Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

Treni ya kwanza ya abiria kutoka Dar es Salaam yawasili Moshi ikiwa na abiria 294, ni utekelezaji wa Ilani ya uchaguzi ya CCM

Hii Treni Mara ya mwisho kufanya kazi Waziri wa Mambo ya ndani alikuwa Mbunge wa Moshi vijijini Ndg Augustine Lyatonga Mrema wakati huo Ndg Magufuli alikuwa zake Viwandani Mwanza

Kwa niaba ya Ndugu zangu wa kichaga wenye roho za Mengi na wenye roho ya Ufo saro tunakupongeza sana

Wacheni ukabila yaani hadi inatia kichefu chefu, mnawaza ukabila mnafikiri ukabila. Tanzania ni moja kama hamtaki hameni nchi.
 
Mabehewa 20 × abiria 80 = abiria 1600
Capacity 1600 - waliosafiri 294 = loss (1306 × nauli per person)

Tusikate tamaa tutangulize uzalendo tusafiri kwa reli yetu hata kama ni narrow gauge
Sasa ulitegemea siku ya kwanza ivute mabehewa 20?

Unajua mikakati ya soko inavyofanyika bwashee?!
 
Mbona nilisikia imeondoka na abiria 700 dsm, au wengine wameteremkia njiani?!
 
Back
Top Bottom