Sisyphus
JF-Expert Member
- Oct 8, 2015
- 4,062
- 5,741
Fikira za mwenyekiti na hao CCM ndio zimefanya hii nchi i-survive tangu uhuru bila vita vya wenyewe kwa wenyewe, kama unafatilia story za vijiweni utajua kwamba nchi karibia zote baada ya uhuru ziliangukia kwenye ukabila, vita vya wenyewe kwa wenyewe au mapinduzi ya kijeshiHukuwahi kusikia misemo ya "Zidumu fikra za Mwenyekiti" au "CCM ina wenyewe". Kwa misemo hiyo tu wengine wote walikuwa takataka. Kwa vijana walijiunga na CCM ili wapate nafasi za kusoma vyuo vikuu na kupata ajira serikalini na mashirika ya umma, lakini siyo kwamba walikuwa wanakubaliana na sera zilizokuwepo.