ya basi na treni una tofauti gani?
Ndio wameanza promo.......Krismas utaujua uwezo wake na mwitikio wa akina bwashee tindo!
 
Utakua ni wale walioamua kupanda gari za magazeti
TANAPA kama wewe hamfai kanisa katika kipindi hiki,watu wanajadili unafuu uliopatikama wewe unaleta siasa
Je kabla ya hizi mbwembwe mmejiridhisha ni salama na uhakika au ni yaleyale? Hivi mmewahi kupanda hizi treni mkaijua adha yake? Zilikuwapo na huduma zilikwenda zinadorora hadi wanaojitambua wakazisusa na kutumia njia mbadala (kisingizio ikawa wenye mabasi ndio wanahujumu - hivi nani anataka akae njiani wiki au zaidi pasi kukusudia? Pasi hisani ya Jeshi la Wananchi watu wameshaadhirika sana na hiyo TRC)
Pandeni kwanza ninyi mtatupa mrejesho mwezi April nasi tuunge mkono juhudi na shirika letu...
Sumu haijaribiwi kuonjwa...
 
Kwahiyo wewe una akili kuliko akina bwashee 294 waliosafiri jana?!!
 
Mabehewa 20 × abiria 80 = abiria 1600
Capacity 1600 - waliosafiri 294 = loss (1306 × nauli per person)

Tusikate tamaa tutangulize uzalendo tusafiri kwa reli yetu hata kama ni narrow gauge
Wakfka 1600 Moshi maana hakuna walioshuka njiani, madaraja ya kwanza na la pili hayapo, ukaaji wa sku hizi sijui super seat, na yale mabehewa yetu ya kugongea menyu na la kupgia wao nadhani hayatohesabiwa
 
Back
Top Bottom