Koffi Yardley
JF-Expert Member
- Aug 11, 2018
- 620
- 496
Mtu unaondoka dar saa 10 jioni unafika moshi saa 2 asubuhi. Si bora kupanga gari za "MAGAZETI".
😎 .... na washangiliaji wapo! Ushamba wa kupitilza
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mtu unaondoka dar saa 10 jioni unafika moshi saa 2 asubuhi. Si bora kupanga gari za "MAGAZETI".
Kwa watu wenye shughuli zao, it's true hawata panda hiyo treni, watapanda mabasi, lakini walala hoi ambao wao hawana haraka, na huwa wanashindwa kwenda mgombani kutokana na kupaa kwa nauli, treni hii ni mkombozi mkubwa sana kwao.Watu wanasema treni gani inatumia masaa 17,bora wakapande gari za magazeti!
Mtu unaondoka dar saa 10 jioni unafika moshi saa 2 asubuhi. Si bora kupanga gari za "MAGAZETI".
Asante kwa kupiga muhuri kwamba serikali hii inawajali walala hoiKwa watu wenye shughuli zao, it's true hawata panda hiyo treni, watapanda mabasi, lakini walala hoi ambao wao hawana haraka, na huwa wanashindwa kwenda mgombani kutokana na kupaa kwa nauli, treni hii ni mkombozi mkubwa sana kwao.
P
Hii Treni Mara ya mwisho kufanya kazi Waziri wa Mambo ya ndani alikuwa Mbunge wa Moshi vijijini Ndg Augustine Lyatonga Mrema wakati huo Ndg Magufuli alikuwa zake Viwandani Mwanza
Kwa niaba ya Ndugu zangu wa kichaga wenye roho za Mengi na wenye roho ya Ufo saro tunakupongeza sana
Haohao wanaojisifu na kusifiwa kuifufua!!!?Nani aliuwa reli hii?
Treni hiyo imewasili ikiwa na abiria 294
Wanakuibia penseli halafu wanakusaidia kutafuta!!!😆😆😆Hii Treni ilihujumiwa na ccm na sasa wanajifanya kuifufua halafu wanataka wasifiwe hahaa mabingwa wa kutengeneza tatizo halafu kuja kulitatua kwa mbwembwe.
Sasa ulitegemea siku ya kwanza ivute mabehewa 20?Mabehewa 20 × abiria 80 = abiria 1600
Capacity 1600 - waliosafiri 294 = loss (1306 × nauli per person)
Tusikate tamaa tutangulize uzalendo tusafiri kwa reli yetu hata kama ni narrow gauge
Mkombozi karudi Dsm to Moshi for only 16,000/=Wanakuibia penseli halafu wanakusaidia kutafuta!!!😆😆😆
vyovyote iwavyoSasa ulitegemea siku ya kwanza ivute mabehewa 20?
Unajua mikakati ya soko inavyofanyika bwashee?!
Nani aliuwa reli hii?
Kuna wapumbavu naona wanatoa pongezi.[emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Mafisadi waliowania Urais Chadema 2015
Mvua nyingi sana Korongwe. mombo. Ndiyo maana. Walikosea Sana Korongwe. Mwendo taratibu. Njia Mpya. Madereva wapya[emoji16][emoji16]imetumia 19hrs haina tofauti na treni ya 1945 kweli awamu hii imejaa vilaza
Mkuu tafuta uzi huo wa gari za magazeti upo humu jukwaani some utajioneaMtu unaondoka dar saa 10 jioni unafika moshi saa 2 asubuhi. Si bora kupanga gari za "MAGAZETI".