Odhiambo cairo
JF-Expert Member
- Jul 11, 2015
- 16,353
- 22,963
Ukwaju . Tume haina ubaya wa nani anyeisimamia, isipokuwa sheria inayoiunda ndiyo mbaya. Hii tume ya wakurugenzi wa halmashauri za miji na wilaya siyo kabisa.SIO AJABU hao CHADEMA waliohamia CCM huko Arusha na Mbeya hawajajua faida ya kuifufua Treni
wao ni kupinga tu mpaka Mbowe awe Mwenyekiti wa Tume ya Uchaguzi
yaani wajinga nchi hii wapo wengi sana juhudi anazofanya jpm bado wanaona kama kitu cha mchezo walishindwa waliotangulia kufufua reli hiyo leo inatumika bado wanalalamika ngojeni sana utakuta vikina mdee vinajishaua kabisa eti hakuna wa kumpa kura jpm yaani keshaona harudi tena bungeni maana hata wananchi wake hawamtaki tena kila siku kesi mhalifu mkuwa mdeeKwa akili za wana CCM haya ni 'maendeleo', kilichoifanya hiyo treni ife mara ya kwanza ndicho kitakachoiua tena.
Hoja sio treni kukanyaga Arusha, hoja ni je usafiri huo una tija kwa TRC? wanaweza kujiendesha kibiashara na kupata faida? au tunarudi kulekule nchi kuwa na mashirika mengi mizigo?
Raisi Magufuli ni lazima aongezewe muda mpaka 2035, kama yeye mwenyewe akikubali!
Hii miradi iliuwawa na CCM sasa wanajifanya kuifufua kisha wanasema wasifiwe
Huwezi kusema ni Maendeleo
Havikujifia tu vyenyewe ila viliuawa.
Shirika liliuliwa makusudi ili biashara ya malori ishamiri.Hoja sio treni kukanyaga Arusha, hoja ni je usafiri huo una tija kwa TRC? wanaweza kujiendesha kibiashara na kupata faida? au tunarudi kulekule nchi kuwa na mashirika mengi mizigo?
Google utapataPicha tafadhali
Unatafuta ukuu wa wilaya?Kweli Tanzania tumepata Raisi haya mambo ukiyatazama unaweza kuhisi ni ndoto lakini ndio hivyo yanatokea.
Ashukuriwe Mungu, wabarikiwe wote waliochangia JPM kuwa Raisi wa hii jamuhuri, hakika Mungu hawatupi waja wake. Tulifunga na kuomba kwa ajili ya kupata Raisi mzalendo na haya ndio matokeo yake, viva JPM.
wahujumu uchumi ndio maana sasa hivi wanafungwaCcm iliua shirika,sasa imelifufua.
Mumebaini kilichoiua shirika?
Wasaka vyeo utawajua tu mda wote wao nikuwaza vyeo, mkuu fanya kazi acha kuwaza ukuu wa wilaya.Unatafuta ukuu wa wilaya?
Itabidi arudi nyumbaniGodbless Lema anasemaje huko?
Ahsante sana, na kubwa zaidi mipango yote inayoitwa ni ya maendeleo maeneo ya kanda ya kusini yanapuuzwa.Kwa akili za wana CCM haya ni 'maendeleo', kilichoifanya hiyo treni ife mara ya kwanza ndicho kitakachoiua tena.
Hoja sio treni kukanyaga Arusha, hoja ni je usafiri huo una tija kwa TRC? wanaweza kujiendesha kibiashara na kupata faida? au tunarudi kulekule nchi kuwa na mashirika mengi mizigo?
Halikuuawa lilikufa, na litakufa tena, serikali haiwezi kufanya biashara yenye faida kwenye soko huria lenye ushindani.Shirika liliuliwa makusudi ili biashara ya malori ishamiri.