Sasa kama ni soko huria kelele za kwa wenye mabasi pale treni ya moshi ilipoanza, zilikuwa za nini?Halikuuawa lilikufa, na litakufa tena, serikali haiwezi kufanya biashara yenye faida kwenye soko huria lenye ushindani.
Uliwahi kuziona behewa za miaka ya 80?Vipi Behewa ndiyo zile zile za miaka 30 iliyopita ..?
Anasema train iliyokarabatiwa mwisho ni moshi tuZitto anasemaje?
Baada ya mabeberu kijenga hiyo reli CCM ikaiua sasa serikali ya wananchi wa Tanzania imeifufua.Kwa mara ya kwanza Treni ya Abiria kwa ajili ya majaribio ya njia yawasili katika jiji Arusha Leo tarehe 26 Februari 2020.
Ni baada ya reli hiyo kuacha kufanya kazi kwa muda wa zaidi ya miaka 30View attachment 1369777View attachment 1369776
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndiyo .Uliwahi kuziona behewa za miaka ya 80?
Mkuu ndiyo maana tunampongeza aliye dhubutu kuifufua na si chama.Hii miradi iliuwawa na CCM sasa wanajifanya kuifufua kisha wanasema wasifiwe
Huwezi kusema ni Maendeleo
Mkuu tumpongeze anaye dhubutu kurejesha vitu vilivyouwawa na watangulizi wake. Yeye anafanya kwa manufaa ya wengi kitu ambacho kilikuwa ni kilio cha wengi
Tanzania mambo mengi yanajifia bila hata kuwa na sababu yoyote, je sababu zikiwepo itakuwaje?Mimi ni miongoni mwa abiria wa mwishomwisho waliowahi kutumia usafiri huo wa treni kutoka Moshi kwenda Arusha miaka takriban 35 iliyopita. Tulikua tukipita nyika zenye nyasi fupi za ki savannah katika miji/stesheni za Boma, Kikuletwa, Kia na Arusha yenyewe
Sijawahi kuelewa kwanini reli hii ilikufa/iliuliwa!!! Juhudi zozote za kuifufua na kisha kuiboresha hakika ni za kuungwa mkono na wapenda maendeleo wote
Hongera kwa watu wa Arusha kwa kurudishiwa haki yenu na kwa kuvumilia uzembe mkubwa wa serikali wa kuua treni kwa miaka 30 bila sababu yoyote.Kweli Tanzania tumepata Raisi haya mambo ukiyatazama unaweza kuhisi ni ndoto lakini ndio hivyo yanatokea.
Ashukuriwe Mungu, wabarikiwe wote waliochangia JPM kuwa Raisi wa hii jamuhuri, hakika Mungu hawatupi waja wake. Tulifunga na kuomba kwa ajili ya kupata Raisi mzalendo na haya ndio matokeo yake, viva JPM.
Mtu anayethubutu kusema anataka kuua Upinzani mtu ambae hajui vipaumbele vya wananchiMkuu ndiyo maana tunampongeza aliye dhubutu
Mtu anayethubutu kusema anataka kuua Upinzani mtu ambae hajui vipaumbele vya wananchi
Hakuna maji vijijini Shule hazina Madarasa na madawati kwenda kuingiza mamilioni ya fedha kwenye reli wakati Loliondo watu wanakunywa maji kwenye madimbwi
Hizo ni nyimbo za CCM kweni wameandikiwa na Daktari kuendelea kuitawala nchi hiiMkuu huko kote Jpm kuna projects zinazoendelea ili kuondoa hayo matatizo.
Tatizo la maji na madarasa ni kubwa sana na litahitaji not less than 6 years kuweza kulipunguza kwa angalau 75%. Pia kama inchi inabidi kuboresha miundombinu ili kuimarisha / kukuza uchumi na kumpunguzia mwananchi gharama kwa njia mbakimbali hivyo kuingozea serikali mapato ambayo yatasaidia kuendeleza hiyo miradi ya maji na kuboresha elimu
Sent using Jamii Forums mobile app
Duh.
Anakarabati reli wakati kaiba Trillion nne sasa kunafaida gani. Trillion nne kwa kipindi cha miaka minne tu. Kumbuka hata rambirambi alilambaHaya ndio manenooo..tulilalamika vilipokufa sasa vimefufuliwa tunatakiwa kufurahia...
Kumenoga.Itabidi arudi nyumbani
Hizo ni nyimbo za CCM kweni wameandikiwa na Daktari kuendelea kuitawala nchi hii
Sasa hivi imefikia mpaka wameanza kufanya mauwaji ya kisiasa dhidi ya Watanzania na uvunjifu wa haki za binadamu