Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

Halafu kumbukumbu zikifutika vichwani utasikia eti Kaskazini tunabaguliwa katika awamu hii.

Aliyemwambia tunataka train ni nani?
Tumeshawahi kulalamikia train sisi?
Sisi sio wasukuma...hatuna shida ya kupanda lichuma unakaa 18hrs njiani.
 
Hii itatumika kwa kubeba mizigo zaidi na si abiri maana muda wa safari ni kero bora basi.
 
Kuwe na mpango wa SGR na sio hii ya zamani.
 
Sioni sababu ya mizigo kutumia barabara wakati reli ipo ni serikali kukarabati na kuanza kazi
 
Hiyo akili yko ya kupanda toyo kwenda kijijini kwenu,ndio utumie google kujua treni ya 1945 inatumia muda gani kufika moshi
 
Hata mie nimewaza hii kitu sana...
Kichwa cha 1945 unategemea itumia masaa machache,jiwe alikaa na washauri wke wakaona watuletee treni kumbe huko kwao burigi ndio ingewafaa sana.
Kule mpka leo mtu anapanda basi au hiace kakumbatia kuku wake au bata[emoji16][emoji16][emoji16]
 
Ukweli hata kama ni mchungu lazima usemwe ukiwa ndani ya ccm wewe kazi yako ni kupiga vigelegele tu.
Njoo huku Chadema ili uipende nchi yako
Huko ulipo vigelegele anaimbiwa macho kumchuzi peke yake kwani ukijaribu kumpinga utailamba sumu mchana kweupeee.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…